Habari zenu,,,
Nimefanya MANUNUZI bidhaa mtandaoni kwa kutumia VISA CARD ya Vodacom,,baadae niliona bidhaa sio Bora,,,nikaamua kucancel order,,, nikarudishiwa pesa niliyofanyia malipo,,, REFUND imekamilika,,,ila kwa bahati mbaya Hela kwenye VISA CARD Vodacom,,, inaonyesha Salio...