maofisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Rais Samia awatunuku kamisheni maofisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu leo Novemba 22, 2025 amewatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Rais Samia amewatunuku maofisa hao katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) kilichopo Monduli mkoani Arusha. Ambapo maofisa hao ni...
  2. Mhaya

    GE2025 Viongozi Serikalini Wanataka Wananchi Mkinukishe Kwanza ili Wawaunge Mkono

    Ukifanya upembuzi yakinifu utagundua viongozi wengi serikalini sio kwamba hawaoni yanayotendeka. Shida inakuja ni kuwa wenye uwezo wa kusema hapana ni wananchi wenyewe. Hivyo viongozi wengi wanasubiri kuona nguvu ya umma ikifanya maamuzi. Fuatilia kwa umakini tu huko maofisini utagundua...
  3. M

    GE2025 Chahali: Kuna Maofisa Usalama wa Tanzania wamekamatwa Marekani wakipanga kuwadhuru Wanaharakati Watanzania waishio huko

    Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko. Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
  4. FYATU

    Siku Tanroad mkifanya opereseheni ya kuwaondoa "Wavamizi" wa miundombinu yenu muongozane pia na Maofisa wa Wizara ya kazi

    Sio kwa sababu ya kuwakwamisha zoezi lenu bali ni kuwasaidia nao kuweka rekodi zao sawa. Kila nikipita barabara hii ya Morogoro nakutana na makumi kama sio mamia ya Wazee kwa Vijana waliojiajiri kwa shughuli tofauti tofauti. Wapo Walima mbogamboga, Wapiga paving blocks,Wauza miche,Mafundi...
  5. Just Pray

    Maofisa wa Maliasili Kibiti Pwani, wanadaiwa kumuua Haji Mnette na kuuzika mwili wake kupoteza ushahidi, DC aagiza uchunguzi

    Maofisa wa Maliasili wilayani Kibiti mkoani Pwani, wanadaiwa kumuua Haji Mnette na kuuzika mwili wake haraka kupoteza ushahidi, nduguze wamelalamika. Mkuu wa Wilaya ya Kibiti, Kanali Joseph Kolombo ameagiza wahusika wawekwe ndani na wananchi wawe watulivu wakati suala hilo likifanyiwa kazi...
  6. G Sam

    CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti nchini

    Wakuu, CHAUMMA ni mradi unaoratibiwa na maofisa ndani ya ofisi nyeti. Hilo limethibitishwa. Lengo ni nini hasa? Lengo ni kusawazisha sintofahamu kubwa knayoendelea nchini kuhusu siasa. Mfano kwa leo pale Ubungo walijazwa wanawake wanaohudumu kwenye saluni za kiume na vijana wa boda boda...
  7. Wakusoma 12

    Kwanini ajira za maofisa katika balozi zetu Huwa haziwekwi wazi?

    Kuna jambo linawakera Watanzania wengi kuhusu ajira katika balozi zetu nje ya nchi: kwa nini nafasi hizi haziwekwi wazi kwa umma? Serikali yetu ina balozi na ofisi mbalimbali za kidiplomasia kote duniani, lakini ajira za maofisa wanaopelekwa huko ni kama siri nzito. 1️⃣ Ukosefu wa Uwazi –...
  8. U

    Maofisa uhamiaji Marekani sasa wapewa mamlaka kukamata wahamiaji haramu na wahalifu watakaojificha au kukimbilia makanisani, mashuleni na hospitalini

    Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT Share US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
  9. P

    Maofisa wadai service levy tax Kariakoo acheni jeuri na kiburi, wafanyabiashara ni uti wa mgongo wa Kariakoo

    Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati, Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe...
  10. Mkalukungone Mwamba

    Bobi Wine atoka Hospitali baada ya madai ya kupigwa Risasi katika mzozo na Maofisa wa Usalama Kampala

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya jana kudaiwa kupigwa risasi katika mzozano na maofisa wa usalama Mji Mkuu wa Kampala. Bobi Wine aliyekuwa amelazwa Hospitali ya Nsambya ameruhusiwa kutoka leo Jumatano Septemba 4, 2024...
  11. Mhafidhina07

    Madaktari na maofisa wengine wa kiserikali mnawanyanyapaa sana wananchi

    Idadi klubwa ya wananchi ni dhofu hali na pangu pakavu hivi hizi kauli za madktari kuwalingania wananchi kuwa wapime afya zao kila wiki wanakuwa wakifikiri kuhusu pato la kila mmoja?wapo viongozi wengine wa kiserikali wanatumia kauli za kuwaaambia vijana wajiajiri ila wao ndiyo kwanza wapo...
  12. NostradamusEstrademe

    Kwa wanaodhani maofisa wa rasilimali watu HR(Human Resource) wako kwa ajili ya maslahi yako waandike maumivu

    Najua huu ni ukweli unaouma kwao lakini huo ndio ukweli wenyewe.Aheri HR officers wa serikalini au mashirika ya umma ya Kitanzania wabongo wenzetu.Nawapa Kongole sana ila hawa wengineo mhhh Lakini kwa haya makampuni ya kigeni ya wazungu maofisa hawa kwanza wanajali matumbo yao halafu kumtetea...
  13. BARD AI

    CONFIDENTIAL: Barua Pepe zaonesha Maafisa 62 wa Serikali ya Tanzania akiwemo IGP walihongwa Fedha na ACACIA (2008/2015)

    Acacia, kampuni ya uchimbaji madini iliyokuwa na shughuli zake nchini Tanzania kabla ya kuingia kwenye mgogoro mkubwa na Serikali, inadaiwa kutumia takriban Shilingi bilioni tatu (Dola za Kimarekani milioni 1.2) kwa mwaka kulipa maafisa waandamizi wa Serikali kati ya 2008 na 2015, uamuzi ambao...
  14. benzemah

    Maofisa Elimu Wakabidhiwa Magari 51

    Serikali imekabidhi magari 51 kwa maofisa elimu wa sekondari wa halmashauri, kuongeza ufanisi, usimamizi na ufuatiliaji wa slimu nchini. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi magari hayo jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki alisema...
  15. BARD AI

    Samia awapiga ‘stop’ mawaziri kuajiri maofisa habari binafsi

    Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka wizara kujibu kauli za upotoshaji zinazotolewa na wanasiasa kuhusu utendaji wa Serikali. Katika kulitekeleza hilo, amewataka mawaziri kuacha kuajiri maafisa habari binafsi, badala yake wavitumie vitengo vya habari kutoa taarifa za Serikali. Rais Samia...
  16. Perry

    DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

    Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia. Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara...
  17. JanguKamaJangu

    Lindi: Maofisa wa Magereza wanaotuhumiwa kwa mauaji wafikishwa Mahakamani mara ya nne

    Maafisa watatu wa magereza wanaotuhumiwa kwa mauaji ya mfungwa Mkoani Lindi, Abdallah Ngalumbale, wameendelea kusota rumande baada ya shauri la kesi yao kusikilizwa kwa njia ya mtandao, leo Agosti 3, 2022. Watuhumiwa hao wamefikishwa Mahakamani kwa mara ya 4 ambapo Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...
  18. S

    Makombora ya Kalibr ya Urusi yashambulia mkusanyiko wa siri wa maofisa wa juu wa jeshi la Ukraine na kuua majenerali/maofisa zaidi ya 50

    Urusi imetumia yale makombora yake pendwa ya Kalibr kushambulia mkusanyiko wa majenerali na maaafisa wa juu wa jeshi la Ukraine waliokuwa wamekutana kwa ajili ya kikao cha siri karibu na kijiji cha Shirokaya Dacha kwenye mkoa wa Dnepropetrovsk. Zaidi ya maafisa 50 wakiwemo majenerali wa jeshi...
  19. JanguKamaJangu

    Maofisa wa Afya waonya mlipuko wa Kipindupindu Ukraine

    Wanasayansi wanasema mvua katika Mji wa Mariupol inaweza kusababisha mlipuko wa kipindupindu kutokana na Mifumo ya maji kuharibiwa kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Ukraine na Urusi Meya wa Mji huo, Vadym Boichenko amesema mbali na Mifumo ya Maji kuharibiwa, maji katika baadhi ya...
  20. JanguKamaJangu

    Polisi wawakamata watu watatu kwa kujifanya maofisa wa Serikali na utapeli viongozi

    Kamanda wa Polisi Mkoani Geita, Henry Mwaibambe Jeshi la Polisi Mkoani Geita linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kujifanya maofisa wa Serikali na kutapeli viongozi wa Serikali wakiwamo wakuu wa wilaya na wakurugenzi. Kamanda wa Polisi Mkoani Geita, Henry Mwaibambe amesema mfanyabiashara...
Back
Top Bottom