mapacha

  1. ELI COHEN

    DNA inaonesha hawa mapacha wana baba tofauti, inawezekanaje?

    Dr Seran na dr dosho12 what happened here?
  2. technically

    GE2025 Wanamtandao na Yanga ni mapacha?

    Rostam ni mwanamtandao na ni yanga Kikwete Ni mwanamtandao na ni yanga Fatma Karume Mwigulu Hersi Mavunde Ridhiwani GSM Maulidi kitenge Na wengine list Ni ndefu Sio bahati mbaya yanga Kutoa million 100 kwa Samia Huu mtandao ni ngumu Sana kuuangamiza
  3. Tuo Tuo

    Nitajieni majina ya Kibena ya mapacha??

    Wale wa mkoa wa Njombe,mbeya,Iringa Nipeni majina ya kibena kwa ajili ya mapacha. Haya ni baadhi ila si ya mapacha 1.Atupele 2.Atugavie 3.Alatuhiga 4.Alanzawe 5.Amsho 6.Tulazabihwa NB: msiniletee ya majina ya kizungu wala kiarabu
  4. R

    Mapacha walikuwa watatu, kumkata mmoja pekee SI sawa

    Salaam! Mapacha watatu,Vijana wababaifu waliotutambia Enzi zile kwamba hatuwawezi kwa lolote ni yule wa Mtama, Tanga na Singida. Sasa wajumbe wamekosea kumkata mmoja na kuwaacha wawili ndani, Ombi: Tunawaomba wajumbe wamalizie kazi ikibidi watuongeze na mmoja zaidi wa pale Geneva ya Africa...
  5. Papillon 1906

    Mapacha walioungana walipwa mshahara wa mtu mmoja

    Abby na Brittany ni mapacha walio ungana wana miaka 34. Wakati wanasoma chuo walikuwa wanalipa Ada (college fees) kila mtu yake. Baada ya kupata ajira wanapokea mshahara wa mtu mmoja. Abby na Brittany Walimaliza chuo muongo mmoja uliopita walisomea walimu asa hivi wanafundisha elementary school.
  6. Papillon 1906

    WAISLAMU WANARUHUSIWA KULA NGURUWE KWA MAZINGIRA HAYA

    Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo. Maana katika maandiko...
  7. Terrible Teen

    Kwenye Siasa za Compromisation, Mbowe na Zitto ni Mapacha Wanaofanana

    Kwa nafasi yangu nimefanya kazi kwa wakati tofauti na Mbowe na Zitto niseme tu hawa jamaa wanafanana sana kwenye siasa za kulinda maslahi yao binafsi. Wakati wa jakaya, ZZK ametumika sana kufanya siasa za kumaliza watu wa CCM kwa kutumia Kamati za Bunge huku yeye akıla vinono. Hali kadhalika...
  8. H

    Dini na wanasiasa ni mapacha wanaoshirikiana kuwanyonya na kuwaamgamiza WAAFRIKA

    Huwezi ukatenganisha wanasiasa, na dini kwani hawa ndiyo vibaraka wa ukoloni mamboleo na wanyonyaji wakubwa kupitia zaka na kodi za Waafrika. Makanisa na misikiti hawalipi kodi, serikali inawaacha tu ili wachungaji na masheikh waje kuwasaidia kuwahubiria Waafrika yaliyomo kwenye vitabu vya dini...
  9. Fbn

    Tuna bahari ila uwezo wa kupata samaki wa bahari mikoa mingine ni kama ndoto?

    Hivi hakuna tajiri ambaye mwenye uwezo wa kununua meli inayoweza kuvua tani kubwa za samaki. Sawa tuna serikali njia za reli ila zimeshindwa kuwa na mabehewa yenye friji kusambaza bidhaa hii ya samaki. Tuje kwa wawekezaji hakuna mtu ambaye ataweza kuonesha kumbe watu wa maziwa tunaweza kupata...
  10. LIKUD

    Gemini (Mapacha) wenzangu mnatumia mbinu gani kushindana na Egoism?

    Kwa mujibu WA elimu ya Astrology kipengele cha Zodiac ,Watu WA nyota ya Mapacha( Gemini) ni watu walio zaliwa Kati ya tarehe 21 May Hadi 20 June. Watu WA nyota ya Mapacha wana sifa moja common dunia nzima. They are so proud ( wajivuni kupita kiasi) They have got the most biggest egos in the...
  11. The Father of All

    Nimewaita wajukuu zangu mapacha Sami na Samia

    Katika harakati binafsi za kuunga mkono na kupongeza, juzi nilipata changamoto. Mtoto wangu wa kiume aliniletea wajukuu zangu mapacha wa kike na kiume. Kwa heshima na kumhusudu doktari Samia Suluhu Hassan, nimewaita Sami na Samia. Je, nimechemsha au nimepatia. Kumbuka. Mimi si chawa wala...
  12. Boss la DP World

    Good News: Nimepata watoto mapacha mmoja Benjamin mwingine Netanyahu

    Karibuni duniani mashujaa Benjamin na Netanyahu, kuna nguvu kubwa kwenye majina yenu.
  13. ELI COHEN

    Jamaa wa Kenya imembidi awaoe mapacha maana hawataki kutenganishwa

    Ni mtangazaji wa Redio huko Kesho na umri wa miaka 26 na madenti wenyewe wana 20. Madenti wanasema hawajawi kutenganishwa tangu utoto, shuleni hadi ukubwani. Mabaharia wa JF naona tayari mmeshaanza fantasies zenu za threesome hahahah. Jamaa anasema: “Niliona wanafanana kwa kila kitu...
  14. C

    Je, kuna njia au dawa ya kupata Mapacha?

    Wana JF Mimi ni mmoja wanaopenda sana watoto mapacha, tena mapacha wanaofanana hasa wakiwa wa kike! Je, kuna njia yoyote ya kitaalam au hata ya kienyeji, au dawa iwe ya kisasa au ya kienyeji ambayo itawezesha hili, au mapacha ni jambo la kiasili na kimaumbile kama watu wanavyodhania?
  15. MUWHWELA

    Wajue mapacha watatu wanaoitafuna dunia ya sasa watakavyo

    Twime TUBITE "Hakuna mfano nyuma ya mfano,nyuma ya mfano Kuna Imani" MAPACHA 3 wa Siri wanavyoifanya Dunia watakavyo, MAPACHA wenyewe kwa nje wanaonekana kama maadui na jamii kubwa inaelewa hivyo Lakini kwa Siri sana wanashirikiana kugawana makundi ya watu. DINI,(religion) SERIKALI...
  16. Mturutumbi255

    P Square: Safari ya Mapacha kwenye Muziki, Migogoro na Maridhiano

    Katika ardhi ya Jos, jimbo la Plateau, Nigeria, tarehe 18 Novemba 1981, mapacha Peter na Paul Okoye walizaliwa. Kama nyota wawili wakongwe waliovutwa kwa nguvu ya ajabu, walionyesha vipaji vyao vya muziki na dansi tangu utoto wao. Wakiwa na ndoto kubwa kuliko anga, Peter na Paul walichochewa na...
  17. U

    Mapacha wanne waliozaliwa siku moja watimiza miaka 83 ya kuzaliwa

    Wadau hamjamboni nyote? Mapacha wanne Leo wanasherehekea kutimiza miaka 83 ya kuzaliwa kwao Ujumbe wao: we are quadruplets, today we turned 83, we are waiting for congratulations from you 🥹🎂
  18. Nahman

    Furaha ilioje, leo mimi ni baba wa mapacha!

    Natumaini ni wazima ndugu zangu Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako. Hadi sasa natafakari zawadi ya kukupa nakosa. Ulinipigia na kuniambia, Nahman unaendeleaje na kazi. Hongera tumepata...
  19. M

    Naingia kwenye mahusiano na mapacha mara kwa mara, kitaalamu ipoje hii?

    Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mara kadhaa nimekuwa nikiingia kwenye mahusiano na hawa dada zetu lakini baada ya muda nakuja kugundua kuwa huyo mtu niliyenaye kwenye mahusiano ana pacha wake(TWIN) au nikimtongoza mdada ambaye ni pacha anakuwa mwepesi kunikubalia sasa huwa...
  20. Area 56

    Wanawake walioungana mmoja aolewa

    #FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa mwaka 2021 Aliyetangaza kuolewa ni Abby Hensel ambaye ni pacha aliyeungana upande wa kushoto ambapo...
Back
Top Bottom