Simbu kupeperesha bendera ya Tanzania Boston Marathon, Marekani

Simbu kupeperesha bendera ya Tanzania Boston Marathon, Marekani

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
431
Reaction score
433
IMG_5123.jpeg

Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye mashindano makubwa ya 'bostonmarathon' huko Marekani, tarehe 21 Aprili Mwaka Huu, akiwa na muda wake bora wa 2:04:38, huko anakwenda kupambana na miamba mingine kutoka Kenya na Ethiopia kwenye mchezo wa Riadha Duniani.
 
Back
Top Bottom