manyara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Manyara na Arusha ndiyo inayoongoza kwa kiwango kikubwa cha ukeketaji kwa 43%

    KUH; MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKEKETAJI DHIDI YA MWANAMKE NA MTOTO WA KIKE TAREHE 6 FEBRUARI, 2025 Dar es Salaam, 02 Februari, 2025 Ndugu wanahabari, tarehe 6 Februari, 2025 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya kupinga ukeketaji dhidi ya mwanamke na mtoto wa...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mjamzito anyang'anywa Vitu vya ndani kwa madai ya Mumewe kuuza Simu ya Wizi

    Ila Viongozi wetu jaman kuna tunakubali mnavyotunyanyasa ila kuna muda mnapitiliza Masikio kuzidi Kichwa Kwa hiyo Siku hizi Mtu akiuza Simu ya Wizi basi mnaenda kuchukua Vitu vya ndani vya anapoishi au makusudi tu
  3. B

    JamiiForums Tanzania RC Sendiga akagua utekelezaji wa Nishati safi Gereza la Wilaya ya Babati

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akizungumza na uongozi wa Gereza la Wilaya ya Babati mara baada ya kufanya ukaguzi wa utekelezaji wa utumiaji wa Nishati safi ya kupikia gerezani hapo. Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza Solomoni Mwambingu na Mkuu wa Jeshi la Magereza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Upendo toka Manyara: Sherehe ya Kumbukizi Kuzaliwa Rais Samia Suluhu

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akikata keki ikiwa ni ishara ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika Kiteto, Manyara. Sambamba na hilo wakazi wa Mji wa Kibaya walijitokeza kwa wingi katika upandaji wa Miti 500...
  5. iCode

    JamiiForums Tanzania Eneo la Uwekezaji Rift Valley Manyara

    Habari zenu wanajamvi, Nina uhitaji eneo linalofaa kwa ajili ya uwekezaji wa hotel/camp ya kitalii katika eneo la bonde la ufa linaloangalia ziwa Manyara. Yaani ule ukingo wa bonde la Ufa Eneo liwe hekari tatu na zaidi. Kindly connect me.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Jamaa alioa Manyara, Dodoma na Singida ndoa chali, sasa yuko kijiweni analalamika kama mwehu

    Wakuu, Huyu rafiki yetu tumwite G , ni mtu mzima around 54, yaliyomkuta hapa anahadithia kama Hana akili. Ndoa zote tatu chali cha mende lakini anacholalamikia ni mambo kadhaa 1. Kasema wanawake wote hao Wana usaliti wa chinichini na wazi 2. Tamaa kwa wanawake zake wote alioachana nao 3...
  7. Brojust

    JamiiForums Tanzania Nakupa wazo wewe Mwekezaji, yule Bilionea wa Manyara ametumia fursa ya kutengeneza pombe, Sasa anamiliki hadi Helikopta

    Mimi binafsi shida yangu ni Mtaji tu. Nawasilisha opinion zangu kwako mwekezaji katika pombe kali, sasa hapa hutakiwi kushindana na smart gin maana yeye alitengeneza formula zake na akaliona soko sasahv smart gin ipo kwenye mzunguko mkubwa sana. Twende kwenye wazo, Kumbuka kama unataka...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Bilionea Mulokozi anunua helikopta binafsi, atua Manyara, Wananchi wafika kumpokea

    Na Ferdinand Shayo, Manyara. Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited David Mulokozi amenunua ndege binafsi aina ya Helkopta ambapo ametua kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa Stedium akiwa ameambatana na familia yake. Mulokozi anaingia miongoni mwa Watanzania...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyara: TAKUKURU yatangaza kufanya Uchunguzi kwa Wagombea 3 wa CHADEMA na mgombea 1 wa CCM kwa madai ya rushwa!

    Wanaukumbi, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara, Bahati Stafu Haule, amesema kuwa taasisi hiyo inachunguza tuhuma nne zinazowahusu wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji. Kati ya wagombea hao, watatu wanatoka Chama cha Demokrasia na...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAKUKURU Manyara wavionya vyama vya Siasa dhidi ya rushwa, kuwaanika watakaobainika kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Vyama vya siasa mkoani Manyara, vimeiomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru mkoa wa manyara kuweka utaratibu wa kutoa mrejesho wa watuhumiwa wanaokutwa na hatia ya kuomba au kupokea rushwa wakati wa kampeini na uchaguzi ili kufahamu adhabu wanazozipata . Pia, Soma: Special...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB Yatoa Madawati 80, Viti na Meza 50 Wilayani Babati Mkoani Manyara

    Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Kaskazini, Bw. Cosmas Saadat (kushoto) akimkabidhi msaada wa Madawati, Meza na Viti kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Babati mjini Bw Shabaani Mpendu (kulia) kwa shule ya msingi Shikizi ya Muungano Dagailoy ya Wiyala ya Babati, Manyara ikiwa ni mkakati wa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyara: Wanawake Babati wataka kampeni za kistaarabu, uchaguzi ufanyike kwa amani

    Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo pindi zitakapoanza Novemba 20, 2024. Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Manyara: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    HISTORIA YA MKOA WA MANYARA Kwa mujibu wa tovuti ya Mkoa wa Manyara, Mkoa huu ulianzishwa kwa tangazo la Serikali Na. 367 lililotolewa tarehe 27 Julai, 2002 na kuchapishwa katika gazeti la Serikali tarehe 2 Agosti, 2002 baada ya kugawanywa kwa Mkoa wa Arusha ambao kabla na wakati wa kipindi cha...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyara: RC Sendiga apeleka nyama ya nyumbu kwa jamii ya Wahadzabe ili kushawishi kujiandikisha katika daftari la makazi

    Wakati yamebaki masaa kabla ya kukoma kwa zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari la makazi kufikia ukomo leo Oktoba 20, Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga tarehe 19.10.2024 alitembelea jamii ya Wahadzabe katika kijiji cha MONGO-WA-MONO wilayani Mbulu ambao maisha yao bado...
  15. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Queen Sendiga: Upatikanaji wa Maji Manyara Mjini 84% na Vijijini 71%

    RC QUEEN SENDIGA - UPATIKANAJI MAJI MANYARA MJINI 84% NA VIJIJINI 71% "Manyara kuna hali ya hewa nzuri ambayo unaweza kulima mazao yote na Manyara ina sifa ya uwekezaji kwenye sekta zote ambazo umewahi kuzisikia. Kuna mazao ambayo hayastawi popote Tanzania isipokuwa Manyara kama ngano, shayiri...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Manyara: Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, Mhasibu wa vikoba auawa kisa laki 4

    Mtu Mmoja aliyefahamika Kwa jina la Yona Andrea (47) Mkazi wa kijiji cha loltepesi kata ya Sunya wilayani kiteto Mkoani Manyara, ameuwawa Kwa kupigwa na kitu kizito na watu wasiojulikana huku mkewe Catherine Andrea (45) akijeruhiwa mara baada ya kuvamiwa katika nyumba yao. Tukio hilo limetokea...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Manyara: Kimbunga kikali kilivyozua taharuki Mjini Babati

    Kimbunga kikali kimezua taharuki katika Mji wa Babati mkoani Manyara, video ikionesha matanki tupu ya maji yakirushwa angani. Huko kwenu kimbunga kama hiki mnakiitaje?
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

    Tanzania ni Nchi yetu sote hivyo ni wajibu wa kujivunia vivutio vilivyomo. Mlima Hanang uliopo Katesh manyara ni mlima wa Saba Kwa urefu hapa Tanzania Nikiwa viunga vya huko niliona Nami nisiishie tu kuuona bila kupanda. Nikiwa na rafiki yangu mmsai tuliazimia kupanda kihuni (Bila kibali)...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Hili Dampo katika Shule ya Msingi Oysterbay (Manyara) ni hatari kwa Afya, liondolewe

    Wanafunzi wanaosoma Shule ya Msingi Oysterbay, iliyopo Wilaya ya Babati Mkoa Manyara wapo hatarini kupata magonjwa ya mlipuko kama Kipindupindu kutokana uchafu uliozagaa pembezoni mwa Shule hiyo. Mimi ni mkazi wa Jirani na shule hiyo, kuna Dampo kubwa lililojaa uchafu na kutokana na upepo na...
Back
Top Bottom