mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ukweli wowote kwamba "Mechi" za mara kwa mara ndio siri ya amani kwenye ndoa/mahusiano?

    Habari zenu wanajukwaa la MMU, Kuna kitu nimekuwa nikikifanyia uchunguzi wa chini kwa chini kwa muda mrefu sana kwenye familia na mahusiano ya watu wengi wanaonizunguka, na leo nikaona si vibaya nikilete hapa jukwaani tukijadili kwa pamoja. Kuna hii nadharia kwamba: Wapenzi au wanandoa ambao...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Mama mjamzito kwenda clinic Kwa mara ya kwanza kuna kulipia kwenye hospital za umma?

    Habarini wakuu.. Leo mke wa rafiki yangu kaamua kwenda clinic, baada yakujihisi ni mjamzito wa zaidi ya miezi mitatu..akaamua kwenda hospital iliyopo chuo Cha polisi mkoa x..amefika anaambiwa anatakiwa alipie elfu 54 kwanza, hii ni haki?? Alikuwa na elfu 20 wamemkatalia kabisa..nawaza hii ni...
  3. JamiiForums Tanzania Sifikiri kama ni mara ya kwanza

    Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani . Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu😆, mara hakuna wanawake pisi atapatikana jf kwa nature ya mtando wenyewe unavyotaka watu wenye akili 🤔 Mara jf kuna majamaa ni...
  4. JamiiForums Tanzania Sijui kwanini ila mara nyingi mtoto wa tatu na wanne mara nyingi sio damu yako.

    Nachojiuliza ni namna gani wanawake wame master sanaa ya kuzaa na bwana akalea kama watoto wa kiuno chake.
  5. JamiiForums Tanzania Hawa ndio vijana humu ambao comments zao mara zote ni fikra kuntu na zenye staha

    Marcostilone ERoni Grahams Dr am 4 real PhD mcTobby Hongereni sana vijana ingawa watasema hizi zote ni akaunti zangu😁
  6. JamiiForums Tanzania BADO TUPO MARA

  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chivayo, aliewahi kufungwa jela kwa utapeli na forgery kakimbia na vibubu kabla ya marejesho, kafoji ajali kuanza maisha mapya ughaibuni

    Baada ya kuangalia video hii nimejiuliza maswai mengi Kila mtu anasema kwa mwili ule hakika ni yeye, nguo alizojirekodi akiwa kenye helikopta zinafanana WHAT IF hata ile video iliyoanza kusambazwa haraka mara baada ya taarifa kuna mtaalam wa kupoteza watu alipewa bilioni 1 kuondoa viulizo...
  8. JamiiForums Tanzania Onyo kwa mods: Komeni mara moja kufuta nyuzi zenye mafundisho

    Leo secretarybird ameachia uzi wenye mafundisho murua juu ya baba wa kambo . Lakini kama kawaida mmekua wenye kiherehere na kihoro cha kufuta Kila mara nyuzi zenye mafundisho maridhawa zinaporindima hapa jukwaani. Sasa napenda niwaonye huku nikiwapa muda wa kujitafakari. Tusipangiane vya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini gari moja la mizigo linaweza kuonekana lina uzito tofauti kwenye mizani tofauti ya barabarani?

    Kwa kuwa kila siku magari yanapita katika mizani mbalimbali, kuna changamoto inayowakabili madereva na wamiliki wa magari ya mizigo. Unaweza kupita mizani A, ukaambiwa umezidisha uzito na kupewa faini. Baada ya kulipa, unapanga upya mzigo na kuendelea na safari. Ukifika mizani B, unapimwa tena...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Makonda umeamua kulidhihaki Kanisa Moja, Takatifu, Katoliki na La Mitume? Nakushauri katubu mara moja.

    https://www.instagram.com/reel/DdtlWSlO3fWaX2wlo2zPZ2DWdTNEdaBVoB03dQ0/?stkn=MXM4ZDdrMHhya2k3bQ==
  11. JamiiForums Tanzania Barrick yawaasa wataalamu wanaotekeleza uthamini North Mara kuzingatia usalama mahala pa kazi

    MARA- Wataalamu wanaoshiriki katika zoezi la uthamini wa mali za wananchi wanaotarajiwa kuhamishwa kupisha ujenzi wa eneo jipya la kuhifadhia mabaki ya shughuli za uchimbaji madini (Tailings Storage Facility – TSF) katika Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, wamehimizwa kuzingatia kikamilifu taratibu...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja?

    Je ni kweli biashara ya vipodozi ina faida mara 3 hadi mara 18 kwa bidhaa moja. Mfano Bidhaa A ina faida mara 3 Bei ya mtaani rejareja 30,000 Bei ya chimboni ni 10,000 Bei ya bidhaa B faida ni mara 18 Bei ya rejareja ni 18,000 Bei ya chimboni ni 1000 Kama hali ni hiyo faida wanayopata ni kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Donald J.Trump wa Marekani, awataka washirika wake kujiondoa mara moja kwenye mahakama ya ICC.

    Akihutubia United Nations General Assembly, huko New York leo, Rais Trump ameipiga marufuku mahakama hiyo ya ICC kuwachunguza au kuwashitaki raia wa marekani na washirika wake kote ulimwenguni, na kwamba mahakama hiyo haina uhalali wa kufanya hivyo dhidi ya wamarekani na washirika wake. Aidha...
  14. JamiiForums Tanzania Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

    Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi? Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu. Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga? Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  16. JamiiForums Tanzania Ogopa watu ambao mara nyingi wanatus wenzao "wewe choko/shoga", tafiti zinaonesha mtu anaependa kuongelea taharuki fulani mara nyingi nae ni mhanga

    Hio ndio saikolojia ya mwanadamu Sasa inaweza kuwa yeye ndio mtumiaji wa mashoga, anafir wanawake, yeye ndio shoga mwenyewe au anapenda kuangalia pornographia za mashoga.
  17. JamiiForums Tanzania Mara pap uganda ifunge mto nile usitoe maji ziwa victoria kwa mwezi 1

    Unaisi nini kitatokea 1.. 2.. 3.. 4.. Narudi kupitia majibu
  18. JamiiForums Tanzania Je tumbo lako huvurugika mara kwa mara ukiwa ofisini?

    Kwa mfanyakazi anayeshinda ofisini akiwa ameketi kwa saa 8 au zaidi, maumivu ya tumbo mara kwa mara na mabadiliko ya ghafla ya kwenda chooni si tu kwamba yanapunguza ufanisi wa kazi bali yanatengeneza mazingira magumu ya kisaikolojia. Makala hii imeandaliwa maalum kabisa ili kuelimisha jamii ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Mara nyingine tena Dada wa Taifa Mange Kimambi ametibua mipango ya waharibifu.

    Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa unaoendelea nchini. Dada wa Taifa kama kawaida yake amelinusuru taifa dhidi ya wahuni wa kisiasa nchini...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tusiache kufanya checkup mara kwa mara

    Tusiache kufanya check up Miaka kadhaa nilipompokea Yesu Kristo kama Bwana na Mokozi wa Maisha yangu, nakumbuka siku ile ilikuwa ni ya kipekee kiasi kwamba ndani yangu kuliingia pendo kubwa sana ambalo sikuwai kuwanalo. Sikujua kwamba kumbe Mungu anatupenda kiasi kile , upendo ule ulipoingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…