marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kipindi cha mazungumzo ya nyuklia na Marekani, Mrusi alileta air defence nyingi sana. Kama zawadi ya kupewa drone za Shaheed

    Naaandika kwa Uchungu na machozi Kipindi cha mazungumzo ya nyuklia na Marekan. Mrusi alileta air defence nyingi sana. Kama zawadi ya kupewa drone za shaheed. Na wakaingia mkataba wa urafiki mkubwa usio na Mipaka. Sasa naona kama bwana mkubwa iran katapeliwa hivi. Tena yale maeneo muhimu...
  2. JamiiForums Tanzania Greta na marafiki wanakaribia kufika Nchi Takatifu

    Greta na marafiki wanakaribia Nchi Takatifu. Israel tayari imeamua kwamba Kiherehere maarufu huyo hatafika ufuo wa Gaza. Atapigwa na kitu kizito hukohuko!!
  3. JamiiForums Tanzania Usiumie wala kuhuzunika pale unapopoteza marafiki

    Habari za wakati huu wana JF.. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.. Tumekuwa tukisikia au kuona baadhi ya ndugu au rafiki zetu wakilalamika kuwa marafiki zao wamewatenga.. wengine wamebadilika hawawakumbuki tena kama ilivyokuw hapo kabla.. Naomba nikukumbushe kitu katika maisha.. Kawaida...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani na Ulaya ,iongeze Nguvu na Jitihida kuumaliza Ujamaa na Ushawishi wa wakomonisti Afrika ! Urusi, DPRK,Uchina kua Marafiki wa CCM ni HATARI !!

    Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!. Maana yake nini ? CCM inaenda kua Chama chenye kiburi kikubwa sana kupitia hayo Mataifa, in turn Uranium itaenda Urusi kwa mikataba ya...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Natafuta marafiki aliye tayari tuwasiliane pm.
  6. JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendela zinaonyesha kuwa na upweke sana na marafiki zao ni wanyama wa kufuga majumbani

    Kama usafiri unaweza kubisha hii mada. Wenzetu unaweza kuwa na jirani na wala msiwe na urafiki na mazoea. Nchi zilizoendelea ni ngumu sana kuwa na mazoea ya kulazimishana na urafiki kama huku afrika. Ndio maana wanaruhusiwa kumiliki bunduki wajikinge na CCm wasiojulikana. Wenzetu wameona...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mlio oa / kuolewa badilisha lifestyle ya kuishi na marafiki

    Kwa mlio oa / kuolewa , weka mipaka ya marafiki kuizoea nyumba yako , inatosha kukutana viwanja na marafiki sio kuweka vijiwe vya soga nyumbani kwako . Kuna aina ya lifestyle unatakiwa kuibadilisha ukishaingia kwenye maisha ya ndoa
  8. JamiiForums Tanzania Unakuaje Mtu Mzima Katika Kundi Lako la Marafiki Kila Ukiambiwa Usimamie Ishu Fulani Hata 2000 Kila Siku Huna

    Tunaelekea wapi kama wanaume? Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nawezaje Kutengeneza Marafiki?

    Wakuu habari zenu na wale wakristo heri ya Pasaka. Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni mtu ambaye kazi zangu nyingi nazifanyia ndani nikiwa peke yangu na ninaoshiriikiana nao wengi ni foreigners hivyo kazi tunazifanya na kuzifuatilia kupitia Slack, Hubstaff, Jira n.k. Huku tukishiriki sana...
  10. JamiiForums Tanzania Achana na Marafiki wenye Njaa

    Njaa ninayoizungumzia hapa ni Tamaa, sio Njaa ya chakula.... Njaa ndio inawafanya hao unaowaita marafiki zako wawe wanafiki kwako, njaa ndio inaowafanya hao uwapendao wakusaliti na matatizo yako au shida zako wazigeuze fursa kwao. Kwa sababu ya pesa wauze utu wako, na wakudharirishe badala ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sina maana ya kuubeza urafiki lakini nazidi kukazia stay very close na ndugu na familia yako, Marafiki ni wa muda tu

    Simaanishi kuwabeza marafiki, Hapana !! Maisha yetu kwa kiasi kikubwa tunazungukwa na watu wa nje hivyo katika haya mazingira unaweza kuwa na marafiki shuleni, Vyuoni, Mitaani, kazini, Bar, Biashara, n.k. lakini kawaida yao huja na kuondoka hivyo sio wa kuwapa kipaumbele sana. Kuna rafiki...
  12. JamiiForums Tanzania Trump aanza kulainika katika vita vya tarrifs, aondoa bidhaa za marafiki zake katika tarrifs.

    Katika kile kinachohesabiwa na wengi kama kuanza kutepeta kwa Trump rais huyo wa Marekani ameondoa bidhaa za electronics katika vita vyake vya tarrifs na China. Hata hivyo Wamarekani wengi wamelalama wakidai sio sawa kujali bidhaa za electronics tu wakiamini inachangiwa na sababu za ukaribu...
  13. JamiiForums Tanzania Marafiki wa utotoni ni wabaya sana, wala siwapendi

    Marafiki wanutotoni Wana sifa zifuatazo:- 1. Wenye wivu mkali japokuwa hawana unafiki, ukifaulu masomo watakuambia unaringa. 2. Ni wachomaji wakubwa, yaani rafiki yako anaweza kumfikishia taarifa zako mwalimu ili tu uchapwe wafurahi. 3. Wanafurihia matatizo ya wengine kwa mfano ukichapwa basi...
  14. JamiiForums Tanzania Watu maskini wana marafiki wa kweli, huku matajiri wakiwa na marafiki wa uongo wanaopenda pesa na umaarufu pekee

    Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo tunaona mabadiliko makubwa katika jinsi watu wanavyohusiana na kutengeneza uhusiano wao. Kwa wengi...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mungu na shetani kushirikiana kumtesa Ayubu ni ushahidi tosha kama Mungu na Shetani ni Marafiki. ndio maana Mungu hamuui shetani mpaka leo

    Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu. Shetani anapinga uaminifu wa Ayubu, na kumwambia Mungu kwamba Ayubu anamcha Mungu kwa sababy ya mali tu ila sio...
  16. JamiiForums Tanzania Hatua 5 wanazopitia watu walioko kwenye mahusiano

    HabarinI ndug zangu Leo nimekuja na mada inayowahusu watu waliopo kweny ndoa au waliopita kweny ndoa Katika mahusiano Kuna hatua 5 kutonakana nadharia ya (chall Chapman). Je? Wew ulio katika stage ipi kati ya hizi 1.romantic stage;hii ni hatua ya kwanza katika mahusiano yanapozaliwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Kijana uliyechapwa na maisha usipanic kwenye uwanja wa vita. Hao marafiki zako wanaorusha picha mtandaoni huku wameegemea magari makali wengi si yao

    Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu. Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini. Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa. Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge. Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Calvin Marambo anafanya kazi na Bill gate kwa sasa na ni marafiki wakubwa

    Calvin Marambo mhitimu wa Ilboru sec 2014 ambaye alipata scholarship havard university kwa sasa anafanya kazi kwa bilgate na ni marafiki wakubwa ,wazungu wanamkubali sana pesa nje nje kwa sasa.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka tofauti na ndugu wa damu, Mnapoamua kupata mtoto moja wakati uwezo upo ni kumtesa mtoto, idadi nzuri ni 3+

    Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine. Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani. Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
  20. JamiiForums Tanzania Wakwepe marafiki wanafiki, ikiwezekana waambie ukweli

    Salaam jamiiforum. Kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo huwa tunajuana na watu mbalimbali, tukikutana safarini,mikutanoni, sehemu za ibada na maeneo mengi. Watu hawa baada ya kufahamiana au kujuana kwetu wapo ambao hugeuka kuwa watu wa karibu na kutengeneza bond ama urafiki fulani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…