Kwa wanaodhani maofisa wa rasilimali watu HR(Human Resource) wako kwa ajili ya maslahi yako waandike maumivu

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Najua huu ni ukweli unaouma kwao lakini huo ndio ukweli wenyewe.Aheri HR officers wa serikalini au mashirika ya umma ya Kitanzania wabongo wenzetu.Nawapa Kongole sana ila hawa wengineo mhhh

Lakini kwa haya makampuni ya kigeni ya wazungu maofisa hawa kwanza wanajali matumbo yao halafu kumtetea mwekezaji ili azidi kukubana wewe na kukunyonya kwa kulipwa ujira mdogo yeye mwekezaji apate faida kubwa.

Wengine wanakwenda mbali zaidi wanamshawishi mwekezaji asikulipe mshahara mkubwa sababu mtalewea pombe.

Mara nyingi wawekezaji wakija nchini wanakuja na scale nzuri ila hawa jamaa ndio wanaozishusha SHAME ON YOU PEOPLE and your profession.

HR.jpg
 
Hao sawa na madalali mweny nyumba kasema kodi 350k wao wanasema ntakuleta mtu wa 450k ili apate kazi.

Hii ni kweli ila wao HRs wanakula mishahara mizuri kabisa .... Mtapata tabu sana bora wawe wenyewe wazungu ila kama kuna ngozi nyeusi lazima chuki na vinyongo vihusike.
 
Najua huu ni ukweli unaouma kwao lakini huo ndio ukweli wenyewe.Aheri HR officers wa serikalini au mashirika ya umma ya Kitanzania wabongo wenzetu.Nawapa Kongole sana ila hawa wengineo mhhh
Lakini kwa haya makampuni ya kigeni ya wazungu maofisa hawa kwanza wanajali matumbo yao halafu kumtetea mwekezaji ili azidi kukubana wewe na kukunyonya kwa kulipwa ujira mdogo yeye mwekezaji apate faida kubwa.
Wengine wanakwenda mbali zaidi wanamshawishi mwekezaji asikulipe mshahara mkubwa sababu mtalewea pombe.Mara nyingi wawekezaji wakija nchini wanakuja na scale nzuri ila hawa jamaa ndio wanaozishusha SHAME ON YOU PEOPLE and your profession.
Mbona maumivu yangu ni ya daima, na jeraha yangu haina dawa, inakataa kuponywa?
 
Sahihi ila upande mwingine wa coin sisi wabongo tuna karoho fulani hivi ka kutu . Hususan kampuni ni ya mzungu ukute hawa wa chini wanapiga madili ya kimya kimya af ukute hr hayupo upande wao lazima ataonekana ni kichomi kwenye madili yao. Wengi wetu mfano tupate nafasi kwenye kampuni za whites tunaweza kufanya kwa kuwakomoa ikiwemo kuiba kutokana na ile slavery mentality. Kwamba kufanya hivyo ni kulipiza kisasi kutokana na ukoloni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom