mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Equatorial Guinea: Teodoro Nguema ashinda tena Urais kwa mara ya 6

    Mtawala huyo wa muda mrefu zaidi duniani amechaguliwa tena kwa kupata 95% ya Kura huku chama chake kikishinda viti vyote Bungeni. Imeripotiwa kuwa Upinzani wa Kisiasa dhidi yake umekuwa ukibanwa na Dola, pamoja na kuripotiwa ukandamizaji wa Vyombo vya Habari ambavyo vinamilikiwa na Serikali na...
  2. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli amekukosea nini kila mara unamkosoa kimafumbo kwa watu mbalimbali?

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema wakati hajaingia madarakani biashara kati ya Tanzania na Kenya ilikuwa ngumu sana huku akikumbusha vifaranga vilivyochomwa moto mpakani akisema haikuwa sawa kuchoma vifaranga kutoka Kenya. Chanzo: mwananchi_official Sasa kama kumbe unamchukia na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Serikali sasa kupata 75% ya mapato ghafi ya mafuta na gesi

    25 November 2022 January Makamba - Kitalu cha gesi Ruvuma Mtwara, serikali kuvuna 75% ya mapato ghafi Video courtesy of Millard ayo Hayo yamebainisha na waziri wa nishati Mh. January Makamba kufuatia mkataba huo wa kihistoria serikali. Waziri January Makamba anabainisha kuwa huko nyuma...
  4. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Mapepo yanayomzuia Yesu asirudi kwa mara ya pili

    INCUBUS NA SUCCUBUS: MAPEPO YENYE LENGO LA KUMZUIA YESU ASIRUDI KWA MARA YA PILI DUNIANI Duniani wawili wawili. Umewahi kujiuliza kwa nini? Kwa nini mtu afanane sana na mtu mwingine ambaye hata si ndugu yake na labda mmoja anaishi Kagera na mwingine Tanga? Au mmoja anaishi Rwanda na mwingine...
  5. JamiiForums Tanzania Mara nyingine tena timu zetu za Afrika zinaenda kutuangusha Kombe la Dunia

    Sisi waafrika ndivyo tulivyo, Mwafrika anayechezea mchi ya Afrika ni tofauti na Mwafrika anayechezea timu nchi za nje. Waafrika wa huku hatuna uzalendo kabisa, ila akibadili uraia au ikiwa alizaliwa kule utamuona jinsi anavyojituma. Halafu tunakaa hapa kusema Mabeberu hivi Mabeberu vile!
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la mgawo/kukatika toka hivyo kwa umeme ni aibu sana kwa Serikali ya Tanzania chini ya Chama Cha Mapinduzi!

    Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya umeme. Ni aibu sana kuwa na umeme usioeleweka na unaokatikakatika hata mara 50 kwa siku. Sababu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Narudia tena na tena mechi za mikoani ndizo zitakazoamua bingwa kwa mara nyingine

    Nafikiri tunaanza kuelewana mdogo mdogo, Yanga mikoani kavuna alama 18 mechi 6, Simba mikoani kavuna alama 5 mechi 3, kadondosha alama 4. Mzunguko wa kwanza Yanga atakuwa kacheza mechi 8 viwanja vya mikoani na Simba atakuwa kacheza mechi 5 viwanja vya mikoani, kwa maana hiyo mzunguko wa pili...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa mzee Kinana madarakani, vijana wanagawana rushwa hadharani

    Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM? Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano...
  9. JamiiForums Tanzania Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost. Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
  10. 5

    JamiiForums Tanzania Mrusi alituambia mara hii hakutakuwa na kombe la dunia imekuwaje tena?

    Ndivyo tulivyokuwa tunapeana habari baada ya timu ya Russia kuondolewa kwenye mashindano hayo kwa kosa la kuivamia Ukraine Kijeshi, kwamba rais Putin ametangaza kuwa hakutakuwa na kombe la dunia kwa vile timu yake imeondolewa ikitafsiriwa Urusi itapeleka mashambulizi huko Qatar ili shughuli za...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Magufuli alijitabiria kifo mara kwa mara kwa kulinda maslahi ya Watanzania?

    Hayati Magufuli alikuwa akijitabiria kifo mara kwa mara, je alijua kwa kutetea maslahi ya nchi ndio ingekuwa mwisho wa uhai wake?
  12. JamiiForums Tanzania Ulishawahi juta Mara baada ya Kutoa msaada?Tukutane hapa

    Roho za huruma huangusha wengi, japo kwa imani tunaamini tenda wema malipo yaja. Nimewahi msaidia mtu, nikabaki kupigwa majungu na niliye msaidia. Hiko hivi ni jamaa tunayejuana naye, siku alipohitajika na wakubwa kazini sikuwa karibu yake kwa kuonyesha kujali ikabidi niwaulize watu kadhaa kea...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza kombe la dunia halitakuwa na mvuto, mimi MakinikiA sitaangalia

    On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup. Tulikubaliana siasa isiingie kwenye Mpira why now, mbona USA aliingia Iraq bila kibali cha UN . Wapumbavu sana wote...
  14. JamiiForums Tanzania Uwanja wa ndege wa Chato ni chaguo sahihi la Bukoba

    Mara ya mwisho niliposafiri na kutua uwanja wa ndege wa Bukoba nilikaa na mama mmoja wa kihaya aliniambia hali ya hewa uwa mbaya kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka around saa sita mchana,kulikuwa na mpango toka awamu ya tatu kujengwe airport kubwa maeneo ya omkajunguti 40km kutoka Bukoba...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kupigwa mapambano matatu mfululizo, Israel Adesanya aomba warudiane (rematch) kwa mara ya nne

    Baada ya kupigwa katika pambano la tatu mfululizo, Isreael Adesanya hajakubaliana na matokeo. Kaomba liandaliwe pambano lingine dhidi ya mpinzani wake Alex. Izzy anachotafuta ni aibu zaidi, akubali tu kwamba Alex ni level nyingine lasivyo ataharibiwa career yake.
  16. JamiiForums Tanzania Kwisha habari yake: Israel Adesanya apigwa kwa mara ya tatu mfululizo na Alex Perreira

    Alex kamshushia kipigo Israel Adesanya kwa pambano la tatu mfululizo, Katika pambano hili tuliamini kwamba Israel anaenda kulipiza kisasi lakini kilichotokea kapigwa K.O ya aibu sana, kapewa makonde ya kutosha mpaka ikabidi refa amalize pambano, Kwa kuhitimisha ni Kwamba Israel hamuwezi Alex...
  17. JamiiForums Tanzania Maji ya Bowser yamepanda bei mara mbili zaidi

    Japo Rais alizindua visima kule Kigamboni, hali huku kijijini kwangu bado ni tete. Maji hayatoki. Wiki kadhaa zilizopita nilinunua maji ya chumvi kwa Tsh. 20,000 tofauti na bei iliyozoeleka ya Tsh. 12,000 kwa lita 1,000 Baada ya maji kuisha nimewacheki tena wauza maji, wametaja bei mara mbili...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia usipende kila mara 'Kuingizwa Chaka' hivi bali shtuka mapema kwani unaniangusha sana tu

    "Mtendaji Mkuu wa DAWASA ameniambia ukiacha hii hali ya ukame tunayopitia Dar es salaam upatikanaji wa maji upo asilimia 94. hii ina maana kwamba tupo karibu sana au tumeshafikia ile asilimia tuliyoelekezwa na CCM ya asilimia 95" - Rais Chanzo: EATV Mimi GENTAMYCINE siyo Mathematician kama...
  19. JamiiForums Tanzania Malori yasipodhibitiwa na serikali kuyakagua mara kwa mara, tunakoelekea siko

    Ajali ya gari yatokea Tegeta, yahusisha magari matatu. Ijumaa, Novemba 11, 2022 Malori mengi ni magari mabovu yanayopita Barabarani bila kufanyika ukaguzi maalum. Mwisho kusababisha ajali sinaziweza kuzuilika.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Tanzania kwa China ni kubwa baada ya kuchaguliwa mara mbili na Rais Xi Jinping

    China na Tanzania ni nchi ambazo zimekuwa na urafiki, undugu na ushirikiano wa kina tangu enzi za waasisi Mwenyekiti Mao Zedong na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Urafiki huu umeendelea kudumishwa na viongozi wengine wote wa pande zote mbili waliofuatia baada ya waasisi hao, na kuendelezwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…