mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Canada na Norway waungana kulaani kinachoendelea Tanzania. Wataka Mamlaka kuzingatia mikataba ya Kimataifa

  2. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Watanzania, msijaribu kwenda kumtoa Lissu

    Watanzania!. Nimeona uzi wa britanicca kuhusu kwenda kwa lissu na wengine wamechangia kwenda huko. Mkienda na mkajaribu kumtoa mnaweza kumuweka kwenye hatari kubwa sana ya usalama wake. Wapo watu wahovu wanaweza kujipenyeza na kumdhuru. Kwa sasa yupo sehemu salama. Uhakika wa yeye kutoka...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mamlaka za maji kudaiwa kubambikia wateja bills imeanza kitambo, kwanini Samia achukizwe kipindi cha uchaguzi?

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akimnadi Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ndiye Rais wa Tanzania, ameelezea kuwa anasikitishwa na tabia ya baadhi ya mamlaka za maji kubambikia wananchi bili kubwa zisizo na uhalisia. Najiuliza kwanini hatua za msingi hazikuchukuliwa mapema...
  4. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Naumia sana navyoshuhudia Kanisa langu Katoliki likishambuliwa na mamlaka

    Niwe mukweli roho inaniuma na ninapata hasira sana nikiona Kanisa Katoliki likishambuliwa na mamlaka zetu. Tunaona mapadre wetu wanatekwa na kudhalilishwa. Wanalazimisha watawa kufanya mambo ya kutufedheesha waumini. Kwa nini awamu hii inatunyanyasa sisi wakatoliki kwani kila mtu lazima...
  5. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA mmeupata?

    Leo mapema nimepokea hii message kutoka mamlaka ya Mawasiliano TCRA wakinihimiza nitumie mitandao ya kijamii vizuri je ni mimi peke yangu ana wengine pia mmeupata na kwanini wanafanya kwa nini mitandao ya simu inaruhusu huu ujinga?
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mamlaka ya uwekezaji imesema licha ya Uchaguzi kuendelea lakini Uwekezaji haujapungua

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania Gilead Teri amesema hamasa ya wawekezaji kuwekeza nchini imeendelea kuwa kubwa hata katika kipindi ambacho nchi yetu ipo kwenye uchaguzi jambo linaloashiria imani kubwa ya wawekezaji hao kwa serikali. Teri ameyasema...
  7. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Duniani kote wenye Mamlaka ya mwisho juu ya Nchi yao huwa wananchi

    Mamlaka ya mwisho kabisa iko kwa wananchi siku wananchi wa Tanzania wakijitambua dharau za Viongozi zitaisha viongozi wamejaa dharau sana kudharau wananchi kuwaona kama takataka. Hiyo inatokana na wananchi kutojua kwamba wao ndo wenye mamlaka ya mwisho ya kuweza kuondoa yale yanayowaumiza...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mamlaka kumchunguza Wicknell Chivayokwa Kesi za Rushwa na Ufisadi

    Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zimbabwe (ZACC), imetangaza kufungua upya jalada la Uchunguzi dhidi ya Mfanyabiashara Wicknell Chivayo kutokana na kuhusishwa kwake na masuala ya Rushwa na Ufisadi katika miradi aliyoifanya na Serikali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ZACC, imeeleza kuwa...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Je unadhani huyu dada akitua bongo ni adhabu gani atapewa na mamlaka?

    GT Aisee huyu dada ni hatari. Mi nadhani watangawana juu kwa juu mikono kule kichwa kule yaani ni balaa.
  10. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa na uwezo na kuruhusiwa na mamlaka ningejenga sanamu kubwa la TRUMP, SHEIKH ZAYED na NETANYAHU

    Sheikh Zayed wa UAE. Trump wa US Netanyahu wa Israel
  11. La Roche

    JamiiForums Tanzania Mamlaka acheni kufungia uhuru wa habari

    Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)... Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi kufungia na kutoheshimu wananchi wake. Mnapofungia vyombo vya habari na majukwaa...
  12. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Naionea huruma Tanganyika nawa one huruma wananchi wa tanganyika

    Poleni sana ndugu zangu
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Watawala Wasio Rasmi "Oligarchs" walioshutumiwa kipindi cha kikwete, Wakazimwa na Magufuli, Wamerudi kwa Samia.

    Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king dethroners (waangushaji wa watawala). Hawa watu huendesha siasa kwa kivuli, bila kuonekana moja kwa...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya;Mahakama ipewe mamlaka kuhoji Tume ya uchaguzi na matokeo ya Urais.

    1. Matokeo ya Raisi yahojiwe Mahakamani kama yaliyo ya Diwani na ubunge.kwa kuwa wagombea wa urais wanaweza kufanya makosa ya kiuchaguzi. 2. Tume ihojiwe na Mahakama inapo enda kinyume ktk kutimiza majukumu yake. 3. Itungwe sheria ya kuwezesha INEC kufanya Kazi za kusimamia uchaguzi Kwa sasa...
  15. McLaren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyemnywesha tembo bia mbugani achunguzwa na mamlaka za Kenya

    Mamlaka za wanyamapori nchini Kenya zimeanzisha uchunguzi baada ya video za mtalii wa Kihispania kusambaa mtandaoni zikimuonyesha akimimina bia kwenye mwembe wa ndovu. Tukio hilo lililofanyika katika hifadhi binafsi ya Ol Jogi Conservancy, Kaunti ya Laikipia, limezua hasira kubwa kwenye mitandao...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Usalama wa watembea kwa miguu na wachuuzi wa biashara Mbagala rangi 3; Mamlaka zipo likizo?

    Hali ya usalama wa watembea kwa miguu ni changamoto hasa kutokana na wafanyabiashara ndogondogo kufanya biashara zao katika njia za watembea kwa miguu. Hii imefanya watembea kwa miguu kupita pembezoni mwa barabara. Hali inayopelekea usalama wao kuwa mashakani. Kinachoshangaza zaidi...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Kwamba TANZANIA imekubali kumpa mtu ukubwa na mamlaka kuliko Mh.Rais pamoja na serikali yake yote!?

    Naona kabisa ndivyo ilivyo Na ndicho hili Taifa linapitia kwa sasa.
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je mamlaka kuu za dunia zinatuficha kuhusu uwepo wa aliens?

  19. W

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  20. digba sowey

    JamiiForums Tanzania CCM imetoa wapi mamlaka ya Kutumia taarifa zetu za NIDA kutengeneza vitambulisho vya chama? Je CHADEMA wanaweza pewa hii access!?

    Wakuu nimeshangaa sana mamlaka ya NIDA kukanusha kuwa CCM Haina access na taarifa zetu za NIDA,huu ni uhuni na uongo wa Hali ya juu,au kwakuwa watanganyika wengi hatufatilii mambo!? Ni ukweli usiopingika kuwa CCM wamepewa access ya taarifa zetu muhimu na NIDA ili kufanya chochote wakitakacho...
Back
Top Bottom