mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maji ya Bowser yamepanda bei mara mbili zaidi

    Japo Rais alizindua visima kule Kigamboni, hali huku kijijini kwangu bado ni tete. Maji hayatoki. Wiki kadhaa zilizopita nilinunua maji ya chumvi kwa Tsh. 20,000 tofauti na bei iliyozoeleka ya Tsh. 12,000 kwa lita 1,000 Baada ya maji kuisha nimewacheki tena wauza maji, wametaja bei mara mbili...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia usipende kila mara 'Kuingizwa Chaka' hivi bali shtuka mapema kwani unaniangusha sana tu

    "Mtendaji Mkuu wa DAWASA ameniambia ukiacha hii hali ya ukame tunayopitia Dar es salaam upatikanaji wa maji upo asilimia 94. hii ina maana kwamba tupo karibu sana au tumeshafikia ile asilimia tuliyoelekezwa na CCM ya asilimia 95" - Rais Chanzo: EATV Mimi GENTAMYCINE siyo Mathematician kama...
  3. JamiiForums Tanzania Malori yasipodhibitiwa na serikali kuyakagua mara kwa mara, tunakoelekea siko

    Ajali ya gari yatokea Tegeta, yahusisha magari matatu. Ijumaa, Novemba 11, 2022 Malori mengi ni magari mabovu yanayopita Barabarani bila kufanyika ukaguzi maalum. Mwisho kusababisha ajali sinaziweza kuzuilika.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada ya kuchaguliwa mara mbili na Rais Xi Jinping

    China na Tanzania ni nchi ambazo zimekuwa na urafiki, undugu na ushirikiano wa kina tangu enzi za waasisi Mwenyekiti Mao Zedong na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Urafiki huu umeendelea kudumishwa na viongozi wengine wote wa pande zote mbili waliofuatia baada ya waasisi hao, na kuendelezwa...
  5. JamiiForums Tanzania Je, PM ndio Tatizo? Je, ni uhaini kujadili mitandaoni Uwezo wake?

    Ujasusi, Uwezo binafsi wa kuchanbua Na kuchakata Mambo ni Jambo la kuiga hata Kama si kipaji chako Yapo Makundi mawili yanayoshnikiza PM kuondoka katika nafasi yake nayo ni kama hivi 1.wapinzani , hao ni kawaida kusema fulani aondolewe Na hata mara nyingi maneno Yao uwa hayatishi kwakuwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ninaomba shida ya maji Dar iongezeke mara dufu zaidi

    Dar ni Tanzania, Tanzania ni Dar. Hutaki hili basi utakuwa una matatizo makubwa ya kijinsia!!! Ukitaka kuona watu wa makabila yote Tanzania hapa basi fika Dar, Ukitaka kuona watu wa dini zote (unazozijua na usizozijua) basi nenda Dar, Ukitaka kuona ofisi zote kuu za vyama vya siasa basi nenda...
  7. JamiiForums Tanzania Mpangaji anahesabika ni mvamizi mara tu kodi yake inapoisha

    Tarehe 5/10/2022 majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa kupitia Rufaa Na. 333/2019 kati ya Lawrence Magesa t/a Jopen pharmacy VS Fatuma Omary na Rimina Auction Mart wamesema kuwa pale mpangaji kodi yake inapoisha na akawa hajaondoka katika nyumba ama eneo la pango, basi hadhi yake inabadilika na...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Cylinder head gasket kungua kila mara kwenye vitz

    Wadau habari, Nina kagari kangu ka vitz old model. Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mimi nipate kausafiri. Sasa kalikuwa na leakage, fundi akafungua cylinder head akatibu leakage akafunga.Baada ya hapo kakawa kanazima zima mguu usipokuwa kwenye accelerator...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Hayati Magufuli tokea afariki dunia

    Sikuwahi kumkubali huyu mwamba kipindi chake chote Cha utawala mpaka anakufa. Akili imenikaa sawa sawa, kama binadamu ni kweli alikuwa na mapungufu yake hakuna mkamilifu. Nakubali huyu mwamba alikuwa na nia ya dhati ya kulipigania hili taifa. Nahisi labda njia tu ndo zilitukwaza baadhi yetu...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwani una 'Tatizo' lolote lile hadi kila mara ujitokeze 'Matamasha' ya Kukuombea?

    Mtume wao Mwamposa alivyotonywa na Watu wa Mfumo wasio na Vifua vya Kutunza Siri kutokana na Viapo vyao kuwa ataondolewa Tanganyika Packers Kawe haraka sana akaandaa Tamasha la Kujipendekeza kwa Rais Samia kwa Kusema ni la Kumuombea akiwa na Mategemeo kuwa 'atalainishiwa' na hatoondolewa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Vikwazo dhidi ya Zimbabwe vyapaswa kuondolewa mara moja

    Tarehe 25 Oktoba ni “Siku ya Kupinga Vikwazo” iliyoanzishwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). Katika maadhimisho ya Siku hiyo, viongozi wa nchi nyingi kwa mara nyingine tena wametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Zimbabwe. China pia imesisitiza kuwa, Marekani...
  12. JamiiForums Tanzania Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

    Hi! Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao. Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume...
  13. JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

    Mlima kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu. KINAPA NA TANAPA AMKENI .
  14. 4

    JamiiForums Tanzania Eti deep state , Mara Tss twende Sasa isieshindwa Sasa ameingia

    Mtapigwa Kama ngoma, mtaishi maisha magum Kama wachawi, inchi hii ya Watu wote mda utaongea , Linda taifa na sio vyama Mungu atapunguza adhabu zenu ,kamwe usipate laana KWA ajili ya Watu wengine Wanatambelea v8 wewe pikipiki Kama sio baiskeli, jitambue na chukua HATUA na Mungu atawabariki
  15. JamiiForums Tanzania Unaikumbuka mara yako ya kwanza?

    Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza? Ladies and gentlemen, how y'all doing? I have some true story to tell. I hope you cherish thee. kwanza naanza na disclaimer: I was 14 at the time Sasa tuweke kimalkia pembeni twende mojakwamoja kwenye story Nakumbuka mpaka nilipofika form 2 nlkuwa bado...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Tsh Milioni 350 imeingia kwenye account

    .hgjk
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ila Nyiee Yanga raha, mara ya mwisho umeona wapi mua kama ule wa Aziz Ki?

  18. JamiiForums Tanzania Ulikuwa katika hali gani mara tu ulipoanza kutumia kilevi?

    Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima. Kwa upande wako ilikuwaje?
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Rais wa JMT akiwa na mgeni wake Rais wa DRC mara baada ya kuwasili Ikulu Dar es Salaam

  20. JamiiForums Tanzania Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

    Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha. Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…