Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Yammi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kusambaa kwa video inayomwonyesha akiwa ndani ya gari huku akijirekodi na kuimba wimbo.
Baada ya video hiyo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, mashabiki na wafuasi wengi walianza kuibua mjadala na tetesi za...