Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya
Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana
Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana
Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
ILEMELA, MWANZA: Je, Serikali ya CCM Inashindwa Kumdhibiti Mwana CCM Anayevunja Sheria?
Buswelu A – Majengo Mapya, Ilemela. Mwaka 2019, wananchi wa eneo hili waligundua kuwa kuna mpango wa kujenga baa katikati ya makazi yao. Kwa kuwa sheria za nchi zinadhibiti wazi wapi baa zinaweza kujengwa...
Anonymous
Thread
ccm
ilemela
majengo
mapya
mwaka
mwana
mwana ccm
mwanza
serikali
serikali ya ccm
sheria
wananchi
Kwa muda mrefu wananchi wa Dar es Salaam tumekuwa tukitegemea huduma za mabasi ya UDART kwa usafiri wa kila siku.
Awali, nauli ya kutoka Mbezi hadi Kimara ilikuwa Tsh 500 kwa umbali wa takribani kilomita 12, huku safari ya Kimara hadi Kivukoni/Gerezani ikiwa Tsh 750 na baada kupandishwa...
Wana JF,
Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..?
Japo sijui jf kwa sasa...
Dar es salaam, Zaidi ya mabasi ya Mofat 150 yamekwama kwa zaidi ya nusu mwaka bila kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, jijini Dar es Salaam. Hali hii imeibua mjadala mpana kuhusu ufanisi wa mradi wa mwendokasi na athari zake kwa wananchi pamoja na mwekezaji.
Hata hivyo, Kampuni ya Mofat...
Kumekuwa na chapisho linalosambazwa na watumiaji wa mtandao wa Facebook likidai kuwa Mohammad-Reza Naghdi, Kamanda Mwandamizi wa jeshi la Iran, amesema:
“Marekani haina cha kutupangia. Tunazalisha makombora kila siku, na yapo mengi bila kupumzika. Ikiwa vita itarejea safari hii, tutahakikisha...
Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi
Source. Gazeti la mwananchi mtandao
Nimeshindwa kuipata story kamili baada ya website ya mwananchi kuweka tozo kwa kila anaetaka habari zake jambo ambalo ni KINYUME ZA MKATABA WA KIMATAIFA KUPATA HABARI WAKATI WOWOTE
Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika.
Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300.
kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
Imekua officially.
Tesla wamesitisha Autopilot kwenye magari yao yote ya kuanzia mwaka 2026 nakuendelea.
Kwa sasa utapata basic cruise control (itakayo ongeza na kupunguza speed) na traffic awareness kama speed detection, signs nk., lane centering kwenye highway nk. LAKINI kukata kona...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
Ni wengi tuliokuwa nao katika hii safari, wachache wametuacha siku chache tu zilizopita...kimwili hatuko nao, kiroho tuko nao...mashujaa wetu...wengi walitamani kuifikia hii nchi ya ahadi, lakini wametuacha.... tufurahi pamoja katika nchi mpya ASEMA BWANA WA MAJESHI!...
Jaribu kuishi nami mbele...
Media zetu Tanzania zinatusaliti au ni waoga?
Sikusikia wala kuona vyombo vya habari vilivyosajiliwa wakihabarisha kero za wasafiri wa Mwendokasi. Taarifa nyingi zimetufikia kupitia Social Media na hapa JamiiForums.
Lakini baada ya serikali kutoa mabasi mapya ya UDART, tunaona vyombo vikuu vya...
MJUE MWANADAMU NA NGUVU ZILIZOMO NDANI YAKE
Kitabu hiki ni mwongozo wa kujitambua, kuelewa nguvu za mawazo, ndoto, mapenzi na nguvu ya tendo la ndoa, pamoja na mbinu za meditation. Kinaeleza jinsi mawazo yanavyogeuka hisia na vitendo, siri za maisha ya ndani na nguvu zilizojificha ndani ya...
Hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa tete huku watu wengi zaidi wakiendelea kukosa imani na mchakato wa uchaguzi kila kukicha. Kiufupi Polepole ambaye ni kada wa ndani wa CCM emeendelea kuwafungua macho watanzania huku shauku ya kumsikiliza ikizidi kukua kila pahali.
Komredi Polepole...
Urusi imerusha mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora magharibi mwa Ukraine usiku kucha katika moja ya mashambulizi makubwa zaidi ya mabomu katika wiki za hivi karibuni, maafisa wa Ukraine wamesema.
Mashambulizi hayo yaliripotiwa huko Zaporizhzhia, Dnipropetrovsk, na Lviv, ambapo mtu...