mapenzi

  1. Mapenzi sio poa kabisa: Ulichukua muda gani kurudi kama zamani?

    Vipi imewahi kukutokea hii, yani ulikuwa unampenda sana mtu Then hakukuoa/hakuolewa na yeye. Akaja akaoa/akaolewa na Mwingine kabisa? Kuna vitu vinaumiza sana sio siri.
  2. Ukiwa kama mzazi, ukifahamu mtoto wako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utafanya nini?

    Hili swala tunalijadili, tunaona vijana wa kiume wanavyoharibika lakini uneshawahi kifikiria likikitokoea kwa mtoto wako utafanya nini? Kuna mtu ninamfahamu amepata mental break down baada ya kufahamu kijana wake ana boyfriend.
  3. Kwa tuliopigwa na vitu vizito kichwani kisa mapenzi tukutane hapa

    Mapenzi huzuzua akili sana haswa pale yule umpendae kwa dhati anapokwenda kinyume na makubaliano yenu ama kutenda ndivyo sivyo!, karibuni tu share mambo hayo. Binafsi nilikua na mpenzi wangu wakike ambae tulikuwa jirani,awali alianza yeye kuniapproach nami nikazama penzini tukapeana vyakupeana...
  4. Ndege ya Las Vegas yatoa huduma ya kufanya mapenzi kwa gharama ya sh million mbili

    Kampuni ya ndege binafsi ya nchini Marekani ya Love Cloud imeanza kutoa huduma kwa wapenzi wanaohitaji kushiriki tendo la ndoa kwenye anga la Las Vegas wakiwa kwenye ndege za kampuni hiyo. Kwa mujibu wa Kampuni ya Love Cloud, huduma hiyo itachukua dakika 45 ambapo wapenzi wanaoshiriki tendo la...
  5. Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili. Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia. Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
  6. Kwanini wanaume tunalalamika zaidi katika mapenzi?

    Habari wana jamii, Nimekuwa nikiona humu ama katika maisha halisi wanaume tumekuwa tukilalamika zaidi kuhusu wanawake katika mapenzi. Iwe kwenye ndoa ama mapenzi tu yakawaida, wengi utakuta wanaume ndio walalamikaji juu yavitendo vya wanawake. Nimeshakaa na watu wenye ndoa zao na wamenionya...
  7. Muhudumu wa afya na mwanafunzi wa udaktari (intern) hospitali ya wilaya Kaliua, mkoani Tabora wasimamishwa kazi kwa kufanya mapenzi wodini

    Mkuu wa wilaya ya Kaliua, Paul Chacha amewasimaisha kazi watumishi wawili wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kushiriki mapenzi hovyo wodini. Chacha amesema awali ulifanyika uchunguzi baada ya wagonjwa kulalamikia vitendo vya wauguzi hao kufanya mapenzi wodini wakiwa zamu za usiku. Mmoja...
  8. Usitumie mapenzi kuzurumu haki ya familia ya mpenzi wako

    Ulimwengu wa sasa mapenzi yamekuwa ni biashara, mtu atajitokeza kuwa na wewe kwa sababu atanufaika na kitu fulani. Na hicho kitu kilichomvutia kikiisha au kupotea, uhusiano au mapenzi nayo yanakufa. Atakayebaki na wewe katika majuto yako ya pesa, wadhifa, au umaarufu wako pale utakapoisha; ni...
  9. Je, nikimnunulia chupi ya Tsh. 232,602.50/- atazidisha mapenzi?

    Salaam Wakuu, Nina Mwandani wangu nampenda sana. Natamani kuona anakuwa na furaha muda wote na kuniamini. Sasa kuna meseji iliingia kwenye simu yangu bahati mbaya, nikaona amebadilika japo hakutia neno. Nafsi inanisuta sana.. Nikawa natafuta zawadi ya kumnunulia ili iwe kama samahani ya kiutu...
  10. Ni Psychological Effects gani anapata kijana mdogo akifanya mapenzi na mtu mzima?

    Habari. Naomba mnisaidie kunijuza kuhusu psychological effects (madhara ya kisaikolojia) anayoyapata mtoto wa kiume au wakike akiwa na tabia ya kupenda kufanya mapenzi na watu wazima. Yaani waliomzidi umri sana mfano kama utofauti wa miaka 10 na kuendelea.
  11. Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

    Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe kavunja ndoa yake iliyodumu tangu 2012-2021. Miaka Tisa ya mahusiano si michache. Katika kutafuta...
  12. O

    Namkubali Rais Samia, lakini suala la Mbowe linapunguza mapenzi yangu dhidi yake

    Rais Samia binafsi nampenda lakini kila nikifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea. Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda. Samia ananipa wakati mgumu, kupinga utawala wake nashindwa maana mazuri mengi anafanya lakini swala la Mbowe anachemka tena vibaya sana...
  13. Njia za kujiepusha na mapenzi haramu

    Mapenzi haramu ni jambo baya kiafya na hata kiimani. Tukifanya mapenzi kulingana na utaratibu uliowekwa wa kibinadamu basi kuna faida nyingi ikiwemo. Kupata watoto na kujenga familia jambo ambalo ni baraka. Zipo baadhi ya njia za kujiepusha na mapenzi haramu/mapenzi yanayofanyika pasipo...
  14. Siku hizi wanawake huchoka mapema sana wakati wa kufanya mapenzi

    Ndiyo, Hili Tuliite wimbi la wanawake wengi kuchoka haraka. Maana hii imekua too much. (Msiniulize Nimetembea nao wangapi, Ila wee jua tu Ni wengi) TAHADHALI: Mnaojiona Ni Maparoko, mashehe, maustadhi, wayahudi wafilisti, manabii, wainjilisti na mashemasi huu Uzi mngekaa nao mbali kabisa...
  15. Ni vizuri kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada kipi ni kipi? Ushauri tafadhali

    Wajumbe hawajamuacha mtu salama kauli hii ni enzi hizo. Wadau tuchambueni maada hii kwanu nipo njia mbaya sijui chakufanya. Before or after ndio poa.
  16. Tambua mambo sita ya ajabu kutoka kwa jamii ya Aghori nchini India

    Habarini za Alhamisi natumaini mpo vizuri sana, poleni kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema. kama ilivyo kawaida yangu ya kuwaletea makala za kutambua mambo mbalimbali kuhusu jamii kadhaa hapa duniani. kuanzia utamaduni wao, mila pamoja na namna ya maisha yao kwa ujumla. Leo nitakuja...
  17. Jinsi mapenzi yalivyofanya ufalme wa Egypt/Mizraim kuanguka na kusambaratika

    Hello... Previous I wrote a topic centered on Greece and we discussed a bit about Egypt, So this Topic will be serving as a spin-off of that Topic. Will focus on Rise and fall of Egypt , Pharaoh's Dynasty Respectively Baada ya gharika iliyoikumba dunia wakati wa Noah (Nuhu) watoto wake wakaanza...
  18. Mfumo kamili wa Mahusiano na Mapenzi kwa ujumla

    Tumeelewana au niongeze Nyama?
  19. Mapenzi yanauma sana

    Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha. Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5 , ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia...
  20. Tetesi: Mapenzi siyataki tena Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny

    Mapenzi siyataki tena,'Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny Rayvanny ni msanii wa Bongo aliyesajiliwa chini ya WCB Wasafi. Yeye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Next Level music. Rayvanny aliachana na mpenzi wake na mama wa mtoto wake Fahyma mapema mwaka huu . Alianza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…