mange kimambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ni zaidi ya CIA?

    Huyu Mange ni zaidi ya CIA anajua kucheza na akili za wadanganyika. Katika kipindi ambacho serikali, wapinzani na wananchi wanadai katiba Mange Kimambi awa kinyume na makundi yote akidai matusi aliyokuwa anatoa ilikuwa ni mental health problem iliyosababishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Support Dada wa Taifa Mange Kimambi

    Nasema hivi: Tumpiganie Lisu na Heche kwa damu zetu. Hakuna maridhiani bila hawa wawili.
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Msikilize Mange Kimambi anavyochochea vita na uhasama miongoni mwa viongozi wa Chadema taifa na kuporomosha matusi

    Je, hapa mange kimambi anachochea au anasuluhisha vita moto moto inayoendelea ndani ya uongozi wa Chadema taifa kwasasa? :1Head: Suala la Maridhiano na CCM Mange Kimambi anadai kuwa amepata taarifa kutoka kwa watu wa ndani ya Chadema kuwa kuna viongozi wameshafika bei na CCM ili kufanya...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Imefikia hatua Maria Sarungi na Mange Kimambi na wanaharakati wanaweza kusimamisha shughuli za kiuchumi katika majiji Makubwa. Wamebakiza nini?

    Hamjambo! Haya kwao ni mafanikio Makubwa sana. Fikiria leo mimi natangaza tarehe fulani watu watoke kuandamana. Kutakuwa na maandamano makubwa. Alafu mimi sina cheo chochote. Sina pesa. Sio kiongozi popote. Sina majeshi. Lakini kauli yangu tuu. Serikali na vyombo vya Dola vinaipa uzito kauli...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mange adai anafuatiliwa na 'Watu wasiojulikana'

    About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept knocking louder and louder. Because I know my life is in danger and I’m home alone right now, I decided...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Martha Karua, Maria Sarungi, Mange Kimambi, viongozi wa CHADEMA wote hawa ni wajasiriamali wa kisiasa wanaeleweka na wajinga tu

    Kuna watu wanatumia siasa za Afrika ili familia zao zile, ziishi na Kuna wengine wanatumia siasa ili kupata followers kwenye mitandao ya kijamii lakini kichwani ni sifuri hawana strategic zozote za kisiasa za wanataka wafanye nini zaidi zaidi ni kufanya vurugu ili wapigwe na Mimi nasema WAPIGWE...
  8. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Je, Mange Kimambi katuingiza mjini?

    Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa Alisema akina Tesha cjui na wanajeshi wengine wapo kw mafunzo kutuokoa. Na sioni matunda yoyote yeye kujipendekeza kwa Trump...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Viongozi wa Chadema walio baki nje hawafikii hata nusu ya Lissu

    I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement. Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Asha Said Hamis a.k.a, Asha Kimambi. Mwanamke wa Kimakonde kutokea mkoa wa Lindi, aliewaletea Watanzania kiumbe kinaitwa Mange Kimambi

  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi: META waliisaidia Serikali ya Tanzania kufuta akaunti yangu ili kuficha maovu ya Serikali yasiwafikie Watanzania

    Itakuwa kosa kubwa sana kwa Seneti ya Marekani kujadili mauaji ya kikatili ya Oktoba 29 nchini Tanzania bila pia kuchunguza nafasi ambayo Meta ilicheza katika kuisaidia serikali ya Tanzania kuficha mauaji hayo na kueneza ukandamizaji wake nje ya mipaka ya Tanzania. Wakati serikali ya kigeni...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na genge lake ni Wana mapinduzi waliobobea. Wanachofanya sasa ni Character assassination na kuchochea vijana

    Sabato Njema! 1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically 2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake. 3. Mange Kimambi na genge lake ingawaje wanaonekana ni wanaharakati waliojikita na mambo ya siasa. 4...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wakinielewa kama Mange Kimambi anavyonielewa, CCM itachukiwa Kuanzia ngazi ya Familia Hadi Taifa, kuanzia Kijijini Hadi Mijini

    Nilimuonya LEMA na wengineo kua Waache Siasa za kuihalalisha Serikali ya CCM, Nikawashauri hapa https://www.jamiiforums.com/threads/mikutano-ya-chadema-ijikite-kuzungumzia-mo29-lissu-utekaji-na-mauaji-yanayoendelea-ijikite-kuwatia-wananchi-huzuni-na-hasira-lema-shituka.2436248/ Hapa Lengo ni...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi aichana CHADEMA kwa kufanya burudani za Bongo Fleva na kuchinja ng'ombe wakati tuna majonzi

    Mange Kimambi, mmoja wa wahamasishaji wakuu wa maandamano makubwa yaliyopelekea umwagaji damu Oct 2025, amewashutumu CHADEMA kwa kuendesha mikutano "yenye vibe" za miziki ya bongo fleva ikiwemo nyimbo za "Wanamwita Sugu." Amewaasa CHADEMA kwamba hakuna mwananchi atajipeleka kwenye hatari za...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nyie pingapinga, kizazi cha Mange Kimambi ni nani kawaroga?

    Mtume Paul kuna wakati anawaandikia waraka Wagalatia alilazimika kutumia lugha nguvu, lugha ya hasira "Ni nani aliyewaroga". Alishangaa kanisa la Galatia kuanza katika Roho na kumaliza katika mwili. Vijana wengi Wafuasi wa MANGE ni wale wenye elimu kuanzia kidato cha nne mpaka bachelor degree...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nina hasira sana na Mange Kimambi, ameharibu kabisa akili za Watanzania

    Watanzania sasa hasa vijana na wazee wachache hawaeleweki kabisa. Serikali hata ifanye jambo gani wao ni kukosoa tu Serikali inaandaa fursa kwa vijana, vijana badala ya kuamka kuziendea wako busy kusubiri post za vuongozi wa serikali mitandaoni waanze kukosoa . Kila kinachohusiana na serikali...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: Wanahabari wa Tanzania wapo kwa ajili ya michezo na umbea. Habari za kupigania watu wanaziogopa

    Tonight, I had the pleasure of having dinner with the legendary Larry Madowo, my Kenyan brother. We covered a wide range of topics, from Tanzania’s October 29th massacre and where the country stands today, to what lies ahead and Meta’s removal of my accounts. It was a deeply engaging and...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mange Kimambi

    BARUA YA WAZI KWA MANGE KIMAMBI KUHUSU UVALIAJI WA HIJAB Ndugu Mange Kimambi, Assalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh, Natumai uko salama na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Ninakuandikia barua hii ya wazi kwa heshima na nia njema, nikizingatia kauli zako za mara kwa mara...
  19. pulex

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mange Kimambi: Angalieni vizuri list ya magari yaliyoingizwa Tz mwaka 2024 kupitia kampuni ya Angela Kizigha, MAGMOP

    Hii kampuni Magmop ni kampuni ya Angela Kizigha na iko registered kwa number yake ya simu, yani her own personal number. Mnaweza kucheki wenyewe ownership ya hii magmop. Naomba muangalie magari yaliyoingiziwa Tanzania na hii kampuni ya Kizigha hiyo Magmop. Watanzania wanaibiwa kwa kiasi hiki...
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: AFCON 2027 itumike kudai HAKI Tanzania, kwa kufanya maandamano ya Kihistoria

    Kaandika huko mtandao wa X.. AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria. Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya Oktoba 28. Hawatoweza kujaza wanajeshi na Askari barabarani au kupiga wananchi risasi huku attention...
Back
Top Bottom