Wakuu,
Mimi nauliza hao maafisa ustawi wapo katika kata ipi. Maana nina uzoefu wa wilaya kama Kyela, Ludewa, Njombe, na Mufindi, zote hazina Afisa ustawi wa jamii hata mmoja ngazi ya kata. Je wapo wapi hao maafisa ustawi ngazi ya kata?
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi ulihakiki majengo ya makazi ya magereza na kubaini kuwa mengi ni chakavu na yanahitaji ukarabati mkubwa.
“Hali mbaya zaidi ilibainika katika magereza ya kilimo ambapo wafungwa walikuwa wakilala katika vyumba...
Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia.
Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Marekani inasukuma kufanyika kwa uchaguzi wa kuaminika nchini Somalia - ambao umechelewa kwa muda mrefu.
Katika taarifa...
Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Kagera inawachunguza matapeli wanaojifanya ni maofisa wa taasisi hiyo kwa kuwapigia simu za vitisho wananchi kisha kuwaomba fedha.
Hayo yamebainishwa na mkuu wa Takukuru mkoa, John Joseph alipotoa taarifa ya utendaji ya miezi mitatu...
Habari za asubui ndugu zangu, natumai wote muwazima wa afya.
Niende kwenye mada husika moja kwa moja, kumekuwa na tabia ambayo sio nzuri kwenye ofisi zetu unakuta imekuja safari labda kuhudhuria training/semina na kwenye hiyo semina utakuta inawataka waende maofisa sasa kutokana na roho za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.