1️⃣ Kwanza, ni kawaida kwa wanaume kuwa na mshikamano wa kaka (bro code), lakini mara nyingine, hii inaweza kumfanya mwanaume kupuuza hisia na maoni ya mpenzi wake kwa sababu ya ushawishi wa marafiki.
2️⃣ Si marafiki wote wanatoa ushauri mzuri. Wengine wanakupa maoni kutoka kwenye uzoefu wao...
Wana jamvi ni kwema? huku leo kuna baridi sana na kwa sababu hii kilimo cha watoto hakina mbadala.
Leo hii watu tumekuwa wabaguzi sana tofauti na kipindi cha nyuma utu ulikuwa sehemu ya maisha ya kila binadamu.
Na kwa sababu hatuna utu basi kuna msemo usemao ndenge wanao fanana huruka...
Wiki mbili zilizopita nimepata msiba wa kuondokewa na mzazi wangu wa kiume yaani Baba.
Kupitia issue hii nimejifunza mambo Mengi sana.
: Rafiki wa kweli siye unayeishi naye sasa.
: Sio kila unayemtehemea atakusaidia ( wengi wanajali issue za kuuingiza pesa sio utu)
: Uliye mdharau anaweza kuwa...
Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya kumuamini rafiki yake
Kuwa na idadi kubwa ya wanaokushangilia kipindi ukiwa unaelekea kushinda hakumaanishi una marafiki wengi! Siku utakapoupoteza ushindi ndiyo utashangaa kuwa katika watu mia moja ulioamini ni marafiki zako, walio marafiki zako kweli, pengine hawafiki hata kumi!
Inawezekana ofisini kwako...
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums.
Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale mjengoni.
Kwenye mada sasa.
Ebhana nimekaa chini na kutafakari nikagundua nimedhulumiwa vihela vyangu...
Wadau wengi niliokuwa nafahamiana nao waliokuwa katika tasnia ya mazingaombwe wakifanya maonyesho mashuleni na mitaani wamefanikiwa sana katika makanisa waliyofungua.
Enzi hizo walikuwa wanafanya mambo mbalimbali ya kiini macho na kujipatia kipato. Sasa sijui kama wanatumia mbinu hizo hizo...
Wapo marafiki wa aina mbalimbaali katika maisha unaoweza kukutana nao k.v
1.wenye roho nzuri yaani hata ukiwa kukusaidia ni haraka.
2. Wenye wivu ambao haunekani yaani ukifanikiwa anakusifia kishingo upande.
3.Wenye roho mbaya yaani huyu ni zaidi ya mchawi ukifanya kitu kizuri tu lazima afanye...
Mzazi ana uwezo mkubwa wa kumtambua rafiki wa kweli
Watoto wana kipawa maalum cha kuweza kugundua kirahisi ndugu mnafki
Marafiki wa karibu wana jicho makini kuweza kumtambua mpenzi asiekufaa
Niliwahi kupokea kejeli miaka kadhaa nyuma baada ya kununua eneo maporini, niliwashirikisha baadhi ya ndugu na marafiki twendeni kuna viwanja vinauzwa na almashauri.
Kejeli zao, nani akaishi mapori, huko wanaishi wanyama, mimi nikajilipua nikasema hii pesa yangu ngoja niiwekeze.
Ni miaka nane...
Zama hizi za mitandao ya kijamii, tunaishi kwenye ulimwengu wa aesthetic friendships – zile picha za kikundi cha marafiki wakiwa kwenye vinywaji, sherehe, au safari za kifahari wakitabasamu kana kwamba maisha yao yote ni perfect. Lakini swali linabaki: Je, marafiki wa namna hii ni wa kweli...
Dunia uwanja wa fujo, Dunia tambara bovu, Waswahili walisema.
Kuna muda nafsi inachoka kabisa na harakati au mtindo wa maisha ulionao, unatamani kupiga chini kila kitu na kuanza upya kabisa ukiwa focused. Eneo linalochosha zaidi ni namba ya simu ya muda mrefu inayogeuka kuwa mzigo usiobebeka...
Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako
Hakikisha mnapokuwa mumeahiadiana na mtu kukutana unakuwa ontime maana wapo watu mkiaahidina saa tisa yeye anakuja saa kumi😀
Hakikisha unavaa kuringana na eneo...
Ndugu na Marafiki wa Mwanadada Mary Lema wamepaza sauti kuwa mpendwa wao huyo hajapatikana bado kwenye kifusi cha ghorofa iliyoporomoka Kariakoo na wana imani kuwa bado yupo hai na kuomba wanaoendelea na zoezi la uokoji wasaidie kumtafta.
GEOGRAPHICALLY
North Korea atamvamia South Korea ili kutengeneza Korea ya Mamlaka yao
China itazichukua Taiwan na Hong Kong kwa asilimia 100.
Russia atamchukua Ukraine, Georgia na vinchi vidogo vidogo vya ulaya vile ambavyo vilikuwa chini ya USSR.
Iran atamtoa muisrael huku akitengeneza nchi...
Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida.
Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k.
Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
Mtu akioata kazi nzuri au biashara ya kueleweka, akajenga Nyumba, Akawa na shamba, na gari la kusafiria au akamuongezea mkewe kadogo ka kutembelea wengi wanaona aliowazidi wanamuonea wivu au wanamvizia wamloge.
Hasahasa wale waliokulia kwenye umasikini mkali, na akapata mwanga kuliko wenzake...
Naitwa dany from singida tanzania (25) naitaji rafiki wa jinsia yyt kunzia 18-25. Mtu awe serious na anaejitambua kwaajili yakupeana company (0746893854) whatsap
Watu wengi wanachukulia kuwa Iran na Israel ni maadui wakati wote, na wengine kwa kutoelewa wanadhani uhasama wa Israel na Iran umechangiwa na utofauti wa imani za kidini. Kama unafikiria hivyo, umepotea kabisa.
Kabla ya mwaka 1979, Iran ilikuwa mnunuzi mkubwa wa silaha toka Israel (Before the...