mapenzi

  1. Aen Urner

    JamiiForums Tanzania Hajawahi kuwa mpenzi wangu ila kila nikiota ndoto namuota nashiriki naye mapenzi

    Aisee, naomba kushare kitu... kuna mdada alikuwa jirani yangu tumekua na kucheza pamoja tukiwa watoto, tumesoma wote darasa moja primary school, secondary school tumesoma shule tofauti kwa vile zilikuwa day schools tulikuwa pia na muda mwingi wa kuonana na kupiga stories, lakini hatukuwahi kuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wamasai kupelekwa Tanga mapenzi yalipozaliwa, soon tutaanza kupata unafuu

    Maswala ya Ngorongoro sijui waondolewe au wasiondolewe hayo hayanihusu. Mimi na tazama upande wa pili hawa dada zetu wakimasai magogo kitandani sasa uko kuchanganyika na watanga itakua nafuu, haiwezekani unakula mtu hata hajigusi, macho anatoa kama anakula mgagani au anakunywa muarobaini...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nimejifunza mengi kutoka kwenu, lakini bado nahitaji ushauri

    Hello JF members, Ilibaki kidogo tu nijiengue ndani ya JF baada ya kupondwa na wengi kuhusu tatizo langu lililousumbua moyo wangu, lakini ntafanya nini, sikuwa na mtu wa kumlilia, ndo maana niliamua kuanika dukuduku la moyo wangu kwenu nikiamini ningepata kutiwa moyo, lakini ilikuwa tofauti...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar: Mchina adaiwa kumuua mwenzake na kumjeruhi mwingine kwa risasi, chanzo ugomvi wa mapenzi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mtuhumiwa ZHENG s/o LINGYAO, 42, raia wa China Mkazi wa Dar es Salaam kwa tuhuma za kumuua FU s/o NANNAN, 26, Raia wa China, mfanyabiashara na mkazi wa Kalenga Ilala Dar es salaam. Tukio hilo limetokea tarehe 11/06/2022, Mtaa wa Kalenga...
  5. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni fumbo gumu sababu moyo wa mwanadamu ni msitu mnene

    Kumekuwa na dhana potofu sana pale mtu anaposumbuliwa na mapenzi watu wanamwambia tafuta ela wanashindwa kuelewa mambo yafuatayo. Kuna utofauti wa sex na love, ukiwa na ela itakupa uhakika wa kupata sex mda wowote na matamanio, wanawake wengi watakutaman na matamanio yanakuja na kuondoka...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Bwana Bonge alichanganywa na uchungu wa kuuguza mke na mapenzi ya mama wa kazi

    Bwana Bonge ni mmoja wa matajari wa nchi ya Kusadikika, alimuoa classmate wake ambae alijaliwa kupata nae watoto wanne. Wakike mmoja na wanaume watatu. Watoto wote walishakua na miji yao na wengine waliishi nchi za mbali. Mrs Bonge aligundulika na saratani ya ziwa akiwa na miaka 40, wakati...
  7. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kwani ni lazima kumpatia kifuta jasho baada ya kufanya naye mapenzi?

    Kawaida sikuwa na tabia hiyo, baada ya kumaliza tendo, nilimwacha aende zake, baada ya siku mbili angenitafuta na kuniomba pesa kwa visingizio vya hapa na pale, nami ningemtumia kwenye simu imfikie huko huko kwao! Mapenzi kidogo yanakuwa yenye discipline! Nilimkosea akashindwa kusamehe, kila mtu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

    Labda ni kwa vile sikulifahamu hili kwa undani zaidi, ndio maana nikajikuta naumiza moyo wangu tu. Kwa mwanaume wa sasa ukiwa na shida labda na elfu 30 ukampigia simu kumuomba, atakwambia njoo uijie nyumbani, na pindi unapofika kwake hakuna cha ziada mbali na kufanya nawe mapenzi kwanza ndipo...
  9. XII Tz

    JamiiForums Tanzania Je, ni mapenzi au ana lake jambo?

    Tuliachana mwezi January mwaka 2018, kila mtu aka-move on na yakwake, binafsi niliumia sababu nilimpenda kweli na yeye alinipenda ila kama unavyojua sababu tu za kiufundi za hapa na pale zikatutenganisha. Nikiri tu kuwa shinikizo kubwa la mimi na yeye kuachana ilikua ni rafiki zake. Rafiki zake...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanasema hakuna umri katika mapenzi lakini miaka ikipishana sana mtakutana na changamoto nyingi

    Rashid alizaliwa mkoani, baba yake ni mkulima wa mahindi na wana shamba la ekari 200. Mahindi yao wanauza Zambia. Hawako vibaya kiuchumi lakini baba yao aliwafundisha heshima ya pesa. Hata apate bei nzuri ya mazao, mzee hakuwa na matumizi ya ziada zaidi ya chakula kizuri nyumbani na nyumba...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kisa wivu wa mapenzi, mume adaiwa kumuua mke kisha kumtenganisha kichwa, kiwiliwili na viungo vingine

    Mwanaume mmoja Mkazi wa Kitongoji cha Lubela, Mtaa wa Nyashimbi, Kata ya Mhongolo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga, Bundala Mathew anashikiliwa na Polisi, kwa tuhuma ya kumuua mkewe, Rehema Nyamgila kwa kumcharanga mapanga. Imedaiwa baada ya kutekeleza mauaji hayo, alitenganisha viungo vya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

    Nina miaka 34 sasa nikiwa mama wa watoto 3, hakika sina budi kukubali kuwa mapenzi hayanitaki tena hayanipendi kabisaa, japo niliyapenda na kuyapa thamani katika maisha ila nimeangua sina budi kuyaacha rasmi kuanzia leo. Historia yangu kwa ufupi, Mpenzi wa kwanza. Huyu alinionesha mapenzi...
  13. Poker

    JamiiForums Tanzania Kisa cha ajabu kabisa katika mapenzi

    Kuna jamaa yangu alikuwa na demu wake mzuri kweli, ila demu akasema hataki sex mpaka waoane. Jamaa yangu akaona sio hiyana akaamua kumwoa, sasa katika usiku wa fungate wakiwa huko Kruger national park si ndio kumbananisha demu atoe mzigo, katika purukushani ya vuta nikuvute kamvua demu! Duh...
  14. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba Mbinu zinazoweza nisaidia kuachana na Mapenzi chuoni

    Habari wana jukwaa Naomba msaada tafadhali wale waliomaliza Chuo bila kua na mahusiano ya kimapenzi waliweza vipi? Na wale ambao walikua na mahusiano lakini baadae wakaacha na wakamaliza single walifanya nini? Msaada kwa kweli nauhitaji, nijiokoe mimi pamoja na Mabinti zenu muwaokoe maana...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Binti jiepushe na mambo haya usije kuuawa kwenye mapenzi au ndoa

    Kwema Wakuu! Baada ya kushauri Vijana wa Karne hii ya 21+ mambo ya kuzingatia ili wasijekuuwa na kujiweka matatizoni, Leo nitamalizia na Wanawake ili mambo haya yapungue. Andiko hili nitaliandika Kwa makundi mawili ya watu(wanawake) kundi la Wafuata mifumo ya Kiimani, kundi la pili ni...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Epukeni kuiga mapenzi, wala kufuata ushauri wa mtu, kila mtu ashinde mechi yake

    Kitu mapenzi haina formula; Usisikilize ushauri wa mtu hata kama ni nani! Fanya mapenzi yako kwa style yako! Chimbuko kubwa la anguko katika mapenzi ni kufurahisha au kusikiliza maoni ya watu! Ukipenda kusikiliza story za rafiki yako anavyochepuka ni rahisi sana kuchepuka! hivyo ACHA...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Leo nimekutana na Sikujua akilia kwenye busi kisa mapenzi

    Sikujua ni wale golden girls katika familia, amesoma elimu yake yote kwa msaada kidogo wa wazazi na msaada mkubwa shukran kwa serikali. Alipomaliza shule alibahatika kupata kazi katika taasisi ya umma. Ana kazi yenye heshima na kipato kizuri tu. Miaka 13 iliyopita alikutana na Raymond, kijana...
  18. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Epuka mambo manne 4 kabla au wakati unaelekea kujamiiana(kufanya Mapenzi) na mwenzi wako

    1. Usinyoe nywele sehemu za siri. 2. Usile chakula kingi Muda mfupi kabla ya kuelekea kumpelekea moto au kupelekewa moto(kugongwa). 3. Usije ukanywa dawa za maumivu ikiwa unahali ya kuumwa/Homa achana na kufanya tendo hilo Hadi hapo hali itakapotengemaa. 4. Usile vitu au vyakula vyenye viungo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume, zingatieni sana jibu la kwanza mnalopewa mnapotongoza ili kumpata mwenye mapenzi ya dhati

    Unapomfukuzia mwanamke kuwa makini sana na jibu lake la kwanza kutolewa kinywani mwake. Ukikataliwa, ukipewa excuse, ukiambiwa "mimi sikupendi", ukiambiwa "shika adabu yako", ukiambiwa "aku mm nina mtu wangu" ama jibu lolote linalofanana na hayo LIHESHIMU. Ukikomaa utakuwa na mpenzi ama mke...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanaume

    Wapendwa habari zenu. Mimi ni mwanamke mwenye miaka 33, ni mwajiriwa wa sekta binafsi mkoani Rukwa. Mimi ni mkristo na Nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu nikiwa nahitaji mwanaume mwenye hitaji kama langu. Awe mkristo mwenye umri kuanzia miaka 33-49, mwenye kipato halali, awe na utayari wa...
Back
Top Bottom