“Ujobless si kilema – ni hali ya mpito, lakini pia ni cheche ya mabadiliko.”
Katika kona za vijiwe vyetu vya kahawa, mitandao ya kijamii, na hata kwenye foleni za usafiri, sauti moja imeanza kusikika – sauti ya matumaini lakini pia yenye mzigo mzito wa ukweli. Sauti hii inaitwa CCMJless –...