man

A man is an adult male human. Prior to adulthood, a male human is referred to as a boy.
Like most other male mammals, a man's genome typically inherits an X chromosome from his mother and a Y chromosome from his father. The male fetus generally produces larger amounts of androgens and smaller amounts of estrogens than a female fetus. This difference in the relative amounts of these sex steroids is largely responsible for the physiological differences that distinguish men from women. During puberty, hormones which stimulate androgen production result in the development of secondary sexual characteristics, thus exhibiting greater differences between the sexes. However, there are exceptions to the above for some transgender and intersex men.

View More On Wikipedia.org
  1. Liverpool 4-0 Man United, Gary Neville asema "Sijawahi kuiona Man United mbovu kama hii ya sasa"

    Mabao ya Luis Diaz katika dakika ya 5, Mohamed Salah (22 na 86) na Sadio Mane (68) yameipa ushindi #Liverpool dhidi ya Manchester United katika Premier League kwenye Uwanja wa Anfield. Nahodha wa zamani wa United, Gary Neville wakati mchezo ukiendelea alinukuliwa akisema: “Nimeiangalia United...
  2. Erling Haaland kutua Man City, mshahara Tsh bilioni 1.5 kwa wiki

    Mchakato wa Manchester City kuelekea kumsajili Erling Haaland wa Borussia Dortmund unaelekea pazuri hiyo ni baada ya kudaiwa kuwa wameshafikia makubaliano ya mshahara wa paundi 500,000 (Tsh bilioni 1.5) kwa wiki. Man City inataka kukamilisha mapema mchakato huo mapema, ada ya usajili inatwa...
  3. A real man should have class: Nilivyoshindwa kula kimasihara

    Nikiri wazi kale ka uzi Pendwa ka vijana wakati mwingine kana hamasisha na unaeza kuwa mtaani na mambo yako ukikumbuka tu JF unasema eemu ngoja nitest zari. Kwa kifupi last 2 weeks nilikua napita pita tik tok kuna mdada kiukweli ni pisi hatar nilikua namfatilia kwa week kadhaa huwa anapenda...
  4. Kama utahitaji hardcopy ya tafsiri ya kitabu The richest man in Babylon nicheki

    Ni Pm au mcheki huyu jamaa whatsapp. 0759522257 Pia kuna hizi softcopies. Kwa Tsh 2,000 hadi 4,000 utapata softcopies za vitabu hivi. Whatsapp namba 0759522257. Pia kuna bonasi ya vitabu kama nane. Hardcopy ipo ya Tajiri wa Babeli(12,000). List ya vitabu vyote. ORODHA YA VITABU NA BEI...
  5. Man V/s Women mpaka sasa Wanaongoza 3-0

    Nikiunganisha matukio ya hivi karibuni; Zuchu Zumarid Na Huyu wa Mrema. Mpaka sasa Mans tutaishia kupiga makelele tu mitandaoni ila kiukweli Tufanye sana Ibada hawa watu hatuwawezi,Ukikosekana wewe Mshukuru Mungu ujue kuna mwenzio huko kapatikana!
  6. Magufuli, a Man of the People

    MAGUFULI: A MAN OF THE PEOPLE MAR 16, 2022 By Harid Mkali. London, England. It is now a year since the all too untimely death of President John Pombe Joseph Magufuli who died on March 17th, 2021 just as he had started his 2nd term as President of Tanzania. In October 2020 the...
  7. Mwanafunzi afariki kwa kupigwa risasi shuleni, kisa kuzuia kuangalia mechi ya Man Utd

    Mwanafunzi amefariki kwa kupigwa risasi wakati polisi wakituliza vurugu za wanafunzi wa Shule ya Sekondari Gulu nchini Uganda, zilizotokana na kuzuiwa kutazama mchezo wa Man City dhidi ya Man United, Jumapili Machi 6, 2022. Mwanafunzi huyo ametajwa kuwa ni Gabriel Rwotomiya ambaye alikuwa...
  8. De Gea adai Man Utd wamepewa laana

    Golikipa wa Man Utd, David De Gea anadai kuwa timu yao itakuwa imepewa laana na ndio maana haifanyi vizuri kwasasa! Sijui tunachokifanya kwasasa, matokeo yamekuwa mabaya siku mpaka siku, nafikiri kuna mtu atakuwa ametupa mkosi/laana, aliongeza De Gea. Una maoni gani kuhusu kauli ya De Gea...
  9. Man Utd yatupwa nje FA Cup, mashabiki wamponda Ronaldo

    Baadhi ya mshabiki wa soka wamemponda na kumdhihaki Cristiano Ronaldo mara baada ya kukosa penati na kushuhudi timu yake ya Manchester United ikiondolewa katika Kombe la FA dhidi ya Middlesbrough. Ronaldo, 36, alikuwa na nafasi ya kuanza kufunga katika dakika za mwanzo kwa penati baada ya Paul...
  10. M

    Single women, tell us how it feels Without a man in your life

    A man went to social media to ask women how they life was as single women. The responses were interesting. Nomadlozi Ramagoshi responded: "Very lonely, especially on weekends. Every woma n needs a man in her life". Zizo stated: "For a woman as clingy as me you will cuddle yourself to...
  11. Cappuccino Man 💕

    Baby (Kasie) you know... You are my lover baby... ... you know I love you so.... ‘Cause am not gonna be for long.... You know I gat what you need.....’ Keep it tight for me Kasie.... 😉. Aaawwww....😍 all this time was blushing 😊 smiling all over my face.... Sweet words makes one feel like...
  12. S

    Kwa kauli hii ya rais Samia ni dhahiri awamu ya tano ilikuwa 'One Man Show'

    Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali". Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike. Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama...
  13. Cristiano Ronaldo: Mshambulizi wa Man Utd na Ureno anakuwa mchezaji wa kwanza kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu

    Takwimu: Mechi 1,097, mabao 801. Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu katika maisha yake ya soka alipoifungia Manchester United mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal siku ya Alhamisi. Ilikuwa ni jibu la kawaida la...
  14. M

    Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Soma mwenyewe
  15. The Leopard Man defended Africa from coloniers

    Wafalme, Machifu na viongozi wengine walipata ridhaa ya mizimu kabla ya kupata nafasi ya kuongoza. Licha ya kuwa na bunduki na silaha za kivita lakini Wazungu walipitia mapingamizi mengi kabla ya kufanikiwa kuitawala Afrika. Viongozi wa jadi walipokea amri na maelekezo kutoka kwa mizimu...
  16. Monday must be a man, it always comes too quick

  17. Hadithi: A Confession of a Madman

    Tittle: A confession of a mad man Author: DIZASTA VINA Jina lake silikumbuki kwa sababu sikumuuliza anaitwa nani. Lakini kwa sasa hivi nikitafakari, ninaweza kumbatiza jina la Malaika. Ndiyo! Malaika kwa sababu ya mionekano yake. Lazima nikiri nimeona wanawake wengi warembo wa kila rangi na...
  18. Mtumba Man afichua alivyotaka kujitoa uhai baada ya kuwa maarufu

    Tunapozungumzia Mtumba Man, wengi wanamfahamu kama mwanamume ambaye anauza mitumba akiwa anaimba na kuvalia mavazi ya wanawake nchini Kenya Je uewahi jiuliza kwa nini watu mashuhuri au vijana mashuhuri ujitoa uhai au kupatwa na msongo wa mawazo licha yao kuwa maarufu nchini? Mtumba Man akiwa...
  19. T

    Busness man

    Hodi jf
  20. Superman son is bisexual

    jamani hii cartoon ya super man inayokuja kwa sasa inachochea ushoga kwenye cartoon,dc comics wameona cartoon yao inapendwa sana world wide kwa hiyo wameamua kwa sasa kutangaza ushoga live kupitia cartoon zao, kusema kweli watoto wetu wataiga tabia hizo, asilimia 75% ya watoto wote wanaoangalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…