Yaaan mwezi huu tu NIMEONA watu zaidi ya kumi wamejinyonga
Hivi majuzi dk swai nae kajinyonga pale Moshi
Nduguyetu Ronaldo mfanyabiashara WA Moshi msaranga nae KAJIUA
Leo nimeangalia taarifa ya habari watu wawili TOFAUTI
Wamejiua
Nawazaa waliojinyonga nkakutana na mtoto kamuua babayake...
Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imepanga Agosti 12, 2025 kutoa uamuzi wa maombi ya mapitio yaliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano, Julai 16, 2025 na Jaji Elizabeth Mkwizu, baada ya kusikiliza...
Huduma tunaziotoa ni zifuatazo
1)Kutengenezea mtu AVN NUMBER kama amesahau password
2)Kufanya application ya leseni kwa wale clinical officers
3)Kufanya application za transcript kwa wale clinical officers
4)Kusolve tatizo la no username na password known nacte
Usisite kupiga 0759-124378
Nimeregister nikapewa username, password na control number ya malipo.
Baada ya kufanya malipo yakapokelewa na meseji nimepata kabisa lakini nikienda kulog in naletewa notification pale juu kwamba nifanye malipo!
Nikilog in mfumo hauendelei mbele wala haufunguki niweze kuingia kwenye akaunti...
Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka.
Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze...
Kanisa la Mungu lipo mioyoni mwetu!
Sisi tunamwabudu Mungu wetu wala hatujaua Mtu wala hatujaiba cha mtu wala hatujateka mtu.
Jumapili ijayo chonde chonde makanisa yote ya ufufuo na uzima kila wilaya tukutane kwa maombi ya mkakati na nguvu zaidi kama majeshi ya bwana!!
Wanakaribia kutema bungo!
KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi.
Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida.
Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka.
Mungu hakuwaacha.
Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la...
Rais wa Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa ametangaza kuwepo kwa maombi ya kufunga Agosti 23, 2025 kuombea haki na Amani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Ameyasema hayo Juni 29 katika misa ya kutolewa kwa daraja takatifu la upadre na ushemasi katika parokia ya...
Hii imekuwa toomuch sasa naomba uzi mmoja uwe LIVE kila uzi uunganishwe hapo.
AHSANTE.
https://www.jamiiforums.com/threads/ester-bulaya-asema-alikuwa-chadema-kwa-mkopo-amerejea-nyumbani.2358370/unread...
Ulitamka katika vitu unamuomba Mungu vile ni Simba na Yanga maana (sio kwamba huzipendi) ndizo zinatumiwa na serikali ya CCM kupumbaza watu wasijue haki zao bali warubuniwe.
Miongozo na kanuni za mpira duniani pote ni kuuweka mbali kabisa mpira na siasa.
Ndio maana tuliona vita kule Angola...
Leo nimemsikia Tundu Lissu akilalamikia kutoruhusiwa kwenda kusali na kumuomba Mungu. Mie namshauri amuombe Samia na kumshukuru na mambo yake yatanyooka.
Miongoni mwa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima (Kanisa la Gwajima) akifanya maombi ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa na kuwekwa humo ikidaiwa sababu ni kuandamana na kukataa kutekeleza amri ya Jeshi la Polisi iliyowataka kutawanyika na kuacha kuendelea kufanya ibada pembeni ya...
Ni wakati sasa askofu Gwajima na kanisa lake wafanye maombi ya nguvu kuwazuia polisi wanaozuia waumini wa kanisa hili kufanya ibada yao ya Jumapili. Kwani kosa lilifanywa na waumini au na askofu mwenyewe? Huu ni uvunjifu mkubwa wa haki ya kuabudu unaofanywa na serikali ya CCM kupitia Polisi na...
Napenda kusema kwa sauti ya ndani: Ninasubiri kwa hamu siku baada ya tarehe 8 Juni.
Kwa ajili ya kumalizika kwa mfungo wa maombi ya siku 7 yaliyoitishwa na Askofu Josephat Gwajima.
Siku ya kwanza ya mfungo huo (tarehe 2 Juni), usiku, ilisikika video yake akisema:
Tangu hapo:
Hakujulikana tena...
Watu wanauliza na ku - speculate Askofu Gwajima alipo na anafanya nini...
Wengine kina DC wa Ubungo mhuni Albert Msando wanadhani na kudai labda Mchungaji wetu kajificha eti kwa kuwaogopa polisi..
Anadai kama ana haki na yuko sahihi, basi ajitokeze na kueleza nini kimetokea hadi ikawa vile...
Wakuu habari za kuamka....
Mwenzenu najiskia vibaya sana sana sana yaani vibaya mnooo.. Natamani hata nisingekua nimeshika simu leo,. Kuna mtu kaweka status "Forever in our hearts" kampost mtu ambaye alifariki 2012 hadi nilishamsahau,. Nilikua mtoto lakini huyu mtu kila siku nilikua namuombea...
Silaha zote zitumike, wanaoongea waziwazi, keyboard warriors na wenye imani mbalimbali tuendeleze mapambano.
Hapa tuweke maombi yetu ya kiimani dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji.
Wahusika waharibiwe.
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, Ubungo Dar es Salaam wamelazimika kufanya maombi pembezoni mwa Barabara ya Ubungo-Kimara baada ya kanisa hilo kufungwa.
Kanisa hilo limefungwa huku askari polisi zaidi ya 20 wakiwa wamelizunguka kuimarisha ulinzi eneo hilo.
Mungu fundi
Mungu fundi
Mungu hajawahi shindwa
Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final
Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa
Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe
Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah
Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu
Nakama...