manara

Menara (Hebrew: מְנָרָה‎) is a kibbutz in northern Israel. Located in the Upper Galilee adjacent to the Lebanese border and overlooking the Hula Valley, it falls under the jurisdiction of Upper Galilee Regional Council. In 2019 it had a population of 248.

View More On Wikipedia.org
  1. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Yanga yaanza kumtenga Haji Manara, azungumza bila nembo za klabu na wadhamini wake

    Kama title inavyoonekana, Manara amesitishiwa na klabu yake mamlaka ya kuongea na vyombo vya habari akiwa mbele ya nembo za klabu na wadhamini wake. Hii ni dalili tosha kwamba Yanga imetii amri ya kumuhusisha Manara na uongozi wa klabu. Natoa pongezi kwa uongozi wa klabu ya wananchi kufikia...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya Haji Manara iwe fundisho kwa wote wenye Tabia kama zake

    Kwenye Maisha kuna kitu kinaitwa kiongozi na Mamlaka ya kiongozi ,kila kiongozi huwa kuna maamuzi ambayo anaweza kuamua kutokana na Mamlaka aliyo nayo. Kwa upande wa Haji Manara kama inavyonunukuliwa alichokisema kwa kiongozi wa TFF "Wewe unanifatafata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi kwa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kumtegemea mtu kama Haji Manara ili mpira wetu usonge mbele ni kujitekenya wenyewe na kisha kucheka sana

    Kwa miaka ya hivi karibuni hapa nchi katika septa ya michezo kumekua na porojo sana kuliko uhalisia wa mwelekeo wa mchezo wetu wa mpira wa miguu tumekua, tukiweka nguvu kubwa katika kuwahamasisha washabiki na kuwaaminisha kuwa uwepo wao uwanjani na upigaji kelele ndio chanzo kutuletea ushindi...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

    " Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021. Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE...
  5. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Ishu ya Manara, Injinia Hersi Said umeyataka mwenyewe ipo siku yatakufika!

    Kwa mwelekeo ulivyo na akili ya Manara ya kunyea kambi kawanyea mpaka tff.... bado kwako yatakukuta muda utaongea. Akili ya Manara ni ya hovyo tena ya kishetani na mpaka hapa mtaungana namie! 1) Kamtukana Mo Dewji na kusema anamwonea wivu kwa umaarufu wake. 2) Kagombana na Babra na kumtolea...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amuibua Kangi Lugola ugomvi wake na Karia

    Haji Manara amemtaja Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kwenye ugomvi unaoendelea baina yake na Rais wa TFF, Wallace Karia
  7. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Haji manara ni Spin Doctor Konki

    Ni hayo tu wakuu. Kazi kwenu mchague kuendelea na mjadala wenu wa pekeji au mhamie kwa Manara na Jambo lenu liwe limekamilika hivo.
  8. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania TFF yamjibu Haji Manara

    Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF, Wallace Karia alifanya makosa. Kidao amesema maneno hayo si ya kweli, na Sekretarieti ya TFF...
  9. nyehura

    JamiiForums Tanzania Manara amtaka Waziri Mchengerwa asimamie haki ya kiapo chake cha Katiba

    Msemaji wa Yanga Haji Manara ameongea na waandishi wa habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya shilingi milioni 20. Manara amemtaka Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa kwenda...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

    Manara: Sikuwa nataka baada ya kusomwa hukumu ile niseme lolote wala sio kawaida yangu lakini kwakuwa hukumu ile ilikuwa na mambo mengi ya kuchafua jina langu, kuharibu reputation na image yangu lakini ya kuififisha brand yangu ambayo nimeijenga kwa jasho jingi na kwa miaka mingi. INAENDELEA...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Haji Manara arudie kazi yake ya udalali na kufundisha madrasa, maisha yatamuwia magumu

    Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari. Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Video: Haji Manara akijisifu kufifisha Yanga kujiona wakubwa

    Katika muendeelezo wa series ya Haji VS HAJI mtifuano ni mkali unaendelea, sijui ni episode ya ngapi hii
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kisa Manara, maandamano makubwa ya wana Yanga Bujumbura

    Mkiambiwa manara ni duuude kuuubwa mnabisha, huyo karia akae kwa kutulia yaani kagusa waya wa moto na kama ikifika jumatatu hajamuomba radhi manara ajue hadi week ijayo atatolewa kwenye hiko cheo Jijini Bujumbura wana yanga kindakindaki wameandaa maandamano ya amani kuelekea ubalozi wa Tanzania...
  14. nyehura

    JamiiForums Tanzania Saleh Jembe Amtaka Manara Ajiepushe na Marafiki Wanafiki

    Mchambuzi wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya) kwamba hana makosa kutokana na hukumu aliyoipata ya kufungiwa miaka miwili kutojihusisha na soka pamoja na faini ya shilingi milioni 20. Akifanya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Video: Jimmy Kindoki asema Manara alitakiwa kuwa jela

    Yaani kama siyo kujuana juana alhaji albino sope binobino kubwa la ma albino east africa lilitakiwa kuwa jela segerea basi tu ni kama toto dogo lichokozi linajua likitukana watu kuna vibopa watalikingia kifua liendeleze matusi yake
  16. M

    JamiiForums Tanzania HAJI MANARA: Yote maisha, nimezamishwa kuna siku nitainuka, ninachoshukuru ninajua kuogelea!

  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukituliza Akili yako na Kuisoma 'Press Release' ya Yanga SC juu ya 'Hukumu' ya Manara utagundua aliyekuwa Kocha Wao Luc Eymael hakukosea alipowadharau

    Eti Hukumu ya Haji Manara imeathiri hadi Soka la nchi jirani hasa Burundi aliyokuwa akifanya nayo Kazi hasa ya Kupromoti Soka lao. Wapuuzi wakubwa nyie yaani Burundi ambayo imetuacha Kimpira mpaka Makocha wao wengi tunao Tanzania wamtegemee Haji Manara Kuuendeleza Mpira Wao? Eti ni Hukumu Kali...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Karia adhabu hii ya Manara imejumlisha na utani wetu?

    Hakuna ubishi kuwa Karia ni mwana Simba na mwana coastal Union. Lakini hakuna ubishi Manara amezikera sana Simba na coastal Union msimu huu kwa matukio tofauti. Adhabu aliyopewa Haji Manara ya kufungiwa miaka 2 na kulipa 20,000,000 ni sehemu ya ukweli huu wa Simba, coastal Union, Yanga, Karia na...
  19. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Manara kuwa huru kabla ya Siku ya Mwananchi

    Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF. Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni kama geresha tu maana itakuja kufutwa. Tuendelee kusubiri...
  20. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF

    Huu ndiyo ukweli Mchungu 1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake. 2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa Simba na Jerry Muro akiwa Yanga ilikuwa burudani murua sana. 3. Japo Haji amefungiwa lakini namsihi...
Back
Top Bottom