manyara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mwanafunzi auawa, mganga wa kienyeji atajwa chanzo cha mauaji

    Polisi mkoani Manyara bado wanamsaka mganga wa kienyeji anayetuhumiwa kutoa utabiri wa uongo uliosababisha kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne.Mwanafunzi huyo, Yohana Konki (17), alidaiwa kupigwa hadi kufa na wenzake baada ya kuaminiwa kuwa ameiba kompyuta mpakato (tablet). Yohana, ambaye...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mererani wamejazwa polisi wa kutoka Zanzibar, wengi wanaochimba Tanzanite wanatoka ZNZ. Madini hayawanufaishi watu wa Manyara. Samia atamaliza madini.

    Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi kikubwa na uchimbaji wa Tanzanite hapo Mererani, siyo hapo tu, hata huko kwingine kwenye migodi...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuandika hapa kwamba Polepole alikuwa anamtumia Sabaya kuleta "mizigo" kutoka Manyara, naona sasa mwanga unafunguka

    Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya. Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya. Haya sasa, na inasemekana Harakaraka yuko waya mkali. Anakula booster kila siku
  4. rich1

    JamiiForums Tanzania KERO Urundikwaji wa Uchafu mitaa ya mafichoni, Manyara-kiteto

    Kama kichwa cha habari kinavyosema,huu n mwez watu hali kama unavyo iona. Cc;Mwenyekit wa mtaa machifoni Cc:Mbwana Afya wilaya ya kiteto Cc:Mkurugenzi wilaya ya kiteto Cc: Mkuu wa mkoa wa manyara
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Manyara: Wananchi wandamana kumkataa Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za Wajumbe

    Wakuu! Huko Manyara Wananchi wamecharuka, wameingia barabarani kupinga Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za maoni za Wajumbe Kwenye video hii anasikika jamaa hapa akisema "Rais Samia tunateseka...Kura zote.. Tumeibiwa Kura...Tunamhitaji"
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi wa Habari wakamatwa na Polisi wakifuatilia matokeo ya Kura za Maoni Manyara

    Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara. Kwa mujibu wa mashuhuda...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi walia na majina ya watia nia kukatwa Mbulu, mkoa wa Manyara

    Wananchi wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamelalamikia hatua ya baadhi ya watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbulu vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuenguliwa katika kinyang`anyiro hicho akiwemo aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo, Bw. Flatei Gregory licha ya kukubalika na...
  8. KusiniKuchele

    JamiiForums Tanzania Naomba mnijuze majina ya Wagombea wa Hanang' Mkoa wa Manyara waliopishwa

    Namsikiliza hapa Makalla lakini naona mtandao umeshake. Kasema wagombea sita lakini nimewasikia wanne tu. Nijuzeni usahihi wa taarifa hii wadau
  9. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Queen Sendiga azindua rasmi mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku mkoa wa Manyara

    📌Mhe. Queen Sendiga azindua rasmi mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku mkoa wa Manyara . 📌Mitungi 16,275 kusambazwa mkoa mzima. 📌Kila wilaya kupata mitungi 3,255. Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo Julai 11,2025 wilayani Hanang amezindua rasmi mradi wa...
  10. Soul21

    JamiiForums Tanzania Kodi inaangamiza vijana Wa Kilimanjaro, Arusha, na Manyara

    Wataalumu na viongozi njoo muone kwa macho. Yawezekana ni kukosena kwa Elimu, Mila a ujinga Wa wakazi husika au ukanda. Kaskazini vijana waimeisha huhitaji utafiti Bali unahitaji macho na miguu ya kutembea Kwenye mitaa na vijiji uone Hali Hali ya jinsia pombe Kali na bei rahisi zinavyoteketeza...
  11. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watumishi wa Magereza Manyara wapatiwa majiko ya gesi

    WATUMISHI WA MAGEREZA MANYARA WAPATIWA MAJIKO YA GESI 📌Mifumo ya uzalishaji wa bayogesi 126 mbioni kuanza 📌REA, Jeshi la Magereza kununua mashine 61 za mkaa mbadala 📌REA kuwajengea uwezo magereza uendelezaji miradi ya nishati safi 📌Mha. Saidy amewataka magereza kuwa mabalozi wa nishati safi...
  12. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Queen Sendiga: RC wa Manyara Mwanamke wa Shoka wewe unafaa uje kuongoza Dar

    Mimi Huyu RC namuona tu mitandaoni anavyopambana kuwaletea maendeleo wana MANYARA! Hakika wamebahatika sana! RV huyu hana hatauda wa kwenda saluni kujipamba yeye anasuka nywele zake 5 mzuka anaingia kazini. huyu anatufaa sana wana DAR ES SALAAM Hili jiji linataka mtu ambaye atawanyoosha watu...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Manyara: Bilioni 3 Kutumika Kuboresha Miundombinu ya Hospitali ya Manyara kwa Mwaka 2024/2025

    MANYARA: BILIONI 3 KUTUMIKA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HOSPITALI YA MANYARA KWA MWAKA 2024/2025 Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma za afya katika mkoa wa Manyara kwa kutenga Shilingi Bilioni 3 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mwanafunzi auawa kwa kubakwa, atobolewa macho, mwili wake watupwa shambani

    Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo wananchi wamelaani vikali na kuitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wa tukio...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Manyara hakuna tunachomdai Mama Samia

    Ilani ya CCM 2020-2025 , Mkoa wa Manyara, hakuna tunachomdai Mama Samia!
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Inatisha sana huyu manyara ni nani?mpaka vijana wanashindana humu JF

    Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana. Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Police Tanzania Babati Manyara ni changamoto sana

    Kwa siku tatu au nne kwa wiki wanapiga Risasi juu katikati ya mji! bila kujali uwepo Watu wagonjwa katika maeneo yanayo wazunguka. Hata kama ni mazoezi ni vema wakafanyie huko nje na sio kuzua hofu hapa mjini.
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Sendiga achukia kukuta zahanati haitumiki, atoa agizo hili

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameagiza Zahanati ya Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Aprili 30, 2025. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RC Manyara: Wanawake msikubali vipigo kwa kisingizio cha uvumilivu, akikupiga ujue huyo si ubavu wako

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amewataka wanawake kutokubali vipigo na manyanyaso katika ndoa kwa kisingizio cha uvumilivu. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani yaliyofanyika kimkoa katika Kijiji cha Hydom, Wilaya ya Mbulu, Sendiga amesisitiza kuwa si kila jambo...
  20. Angyelile99

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali watumie saiti zao kukumbusha majukumu ya wazazi kwenye maendeleo ya kitaaluma kwa watoto wao mkoa wa Manyara

    Dah. aisee kuna changamoto kubwa sana watumishi wa umma haswa waalimu ambao sio wazawa wa mkoa wa manyara. Kumekua na changamoto ya wazazi kusikiriza taarifa wanazo ambiwa na watoto wao zisizo na ukweli wowote juu ya mambo yanayo endelea shule. vijana wengi wamekua ni wavivu wa kuhudhuria shule...
Back
Top Bottom