Bei Rahisi Electronics
Senior Member
- Apr 4, 2025
- 197
- 584
Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi tena natafuta kinywaji najipongeza burudani kabisa
Hahaha 🤣Unafurahi kwa sababu wanateseka kama wewe. Hiyo ni roho mbaya.
AsantPole sana.
Na pia ni tatizo la akili 🤔Unafurahi kwa sababu wanateseka kama wewe. Hiyo ni roho mbaya.
Umeshapigwa na kitu kizito naona unajifariji.Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi tena natafuta kinywaji najipongeza burudani kabisa
Tupe mkasa uliokukuta.Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi tena natafuta kinywaji najipongeza burudani kabisa
Hahahaaa,itakuwa Kuna jambo lilikukuta siyo bure akiNikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi tena natafuta kinywaji najipongeza burudani kabisa
Umeiweka vizuri sana.Na pia ni tatizo la akili 🤔
Uchawi huu 🤣🤣🤣Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi tena natafuta kinywaji najipongeza burudani kabisa
Acha kunitia nyege bacHaiwezekani uteseke pekeyako mkuu..
Nakubaliana nawe,
Ila Kuna watu wanajua kupiga denda aisee 🙌 u feel it dadekii🚴🚴
Adi wewe🤣🤣🤣🤣 acha roho mbaya mkuu. Mapenzi matamu sana.
🤣🤣🤣 mapenzi yafutweee.Adi wewe
Mleta mada ni taahira.Nikiona watu wanagombana kuhusu Mapenzi nafurahi tena natafuta kinywaji najipongeza burudani kabisa
Na hisabati🤣🤣🤣 mapenzi yafutweee.