mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole kesho Agosti 21 kuongea na taifa ikiwa maoni yake hayatafanyiwa kazi

    Ni kwamba leo ameongea kiduchu kwa kusisitiza kuwa ni muhimu wenye mamalaka kuacha kushupaza shingo wao ni wadogo kuliko taifa wawe na hofu ya Mungu kwani kundi la mtandao halina nia njema na taifa letu.
  2. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mungu anasema mamlaka zote zinatoka kwake anatuasa tuzitii na kuziheshimu. Kupitia hili TZ tuna watumishi wa Mungu wachache sana, wengi ni matapeli

    Mtumishi wa Mungu ni yule anayehubiri umoja, amani, mshikamano, na upendo kwa watu na Taifa lao na si vinginevyo. Ni aibu kwa mtumishi wa Mungu kuhubiri chuki, utengano, upotoshaji, uongo nk huyo si mtumishi wa Mungu ni tapeli yafaa achukuliwe hatua Kali za kinidhamu kwa mujibu wa sheria zetu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
  4. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

    Gwajima katandika sana leo. Hoja zake kubwa ni: 1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa. 2. Serikali ifungue makanisa in 10 days. 3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mamlaka yanajaza kiburi

  6. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Gari ya wanafunzi/primary imewekwa Tinted

    Wakuu Katika harakati zangu wiki iliopita saa 12 asubuhi nilikutana na hii gari ya watoto wa nursery imepigwa tinted vioo vyote(hadi cha dereva) ispokua kioo cha mbele. Kwa kushamiri kwa matukio ya unyanyasaji wa kingono na ukatili dhidi ya watoto, hili linawezekanaje? Unamlaumu nani 1. Kwanini...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Swali la Kikatiba na Kisheria: Chadema wanataka Reforms kabla ya Uchaguzi Mkuu, pendekezo au takwa hili wamelifikisha mamlaka ipi ili lifanyiwe kazi?

    Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la Mwenyekiti Lissu, au labda limewasilishwa rasmi katika mamlaka fulani ili lifanyiwe kazi. Ningeomba...
  8. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Waziri wa maji na mkurugenzi wa mamlaka ya maji halmashauri ya mji wa Bunda huyu askari anawasaidia au anawahujumu kwenye hii operation?

    Kwanza nitoe pongezi za dhati kwa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuunda kikosi kazi kinachoshughulikia kero za wanufaika wa huduma ya maji,hapa namaanisha wateja waliounganishiwa huduma ya maji.Baadhi ya kero ni kama uhalali wa bili,miundombinu nk Kikosi kazi hiki kinaundwa...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Huwezi Mtenganisha MULIRO na Matendo ya kiovu yanayoendelea Nchini. Maelezo yake ynaonyesha pia kuwa Jeshi la Polisi limeshindwa KAZI ya kulinda Taifa

    Huyu Jamaa kama ni Roho mbaya, basi ni Shetani ,amejawa Kiburi, jeuri ya Mamlaka kiasi kwamba Licha ya kua anajua anaongea Upumbavu anaelewa fika hamna wa Kumfanya kitu chochote. Huyu Jamaa kama tutapata Taarifa zake Binafsi za Akaunti za Benki ni wazi atakua na Mabilioni Kadhaa ya Fedha ...
  10. Mwenekaya Nkulu

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya mapato Tanzania na mfumo wa internet

    Mamlaka ya mapato Tanzania yaani tra ni chombo cha serikali cha kusimamia ukusanyaji wa kodi na mapato ya serikali, ni mamlaka ambayo kwa jicho fulani hivi inayojitahidi kuhimiza watu katika kulipa kodi kwa njia na mifumo halali. Mamlaka hii imetoa idhini kwa baadhi ya watu au taasisi binafsi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Mamlaka kudhibiti uhalifu wa vikundi vinavyojifanya Washirika wa CCM na kuumiza watu

    Vikundi vinavyojifanya washirika wa CCM na kushiriki katika vitendo vya uhalifu dhidi ya jamii visipodhibitiwa na polisi, wasilaumu jamii itakapochukua hatua za kujilinda. Kila jambo lina kikomo chake.
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bashe ni MSOMALI? lazima ajitokeze kimbelembele kujibu Hoja za Polepole ili Mamlaka iendelee Kumkumbatia

    Huyu Bashe Kwa Lugha nyepesi kabisa unaweza muita ni CHAWA asiyemtanzia ambaye anatumia Janja kujiweka karibu zaidi ya Mamlaka ya Juu, ili aendelee kuchukua Nafasi za Watanzania. Suala lake la Sukari, Mnunuzi Mmoja wa PAMBA, huku wakulima wakizidi kua Masikini Hana namna ya Kulikwepa, Njia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Askofu Gwajima aomba radhi kwa viongozi wa Mamlaka zote husika na kuomba makanisa yafunguliwe

    Wakuu, Napata mkanganyiko hapa, naomba msaada nipate taarifa ya kweli kama Gwajima amesema haya maneno.
  14. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Leonard Magere (CHADEMA) adaiwa kuzuiwa na mamlaka ya Uhamiaji kusafiri Uingereza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) Julai 12, 2025 kimeandika “Tunapenda kuutaarifu umma kuwa leo tarehe 12 Julai 2025 Bw. Leonard Joseph Magere, Mtaalamu wa Rasilimali, Miradi na Uwekezaji, amezuiwa na mamlaka ya uahamiaji kusafiri kuelekea nchini...
  15. shamzugi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za usimamizi wa usafiri wa abiria kutoka Moshi mjini kwenda wilaya jirani mko wapi abiria wananyanyasika

    Habari za muda huu wakuu?? Jumamosi ya tarehe 5/7/2025 nilisafiri kuelekea mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai mjini wa Bomang'ombe. Nilifika Moshi mjini majira ya saa Moja usiku. Pale stendi ndogo nilikuta magari machache ya abiria yanayoelekea maeneo mbalimbali ya jirani. Gari za kuelekea...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Mali: Assimi Goïta atangaza sheria inayompa mamlaka bila kikomo

    Mkuu wa utawala wa ijeshi nchini Mali Assimi Goïta siku ya Alhamisi ameidhinisha sheria inayompa mamlaka ya miaka mitano ya urais, ambayo yanaweza kufanyiwa upya "mara nyingi inavyohitajika" na bila uchaguzi. Mkuu wa serikali ya Mali amejipa mamlaka ya miaka mitano ya urais, ambayo yanaweza...
  17. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  18. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump kutumia Mamlaka ya Rais kutuma silaha Ukraine, vyanzo vinasema

    Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine. Kwa zaidi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) yatoa rai wazabuni kutumia moduli kuwasilisha rufaa

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imetoa rai kwa wazabuni kutumia Moduli ya kupokea na kushughulikia malalamiko katika mfumo wa NeST ili kuokoa muda na gharama zisizo na ulazima. Rai hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji wa PPAA, Bw. James Sando alipoongea na waandishi wa Habari katika...
  20. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Je walio kwenye Viti vya Mamlaka wana furaha? Na je wanakuwa na wivu au husuda kwa sisi raia wa kawaida?

    Hili swali nimewahi jiuliza sana .sasa leo nimeona nipate ku share na wadau humu. Kilichonisukuma mpaka kujiuliza hili swali ni nyakati za hafla za kijamii au za kimichezo zinapowakutanisha viongozi na wananchi wa kawaida. Ipo hivi mimi huwa ni good observer na ku pay attention kila jambo...
Back
Top Bottom