mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watoto 85,000 wamekufa Yemen mara 21 zaidi ya Gaza. Wanaharakati mlikuwa wapi?

    They don't care about Muslim lives, it's all about their religion and politics. Ndio maana hakuna alieanzisha trend na maandamano kupinga mauaji ya watoto hawa yanayoendelea katika nchi yenye machafuko baina ya muislam na muislam. Leo ndugu zenu wa hamas wanapigana vita nyuma ya raia wa...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiona umepewa kiti kwenye meza ya wakubwa, jifikirie mara mbili

    Ninaandika hili nikiwa na maoni chanya kabisa kwa ajili ya nchi yangu. Napenda kumpongeza sana Speaker kuteuliwa kuwa kuwa president wa IPU. Ila Napenda kumkumbusha kuwa asije kuwa kibaraka against our national interest, wote tunajua kuwa hizi international organizations ni tools za mataifa ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwa siku unaweza kunanihino mara ngapi ?

    Nauliza tu nisije nikafa ? Na upande upi una stamina kwa maana sisi wanume au upande wa wanauke ?
  4. JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Mtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikuwa nadhani hivyo! Cha ajabu ni kwamba kila ninapojaribu kutia mguu kwenye biashara nachezea za uso mbaya kabisa najikuta natoka...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga imemfunga Simba mara nyingi zaidi tangu kuanzishwa kwa vilabu hivi

  6. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Mpenzi, Mume au Mke akicheat mara moja asamehewe bila kinyongo.

    Wasalaam wana wa Mungu, Kosa au dhambi unayoichukia kwa mwingine basi nawe usifanye kwa maana machukizo mbele ya Mungu ni yale yale. Wanadamu sisi sote tu wana wa Mungu na makosa yote tumeumbiwa sisi, panapo safari iwayo yoyote ikiwemo ya urafiki wa mapenzi kukosana na kukosea ni sehemu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya kumzuga mara tatu bila mafanikio, Rafiki wa kazini bado analazimisha nimfundishe kuchoma kaya, Nichukue uamuzi gani?

    Ni kama rafiki japo naweza kumuita bro, ana miaka 40 na kitu ? Binafsi hii ndio starehe yangu japo kwa sasa huwa ni stiki mbili ama tatu kwa wiki. Sasa huyu bro sijui ni kipi kilichomshawishi atake kujaribu haya mambo umri ukiwa umeshaenda mithiri ya jua la saa kumi na moja. Mara ya kwanza...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kifo nikiwa mtoto zaidi ya mara 3

    Habari zenu, Ndugu zangu kwenye ukuaji tunapitia hatua mbalimbali za maisha, kipindi nikiwa mdogo nishanusurika kifo zaidi ya mara 3, kusema kweli nilikuwa mtundu sana nisiyesikia chochote,na michezo yangu ilikuwa hatari sana,tena ya kutosha. Naanza kama hivi. Mara ya kwanza. Kipindi nikiwa na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya mara kwa mara kati ya China na Marekani yatoa ishara chanya

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China imesema, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi atafanya ziara nchini Marekani kuanzia tarehe 26 hadi 28 mwezi huu. Kabla ya hapo, tangu mwezi Juni mwaka huu, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken, Waziri wa Fedha wa Marekani Janet Yellen, Mjumbe...
  10. JamiiForums Tanzania Djibril Sylla: Kutinga hatua ya robo fainali mara kwa mara kumeifanya Simba kuwa klabu maarufu Afrika

    Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1), kumbe jambo hilo kwa wachezaji wenyewe wa nchi mbalimbali za Afrika (sio washabiki wa Bongo)...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu mnazoeaje maumivu haya ya tumbo?

    Habari ya asubuhi, Wenzangu huwa mnazoeaje haya maumivu jamani?😓😓 Yaani iko hivi, tumbo linauma kama mtu yupo tumboni anavutavuta utumbo, yaani kama yuko na kijiko anakwangua ukoko kwenye sufuria vile. Sasa ushuke chini kiuno jamani, ni kinakamaaa kama sijui nini, ukijinyoosha tu maumivu...
  12. JamiiForums Tanzania Miaka 2 mabadiliko mara 4: CCM itikadi na uenezi kuna shida gani?

    Katika kipindi cha miaka miwili tu yaani kati ya mwaka 2021-2023, idara cha itikadi na uenezi CCM imeongozwa na wafuatao: 1. Humphrey PolePole 2. Shaka Hamdu Shaka 3. Sophia Mjema 4. Paul Makonda Huwezi ukawa na taasisi imara ya kisiasa halafu ukawa na mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi...
  13. JamiiForums Tanzania Sitosahau usiku ule Paris nilipotoroka camp kwenda kumuangalia Jay Z na Kanye West, bila kutegemea waliperform Niggas in Paris mara 11 mfululizo

    Habari za weekend, leo nimekumbuka tukio moja la 2012. Sisi wenye damu ya uchakalikaji huwa tunakutana na 'mazali ya mentali' mengi sana. Sitoelezea ilikuaje hadi nikaenda Paris-France, lakini tulipelekwa vijana kadhaa wakiwemo watu wa scout kwa ajili ya event fln hivi. Sasa mie kwanza...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza leo nimeona kijiwe cha kahawa cha wanawake

    Great thinker Shuhudia na wewe usingoje kusimuliwa.
  15. 4

    JamiiForums Tanzania Hii haikubaliki, Msajili ifute CCM mara moja

    Salam wana JF popote mlipo, amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania. Husika na kichwa cha habari tajwa apo juu naomba kupitia mamlaka ya ofisi yako kukifutilia mbali chama cha mapinduzi, na moja ya sababu ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa TARURA Mkoa wa Mara

    Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi. Pili, kama ukiwa umepata kazi lazima utoe asilimia 10 ya malipo yako kama rushwa...
  17. JamiiForums Tanzania Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali

    Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na GENTAMYCINE sikubaliani nayo. Kocha Zuberi Katwila ( Legend wa Msasani Magunia ) ukiwa na Maswahiba...
  18. JamiiForums Tanzania Serengeti yashinda Tuzo Hifadhi Bora Afrika kwa mara ya tano mfululizo

    Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Hifadhi Bora ya Taifa Barani Afrika 2023, imeshinda tuzo hii kwa mara ya tano mfululizo, mwaka wa 2019, 2020, 2021, 2022, na sasa 2023. ================= Hifadhi ya Taifa Serengeti imeibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha Tuzo ya Hifadhi bora...
  19. JamiiForums Tanzania Matokeo ya mwisho ya Simba na Yanga walipokutana na timu walizopangwa sasa kwenye CAFCL

    Mara ya mwisho Simba kukutana na timu alizopangwa nazwo kwenye kundi lake; Asec 3 -0 Simba Waydad 1 - 0 Simba Simba 1 - 3 Galax Mara ya mwisho Yanga kukutana na timu alizopangwa nazo; Ahly 1 -0 Yanga Medeama 3 - 1 Yanga Belouizdad vs Yanga hawajawahi kukutana
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayeomba pesa kwa mmewe mara kwa mara ni tapeli

    Wanaume wengi wana date na matapeli wakidhani ni wake au wachumba aidha kwasababu ya uzuri wao ama lah Wanawake hao wanakuwa wakiendekeza pesa kila wakati ila wanaume hao wanakosa ufahamu wakidhani sifa ya mwanaume ni kugharamikia. Ukweli ni kuwa pamoja na wanawake hao kupata fedha huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…