Kijana mmoja mkoani Kilimanjaro, kutoka kijiji cha Manushi kati anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kufanya mauaji ya baba yake mkubwa aitwae Mushi pamoja na mkewe.
Mauaji hayo yametokea leo siku ya Jumanne majira ya saa kumi jioni baada ya kijana huyo kuvamia nyumbani kwa wanandoa...
Kundi la watu wanaokadiriwa kuwa 8 usiku wa kuamkia Juni 4, 2022 wamevunja nyumba moja iliyopo Mtaa wa Bomani Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani na kufanya ukatili wa kubaka, kuiba vifaa vya ndani na kujeruhi kwa mapanga na kutokomea kusikojulikana
Wahalifu hao walifunga komeo kwa nyumba za...
Dar es Salaam.
Familia sita zinazoishi mtaa wa Kwembe Mpakani jijini hapa, zimevamiwa na watu wanaodaiwa kuwa wahalifu, wakiwa na mapanga nondo na mawe kisha kuwajeruhi watu wanne na kupora vitu mbalimbali.
Tukio hilo la aina yake lilitokea usiku wa kuamkia juzi ambapo vijana zaidi ya kumi...
Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, ametoa pole ya shilingi laki moja kwa kila mwananchi aliyekatwa mapanga na vijana wanaodaiwa kuwa ni Panya road katika mtaa wa Mtongani Kunduchi usiku wa kuamkia Mei 2, 2022. Jumla ya wananchi 19 walijeruhiwa kwa mapanga.
Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21
Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi.
Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema!
Inashangaza kuona...
DIWANI ILEJE ANUSURIKA KIPIGO CHA WANANCHI KISA UJENZI WA KITUO CHA AFYA,DC AFIKA NA KUZOMEWA, MGAMBO Akatwa MAPANGA.
Diwani wa kata ya Ndola Mhe Bahati Kyomo amenusurika kupigwa na Wananchi wa Kijiji cha Ishenta kilichopo kata ya Ndola Wilayani Ileje kutokana na Wananchi kutaka kituo cha Afya...
Mwanamke aitwaye Limi Kulwa (30) ameuawa kwa kukatwa na panga sehemu za kichwani, usoni, na mikono yote miwili katika kijiji cha Ilunga, kata ya Iyenze, Manispaa ya Kahama mkoa wa Shinyanga akituhumiwa kumuua kwa kumroga baba mkwe wake aitwaye Lusana Kulwa (60).
Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
Mungu anajua sijawahi liua jitu hata siku moja lakini ikitokea lile jamaa likafa shauri yake na familia yake.
Mwaka jana nimeibiwa mara mbili nikahama mtaa.
Wiki iliyopita nimemkosa kidogo tu, ashukuru niliamka usingizini nikiwa na pombe kichwani na kupelekea kupiga kelele akasepa zake. Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.