mapambano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
  2. Baada ya kupigwa mapambano matatu mfululizo, Israel Adesanya aomba warudiane (rematch) kwa mara ya nne

    Baada ya kupigwa katika pambano la tatu mfululizo, Isreael Adesanya hajakubaliana na matokeo. Kaomba liandaliwe pambano lingine dhidi ya mpinzani wake Alex. Izzy anachotafuta ni aibu zaidi, akubali tu kwamba Alex ni level nyingine lasivyo ataharibiwa career yake.
  3. Kikosi cha kuwaua wanajeshi Warusi wanaokimbia mapambano chabuniwa

    Jameni kuwa mwanajeshi wa Urusi ni shida, kule mbele mnapigwa na kuuawa kama senene, mkirudi nyuma mnauawa na kikosi kilichobuniwa na Putin cha kuua wanaokimbia. Sidhani kama kuna miaka itakuja Warusi wasahau hii aibu wanayofanyiwa na kainchi kadogo. Wazungu wa Urusi sijui walikosea wapi, sio...
  4. Nyerere DAY 2022: Picha adimu

    NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA) Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa 1953 katika ya Abdul Sykes na Julius Nyerere. Maswali yamekuwa mengi kwangu kuwa imekuwaje miaka...
  5. Wazalendo wa Ukraine wakuta ngome zimekimbiwa, waliingia huku wamejiandaa kwa mapambano

    Hivi vita kuna wakati vinakua kama kioja, kuna maeneo Ukraine wanaingia fulu combat wakiwa tayari kupambana na kukuta yamekimbiwa na kubaki kama ghost town. IZIUM, Ukraine (Reuters) -Ukraine said its troops have marched farther east into territory recently abandoned by Russia, paving the way...
  6. Ukraine wafaulu kupasua ngome mpya ambayo Warusi wanaokimbia mapambano walikua wamejichimbia

    Warusi waliokimbia mapambano waliungana na wenzao na kujichimbia upande wa pili wa mto Oskil na kusuburi, ghafla wazalendo wa Ukraine wakawasili kama kawaida kishujaa na kufyatua kila kitu hadi wakavuka mto na kuendelea kupokeza kichapo.....vilianzia Crimea vitaishia Crimea....vijana wanajitoa...
  7. TPBRC: Mapambano ya Mandonga hayatambuliki

    Achana na umaarufu wa Karim 'Mandonga' Said, unaambiwa mapambano yote aliyocheza hivi karibuni, ni ya maonyesho ambayo hayajampa rekodi yeyote kwenye renki. Pambano lake la Machi 26 alilochapwa kwa Knock Out (KO) na Magambo Christopher ndilo lilikuwa la mwisho kuingizwa kwenye rekodi, huku lile...
  8. Kikosi cha angani cha Urusi kimeishiwa, wamebaki kutazama mapambano kwenye TV

    Ndege zimekua zinadunguliwa kila ikijichomoza moja, sasa hivi imekua hatari kupaa kwenye anga za Ukraine na imesababisha wana anga wa nchi hiyo kujitazamia kwenye TV kama mechi vile.... ==== Ukrainian troops are on the move—rolling along wide highways and across open fields as they...
  9. Kiongozi wa Chechnya aponda na kukosoa majeshi ya Urusi kwa wao kukimbia uwanja wa mapambano

    Asema ni kosa kubwa sana limefanyika na litagharimu pakubwa, haamini macho yake majeshi ya Urusi yanaacha silaha za kila aina na kutoroka. Chechen ambao ni wapiganaji wa kiislamu walijitokeza kuisadia Urusi kwenye hivi vita ila sasa hivi hali imekua sio tena. Ramzan Kadyrov: ‘If today or...
  10. Urusi yaanza kutumia helikopta kusaka wanajeshi wake waliotoroka mapambano

    Idadi kubwa ya wanajeshi wa Urusi wameona hamna tija ya kufia kwenye nchi ya watu, wameanza kutoroka huku wakifukuziwa na helkopta. ======= Russia has deployed helicopters and weapons in the occupied Ukrainian Kherson region in an effort to round up soldiers who had deserted their positions...
  11. SoC02 Tuimarishe mapambano dhidi ya ugonjwa wa akili nchini Tanzania

    Unajiona sio mtu mwenye umuhimu tena kwenye haya maisha na hujui nini kimekukuta au wapi ulipokosea, unatamani kulia sana na upate mtu wa kumweleza unayoyapitia, umeamua kuwa mtu wa liwalo na liwe, sikia nafahamu maumivu uliyokuwa nayo unahisi watu hawajali kuhusu unayopitia siyo kweli fahamu...
  12. Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanajijeruhi kwa risasi miguuni ili waondolewe kwenye mapambano

    Imekua kawaida kila panapotokea pambano, baadhi yao kwa uwoga wa kupambana wanajipiga risasi kwenye miguu ili waondolewe kwenye vita na kulipwa. Wengi hawapigani kizalendo maana huu ugomvi hawaelewi tija yake, hawaoni sababu kwanini wafie humo. ================ A Russian paratrooper who fought...
  13. M

    SoC02 Kalamu na karatasi ni nyenzo za msingi kabla ya kuanza mapambano

    Sisi Kama WATANZANIA au wanadamu Kila mmoja anashughuli ambayo anaifanya ili kumuingizia kipato Cha Kila siku ambacho kitamsaidia kukidhi mahitaji yake binafsi na familia yake kwa ujumla. Na Kama siyo hivyo basi ipo shughuli ambayo Kila mmoja wetu anaamini akishiriki kikamilifu katika shughuli...
  14. Mapambano ambayo yapo mbele yako

    MAPAMBANO AMBAYO YAPO MBELE YAKO! Anaandika, Robert Heriel Kabla sijaenda mbali, niseme maisha yanahitaji roho ngumu ya ustahimilivu, bila roho ngumu haya maisha yatakutoa Knockout katika hatua za awali kabisa Labda niweke hivi; 1. Kuwa hodari na jasiri. Usiwe muoga oga, kwenye maisha huna la...
  15. Bondia Mandoka achapika, Kidunda ashinda, Mapambano ya ndondi Uwanja wa Majimaji - Songea, Julai 30, 2022

    Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022: Ndunguru ashinda Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6. Mtu kachapika TKO...
  16. Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, leo Julai 12, 2022

    ====== Maxence Melo: PESA ZA UVIKO SIO BWERERE, TAKUKURU IPO MACHO Tanzania imeelezwa kuwa ni miongoni mwa Nchi zinazofanya vizuri katika mapambano dhidi ya rushwa licha ya changamoto kadhaa, ambapo ushauri umetolewa pesa za UVIKO-19 zinazotolewa na Serikali zikitakiwa kutumiwa vizuri kwa...
  17. Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika: Fedha zinazolenga kukabiliana na athari za COVID-19 zinawanufaisha Wananchi?

    Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na Mifumo ya Wazi ya Usimamizi ya Fedha za UVIKO-19" Tangu kuanza kwa janga la COVID19 kumekuwa na taarifa...
  18. TANZIA Gwiji la Siasa na Mapambano ya Kudai Uhuru, Mzee Bilali Waikela amefariki dunia

    Wanaukumbi. Inna lillahi waina ilayhi rajiuun Ndiyo Lugha pekee ambayo inaweza Kuliwaza Mtetemo wa Moyo, Huzuni na Simanzi Kubwa Waliyonayo Waislamu na Watanzania kwa Kuondokewa na Mzee wao, Mpigania Uhuru wa Tanganyika, Mpigania Uhuru aliyemhami Mwalimu Nyerere (Rais wa Kwanza wa Tanzania)...
  19. Hawa viongozi wa Bavicha waliwabagua wanaYanga na kujiegemeza kwa Simba. Mapambano ya katiba mpya ni kwa Simba FC? Huu ni ubaguzi na hawafai kabisa

    Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
  20. L

    Ofisa wa UM asema mapambano kati ya Ukraine na Russia yanaharibu utendaji wa uchumi wa Afrika

    Mjumbe wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP nchini Kenya Bw. Walid Badawi amesema, mapambano kati ya Ukraine na Russia yanaathiri vibaya utendaji wa uchumi wa Afrika. Bw. Badawi amesema, mgogoro huo umesababisha ongezeko kubwa la gharama ya bidhaa za msingi barani humo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…