mange kimambi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Trump ametumia saa mbili tu kukifanya kitu kilichomshinda Putin kwa miaka 3

    Zelensky ana akili kubwa sana, ni vile tu hana resources!!! Putin alishafanya majaribio mengi sana ya kumteka Zele lakini wapiii Kwenye kitengo cha utekaji mrusi kazidiwa mpaka na wasiojulikana Trump anairudisha ile marekani ya kwenye TV na muvi za kijasusi. Imagine unakuja kukamatwa...
  2. S

    Baada ya Kisa cha Thadei Kweka, nadhani sasa Mwanasheria Mkuu ataufyata na kutambua kwamba Mange Kimambi akija Tanzania hawezi kumgusa kabisa!

    Sijajua kama Mange Kimambi ana uraia wa USA au la ,lakini hata kama ana residence ya kudumu, nadhani sasa Mwanasheria Mkuu wa serikali ataufyata na kutambua kwamba Mange Kimambe akiamua kuja Tanzania watakachoweza ni kumzuia pale airport. Lakini kwamba eti watamfunga thubutu! Swali la "who are...
  3. Ni wakati sasa JWTZ ifanye manuva kama ya Marekani kwa Mange Kimambi

    Waende marekani kimya kimya wamnyakue Mange kimambi ile shwaaa waje nae wamkabidhi kwa Mwana sheria mkuu. Uzi tayari
  4. Masih Alinejad ni Mange Kimambi wa Iran

    My people, Huyu ni mwandishi wa habari na mwanaharakati wa Iran ambaye naye kama alivyo Kimambi anaishi Marekani Akihojiwa na NBC News anasema familia nyingi za viongozi wakubwa wa Iran wanaishi Marekani,anahoji kama wanawatendea ubaya wananchi wa nchi hiyo basi na familia zao nao zirudi Iran...
  5. Nina mashaka sana na Mange Kimambi. Inabidi atazamwe kwa umakini mkubwa

    Sehemu ya kwanza (01) Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia . Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki...
  6. Mange Kimambi na Maria Sarungi ni wazima kweli kichwani?

    Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka... Watu na familia...
  7. Mange atakuja kuwa mtu mkubwa sana na kusomwa habari zake kwenye Tanzania ya kesho

    Mange atakuja kuwa mtu mkubwa sana na kusomwa habari zake kwenye Tanzania ya kesho kutokana na mapigano yake dhidi ya wauwaji na watekaji. Mange anapigana na watekaji na wauwaji ambao wanaharibu nchi yetu, wanakuteka na kuuwa alafu wanakuambia ufanye amani huu ni upumbavu.
  8. Hatari, ni msada Gani anaosema Mange Kimambi kuwa unakuja?

    MO29 imeharibu kabisa atmosphere ya Nchi yetu. Tanzania haitakuja kuwa kama zamani, although serikali Ina push tuwe kama zamani. Mange Kimambi huwezi mdharau huyu dada,bila yeye kusingekuwepo na MO29. Sasa Mange anasema kuwa Kuna msaada unakuja kutoka nje, hii kauli najua hata serikali...
  9. M

    Bila Mange Kimambi nchi ingekuwa na amani sana. Kwa muda mchache aliofungiwa taifa limetulia sana

    Tangu Mange Kimambo afungiwe taifa limetulia sana, Mange alikuwa na mtandao mpana sana wa kupata taarifa zilizokuwa zikizua taharuki kila siku, hii ilimpa nguvu kubwa sana ya kufuatiliwa na hata kusikilizwa. Kila siku alikuwa anaweka vitu vinavyoleta taharuki, mikataba ya rasilimali, utajiri wa...
  10. Mange Kimambi kashapewa pesa atulie kimya, wajinga ndio waliwao

    Mange kimambi kakatiwa kibunda chake Cha maana mapema sana baada ya serikali batili ya tanzania kutembeza mkong'oto Kwa manyumbu wasiojielewa kaingiza mitini Instagram Kwa kigezo kwamba kafungiwa account wakati kaifunga makusudi Kwa maelekezo ya Samia baada ya kupewa mpunga kama kweli kafungiwa...
  11. Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

    Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii. Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa...
  12. N

    PostGE2025 Maria Sarungi na Mange Kimambi aisee wanateseka mno kwanini wamefeli?

    Nasikiliza hapa Maria space naona kama anajinyea na kujiharishia kwa hasira jamani , leo anaongea kwa msisitizo na mishipa imemtoka ya shingo kama vile anatumia dawa zileeeeeeeee 2. Mange kimambi naona kuanzia kesho atakuwa kapungua kilo 10 , haaamini kilichotokea 3. Kweli nimefurahi sana...
  13. Mange Kimambi kiko wapi!

    Niwakumbushe tu serikali ina mkono mrefu, kiko wapi Mange Kimambi anaogopa kupost huko X, ameshapewa onyo kuwa akileta zake account yake X pia wanapita nayo.
  14. Mange angetumia nguvu kubwa aliyotumia kuwatafutia konekshen ya michongo ya hela na kazi ughaibuni angekumbukwa sana na vijana

    Nimewaza tu kwa Sauti, hiyo nguvu ya Sauti na influence aliyonayo angetumia kuwatafutia Wana michongo ya kazi huko ulaya lingekua jambo la maana sana Angetafuta namna ya kuwakonekt wenye hizo kazi na wenye uwezo wa kufanya hizo kazi kama za forklifting, malori, kubeba maboksi n.k, kazi ambazo...
  15. Ipo siku Watanzania watampuuza Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi yao yote baada ya kutaabika kwa muda mrefu

    Siku yaja hivi karibuni Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu Taabu hizo zitatokana na adhabu kali za Serikali kwa makundi hayo ya kihuni kwasababu ya makosa ya uvunjifu wa Katiba na...
  16. N

    Ni Ujinga sana Kufa kisa Mange Kimambi

    Toka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid etc. Leo hii wewe mtoto wa 2000 unaenda kufa kisa Mange na Maria wamekupump, huoni hata aibu...
  17. M

    Nahofia sana siku kina Mange kimambi wakianzisha website kama Jamiiforums, Ni balaa linaloweza kuwa zaidi ya instagram.

    na kuhusu kuufungia huo mtandao itakuwa kazi bure, siku hizi hadi kina bibi wanaijua vpn.
  18. PostGE2025 Seneta wa Mahusiano ya Nje Marekani Jim Risch: Akaunti za Mange Kimambi kufungiwa na Meta kwa shinikizo la Serikali ya Tanzania haikubaliki

    “Nakaribisha ombi la Idara ya Mambo ya Nje ya Marekani kuhusu ombi langu la kukagua uhusiano wa Marekani na Tanzania. Hali inayoendelea Tanzania inasikitisha sana na inatishia utulivu na usalama wa eneo muhimu. Ukandamizaji huu wa kishenzi, ikiwemo kesi dhidi ya viongozi Wakristo, unahitaji...
  19. Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally

    Kesi ya Mange Kimambi inaweza kumwelemea sana kwasababu App yake ilivuna mapato illegally Serikali inachukizwa sana na kitendo cha kujivunia mapato kinyume na Sheria Biashara isiyokuwa na Leseni pamoja na biashara isiyolipa kodi Makosa haya yanawezakumwingiza hatiani Kesi yake ingekuwa...
  20. PostGE2025 Mange amwandikia barua Trump kuhusu kufungwa kwa akaunti zake na Meta baada ya kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Mange Kimambi amemuandikia barua Rais wa Marekani, Donald Trump, akimueleza kwamba akaunti zake za Meta—ikiwemo Instagram, ukurasa wa habari anaouendesha, na namba yake ya WhatsApp—zimefungwa baada ya kuzitumia kufichua ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Tanzania, huku akihimiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…