..Ni Henry Brogan..Former marine Scout Sniper..Binadam aliezawadiwa shabaha ya umbali mrefu karne ya 21...anaefanya kazi kama assassin kwenye usimamizi wa D.I.A..
...Defense Intelligence Agency wanaamini kwenye kitengo chao wana Henry Brogan..kazi yoyote inayohitaji kutenganisha roho ya mtu...