manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. hiram

    JamiiForums Tanzania Manara anazungumza na vyombo vya habari

    JAMANI mnyamwez ndo anahutubia TAIFA hivi sasa karibuni tu DIGEST spichi yake
  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania Hili la Haji Manara kushangaa Meneja wa mchezaji kutojua English ni UTUMWA wa kifikra

    Wadau wa Sports mwanzoni mwa Juma hili tulishuhudia Yanga Sc kumuongezea mkataba mpya mchezaji wake Farid Mussa, Kuliitishwa Press conference na msemaji wao Bw.Haji Sunday Manara, na katika press hiyo pia ilitamkwa au alitangazwa manager mpya wa mchezaji Farid Mussa, ajabu sasa ikaja ambapo...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Waandishi waungane kukomesha hii Tabia Chafu ya Haji Manara

    Ukimsikiliza Afisa Mhamasishaji wa Yanga utaona namna gani anaumizwa na dhihaka anayofanyiwa na Watanzania wenzake ambayo hajawahi kufanyiwa akiwa nje ya Nchi yake pendwa aliyozaliwa na kuipenda. Kama kuna Watanzania wanamfanyia dhihaka hii bila sababu yoyote, yani anapita tu mtaani unamdhihaki...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Manara atikisa Bujumbura, wamepagawa

    Mkurugenzi wa idara ya habari ya mabingwa watarajiwa wa Afrika dar young africans anayetarajiwa kuchukua cheo hicho mwezi wa 7 ametikisa Bujumbura ikatikisika vilivyo Bwana Manara ambaye ni msomi mwenye degree ya media toka south africa na ya politics from China awali ilikuwa agombee U RAIS ila...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Manara kumpiga madongo ya wazi Barbara ni ukatili, binti wa watu almanusura azimie

    Huu ni udhalilishaji Kwa kweli kitendo cha Manara kumtupia madongo huyu binti ilikuwa ni ukatili, yani Barbara alikuwa anaombea tu muda uende haraka Manara amalize maana si kwa makombora ya madongo haya Manara aliyokuwa akimfyatulia binti, Manara ana mdomo mchafu aiee. Ilibidi binti wa watu...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Yanga wamshitaki Barbara, Simba wamshitaki Manara

    Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekutana leo Mei 20, 2022 kusikiliza mashauri yaliyowasilishwa yakiwahusu Ofisa wa Yanga, Haji Manara na Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez. Katika mashauri hayo Yanga iliwasilisha malalamiko yake kuhusu Barbara ikidai aliichafua...
  7. Area 56

    JamiiForums Tanzania Manara tunajua unavyotumika kutuhujumu

    Tumekulia timing sasa umeanza kujaa, figisu zako za kutompenda na kumuhujumu kocha Kaze wote tunajua, na tunajua bado wewe ni Simba, kwanini usituachie klabu yetu? Ondoka bhana Yanga tunawatu hatuhitaji mamluki kama wewe
  8. N

    JamiiForums Tanzania AIBU AIBU: SENZO , MANARA WAPOST PICHA ZA MWAKA JANA KUDANGANYA

    AISEE sikutarajia kwa mtu kama Senzo, kwa msukule hiyo inajulikana linaishi mjini kwa ulaghai, uongouongo na kujipendekeza, hivi jana nani hajaona hali halisi ya uwanja , hii kujidanganya ni kujitia dole la masaburi na kujinusa , what a shame Msukule hauna impact ya kujaza uwanja bwana...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ndio ushindi. Hata akihamia Ruvu Shooting kuna uwezekano kombe likamfuata.

    Habari! Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi. Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi. Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na...
  10. Happycuit

    JamiiForums Tanzania Vita gani Haji Manara anaihubiri hapa?

    Hapa ndipo utakapoona kuwa watu wa aina ya huyu Manara ni hatari sana katika ustawi wa soka nchini,wanaturudisha nyuma sana hawa.
  11. Cvez

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ali bado sana kumfikia Haji Manara ingawa Haji kashaanza ingiwa na hofu

    Katika moja ya Interview ya Haji Manara wakati akiwa ni msemaji wa Simba, alishawahi kusema "Mimi sitadumu Simba milele ipo siku nitaondoka na atakuja mtu mwingine. Haji amefanya mengi sana na sidhani kama itakua fair kumjudge msemaji ajae kwa kumfananisha na Haji viatu vyangu ni vikubwa ila...
  12. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Simba fans wako na Ahmeid Ally hawana habari na page ya Manara!

    Kwa kweli Manara alibebwa na Simba fans ndo akajulikana kwahiyo aishukuru Simba! Baada ya kuachia ngazi Simba kwa Jazba na Kashfa Simba fans walihuzumika kwa muda BAADAE kaja Kiraka Ahmeid Ally mtu msomi, mchambuzi mwenye skills zake. Anaendana na mashabiki wake na sio yule..... pamoja narangi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kwa Uongo wako huu mkubwa Umejiaibisha na Umewadharaulisha wana Yanga SC wote duniani

    Jana kama kawaida yako ya kupenda Kujimwambafai na kujifanya unajua Mambo wakati Kiuhalisia huna ukijuacho kwa Kujiamini Kwako Kipuuzi ulisema (na nasikitika waliokuwepo Ukiwadanganya) walikuamini uliposema kuwa Msimu ujao Simba SC ndiyo itaanza Kucheza hatua za mwanzo Mechi za Klabu Bingwa...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Haji Manara una mizigo mingi kutua-baki nayo,achana na Simba Sc

    Jana huyu mpayukaji aliitia press conference isiyo na kichwa wala miguu. Press conference isiyo na ajenda yeyote zaidi ya kupayuka na kupovuka. Kama kawaida yake,katika kutoa povu amejikuta anaijadili Simba Sc. Kwamba hata yeye anatamani Simba Sc ishinde kombe la CAF. Hatutaki maombi ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Senzo Masingiza na Manara hakika mnalichafua soka la Tanzania

    Nilikuwa nafuatilia interview ya kocha wa Orlando Pirates kabla ya mchezo na hata baada ya mchezo, Nilichogundua ni kuwa Kuna watu wamekuwa wakitoa taarifa za uongo kwa wageni kuhusu Simba. Taarifa hizo zimekuwa zikipandikiza chuki kwa wageni kwa kuamini kuwa kucheza na Simba nyumbani ni vita...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Picha: Haji Manara aoa mke wa pili jioni ya Aprili 14, 2022

    Afisa Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara katika picha mara baada ya kufunga ndoa kwa mke wake wa pili jioni ya Alhamisi Aprili 14, 2022
  17. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Paul Makonda alilazimisha kwa nguvu uteuzi Simba SC, Mo Dewji asilaumiwe hakuwa na namna

    Haji Manara ameendelea kuanika maovu ya Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, kupitia Instagram yake, Haji Manara amesema haya kuhusu Paul Makonda kulazimisha uteuzi katika Klabu ya Simba. Ukalazimisha uteuzi Simba kwa nguvu, ktk hili MO alikuwa hana namna asilaumiwe, angefanyaje...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Manara adai hakuna wa kumuua Makonda labda afe kwa 'stress' zake mwenyewe. Amtaka awaombe msamaha watanzania kwa dhulma

    Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda. Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na...
  19. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Manara tumembeba habebeki. Ndo maana Simba walimfukuza. Huyu jamaa ni kirusi

    Manara ana Nyota ya Ufitini na Uchonganishi. Wakati anakuja kwa Steve kuomba asaidiwe usemaji Yanga, mimi nlikuwa mmoja ya watu ambao tulikuwa tunaona Manara kafukuzwa kwa kuonewa Simba. Lakini kwa kipindi hiki ambacho tumekaa naye huyu jamaa ni kunguru. Hafugiki. Kashawachonganisha watu wengi...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Haji Manara ametudhalilisha sana. Uongozi ukemee huu upuuzi

    Kutufananisha sisi Yanga na Wanawake ni akili za kipumbavu. Anaposema Orlando Pirates waje wao wanaume watawakuta huku huku maana yake sisi Yanga ni Wanawake? Huyu niliwaambia bado ana Usimba. Huwa anajifanya kama kuwaponda Simba ilhali anatuponda sisi Yanga. Uongozi uangalie suala hili...
Back
Top Bottom