marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Hii ni weekend ya kufurahi na marafiki

    Nipo hapa mjini nashangaa shangaa tu, sina uelekeo wowote ule, nahitaji kampani ya pisi inayojitambua yenye IQ kubwa. Awe ana uwezo wa kunywa na kumeza mapande ya nyama. Muhimu tu, tuweze kufurahi kama marafiki.
  2. funaku

    Je, Uamuzi wa majaji unashawishiwa na vilio vya ndugu au marafiki?

    Hili ni swali la logic/mantiki au kisheria. linalopaswa kujadiliwa kwa haki na uwazi. Je tupambane na vyombo vya kutoa haki kisheria kwa kumobilize vilio mahakamani? Je wale tusiokuwa na uwezo wa kumobilize waombolezaji mahakamani tutapata haki?
  3. Jack Daniel

    Marafiki, ndugu na wadau wote wa jukwaa hili

    Habari JamiiForums Siku zinakimbia, miaka inageuka, na umri unasogea. Nakumbuka ni kama juzi tu Mh. Lowasa alivyotikisa Tanzania kwenye kampeni za Urais 2015. Ni kama juzi tu tangu hayati Magufuli na itikadi zake, pamoja na misimamo mikali kwenye uongozi. Miaka inakimbia, watu waliozaliwa...
  4. Fbn

    Kuna magonjwa kwa Tanzania kukuchangia ndungu,jamaa na marafiki ni ngumu.Subiri kufa tu

    Nakumbuka kwa Marehemu ruge tu,sio kwao pesa hakuna au watu wake wa karibu ila magonjwa mengine kama yanachukua pesa nyingi hupo kitandani tena ICU basi watu wanaomba uteuzi wa manyonyo kutaka amani sio haki. Nimeshuudia mzee mmoja umri miaka 89 kalazwa hospital na familia yake ina pesa ya...
  5. Chizi Maarifa

    Russia na China si Marafiki wa kuwaamini ni Mbwa wanaobweka sana lakini hawaumi.

    Russia na China ni kama mbwa wanaobweka sana.. lakini hawaumi. Siku ukiibiwa unasema usiku mbwa walibweka sana. Ila ndo umeshaibiwa tayari. Maduro kachukuliwa Venezuela huku Maafisa wa China wakiwa wameenda kuongeq naye. Yaani siku unaenda kulipia mahari unafika baada ya muda unaambiwa...
  6. M

    Miaka inaenda na ninazidi kuona umuhimu wa kuwa na ndugu, nimebaki na marafiki wachache sana watu waliobaki ni ndugu

    Zamani nilikuwa na marafiki wengi, lakini kwa sasa nina rafiki mmoja wa karibu sana. Wengine waliopo ni watu wa kushirikiana nao kazini au mtaani, ni mahusiano ya kijamii yanayosaidia kubadilishana mawazo na kuondoa upweke, lakini si ya kina sana. Katika maisha yangu ya zaidi ya miaka 30...
  7. Tajiri Tanzanite

    Wakenya ndio ndugu na marafiki wa kweli wa Tanganyika

    Hapo vip!! Katika nchi za afrika mashariki na Afrika kwa ujumla,sijawahi kuona nchi inayoipenda nyingine kama kenya wanavyoipenda Tanzania na watanzania kwa ujumla. Nadhani hii nature kati ya kenya na Tanzania utaiyona kwa Marekani,uingereza,ujeruma,canada na Israel ila pia hii ya kenya kwa...
  8. nodetz

    Natafuta marafiki waislamu

    Wakubwa najua haiwahusu ila jana nimebadili dini rasimi na kua mwisilamu so nahisi naitaji marafiki wapya wanao elewa uislamu pls kama uko tiyali njoo inbox
  9. Kipenzi Changu

    Siku nilipogonganisha magari marafiki ugenini

    Kama kuna mtu ananipenda humu asinichikulie vibaya, yeye aendelee kunipenda tu. It is the past, very long time ago Amina na Ashura walikuwa wahudumu wa duka kubwa la Mpesa mkoani pale. First time nikamwelewa Amina lakini sikuwa nimemzoea na alikuwa mkimya sana kwa hiyo ilileta ugumu kupata...
  10. Allen Kilewella

    Picha ya Marafiki wa Lowassa

    Edward Lowassa alikuwa ni mwanasiasa ambaye alikuwa na marafiki kutoka vyama vyote vya siasa. Lowassa alikuwa na marafiki ndani ya CCM na nje ya CCM. Lowassa aliwafanya mahasimu wa kisiasa kukaa pamoja. Jee nje ya urafiki wao na Lowassa , Freeman Mbowe, Zitto Kabwe,Hussein Bashe na Rostam...
  11. Joanah

    Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

    Hi people, Happy weekend!! Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi? Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back) Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar...
  12. M

    Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  13. Waufukweni

    GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia aliposhika madaraka marafiki zake Hayati Magufuli walikuwa na hofu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ilitokana na mfumo dume uliokuwepo nchini pamoja na hofu waliyokuwa nayo waliokuwa marafiki wa Hayati Dkt...
  14. ndege JOHN

    Tabia ya marafiki kukutafuta tarehe ya mshahara

    Kuna watu hawana aibu yaani siku zote hakupigii simu eti ikifika tarehe 23 ndo unaona missed call zake hio NI ujinga aibu Sana afu unakuta ni mtu mkubwa tu.sisi tunakula bata kila siku tunapojisikia kama unadhani tunaishi kwa mshahara pole Sana.
  15. mrKey Milly

    Naitaji marafiki

    Natafuta marafiki Kama wapo Waje PM Jinsia yoyote Muhimu awe anajielewa Mimi Nna Miaka 30
  16. R

    IGP: Polisi mnaweza kufanya kazi zenu mkiwa marafiki wa Raia wema!

    Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP. Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi. Sijapenda. Ukiwauliza...
  17. mcTobby

    Ili uweze ku maintain circle ya marafiki zako, lazima uwe na mnafiki

    Huwa naona watu wengi wanapenda kuwa na marafiki. Hilo ni la muhimu . Lakini ili usipoteze baadhi ya marafiki zako ambao mnafaidishana(mutual benefit) itakulazimu uwe mnafiki haswa. Watu wengi walio "Real" na maisha yao hawana circle kubwa ya marafiki.. jaribu kufanya tafiti utagundua tu hili.
  18. Surya

    Aina Tatu za Marafiki

    1. Rafiki wa maisha (or confidence) ~ Huyu ni rafiki ambae ikitokea mmekua wapenzi basi utajisemea I married my best friend. huyu ni rafiki ambae ukikosea haogopi kukukosoa na kukuelekeza mbele ya uso wako, huyu ni rafiki ambae ukiwa haupo anakusemea mazuri. Anakuwa rafiki yako kwasababu...
  19. N

    Ndugu, jamaa na marafiki

    Ndio code mpya tao!
  20. ngara23

    Kama haupotezi marafiki kubali kuwa haukui na haujitambui

    Mtu anayejitambua huwa hawi na marafiki walewale muda mrefu ni nadra Marafiki huja na kuondoka kutokana na hali iliyopo kipi mnashirikisha Rafiki akija shukuru na akiamua kuondoka shukuru Watu wanaojitambua hawana marafiki wa muda mrefu, hawa ni rahisi kuwa maadui na mara hupenda kubadilisha...
Back
Top Bottom