mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari kuweni makini. Msipokuwa makini hii mamlaka itawazika

    Mamlaka yenyewe mnaijua. Inadhibiti maudhui yenu kwa kila hali. Inawaongoza cha kuandika na kusema. Leo hii mimi nilikuwa sio wa kuacha kutazama taarifa ya habari saa 2 usiku kwenye ile independent tv, lakini sasa napotezea tu. Natazama aljazeera muda huu. Wa aina yangu tuko wengi sana. Soon tv...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka za TANROAD Kigamboni zipo?

    Barabara za Kigamboni hazina usimamizi wakati wa kufanya marekebisho. Ni kama vile hakuna usimamizi au mamlaka za TANROAD hazipo Kabisa Kigamboni. Kipande cha kurekebisha wiki moja kinachukua miezi 6 hadi nane. Mathalani ukipita Kigamboni maeneo ya Machava hadi Tanzanite kuna vipande vya...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tuseme Kenya imewafanyia watanzania kama Boniface Mwangi na Agatha Atuhaire, Mamlaka za Tanzania zingemtoa yeyote kwa Kenya?

    Tunaposema Mwanasheria Mkuu wa Serikali anapaswa kuwa mtu mwenye weredi ya hali ya juu katika masuala ya kisheria ziwe za madai au jinai au za kitaifa au kimataifa hatutanii, tuna maanisha kweli. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni cheo nyeti sana katika nchi yoyote ile duniani. Ni kielelezo kikuu...
  4. Pakome

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanaojifanya kukemea wananchi wasiandamane, wanaipenda NCHI au MAMLAKA?

    Ukifuatilia, wengi wa viongozi wanaokemea watu wasiandamane ni kama wanataka raia watulie na kuburuzwa. Issues zinazolalamikiwa na wananchi hazifanyiwi kazi, watu wanaendelea kutekwa, hofu ya wananchi juu ya maisha yao inazidi kutanda kwani wananchi wanatekwa, wanapotezwa au kuuawa na haijawahi...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nani anawapa mamlaka Polisi kuweka namba zisizojulikana kwenye gari zao binafsi?

    Mfano hii unayoiona hapa ina zaidi ya miaka mitatu ina NAMBA HIZI. Gari hii iko Mwanza. Kuna gari binafsi za polisi kwenye Boot (buti) unakuta kuna NUMBER PLATES nne mpaka tano tofauti. Za nini? Za kazi gani? Kwanini kwenye gari binafsi? Tunaomba serikali ifuatilie jambo hili, linatupa...
  7. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kudai Mamlaka yote hutoka kwa Mungu huku ukiua wadai haki na kutesa wananchi ni chukizo mbele ya Mungu

    Katika historia ya mataifa mengi, hakuna kitu chenye maumivu makali kama kupoteza roho za watu wasio na hatia wanaodai tu kile kilicho haki yao ya kimsingi. Wale wanaolinda maslahi ya wote wanapogeuka kuwa chanzo cha mateso, damu isiyo na hatia inapomwagika, na ukiri wa kuhusika unapotolewa bila...
  8. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC Na Kanisa Katoliki tambueni kuwa hamna mamlaka ya kuitaka Serikali ikiri chochote kwenu

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali yetu tukufu chini ya amiri jeshi wetu MKuu Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kusimam imara katika kuilinda amani ya nchi hii dhidi ya wachochezi na wafanya vurugu wa tareh 29.10.2025 na wengine wote ambao wanasimama eti...
  9. P

    JamiiForums Tanzania KERO Wizi wa mamlaka za maji

    Kumekuwa na hujuma za makusudi za kupandisha bili za maji za watu. Kwa kudhibitisha, asilimia kubwa ya watu bill zao za mwezi wa November zipo juu bila sababu za msingi , je ni serikali inatafuta pesa kwa nguvu ama? We malalamiko tujuane.
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mamlaka: Vurugu za Uchaguzi na Falsafa ya Uongozi Barani Afrika

    Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona majeshi yakimiminika mitaani, mabomu ya machozi yakipiga kelele kila kona, na miili ya vijana ikijaa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za usalama zituambie yuko wapi Titho Philemon? Wiki inakatika sasa haijulikani alipo

    Sasa inaelekea Siku ya saba tangu zimesambaa taarifa kuwa ametekwa/amekamatwa Kijana Titho Philemon Dyakiye, Mzaliwa wa Wilaya ya Ngara. Mpaka sasa haijajulikana ana kosa gani kwani hajafikishwa mbele ya chombo chochote cha sheria na pia wana Ngara hawakuwahi kusikia uhalifu ama kosa lake...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sheria ndiyo imenipa mamlaka kuunda tume kufanya uchunguzi

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 20, 2025 akizindua Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma, ametoa ufafanuzi kuwa Mamlaka ya kuunda tume hiyo...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yeyote fisadi na mwizi

    Wananchi wana mamlaka ya kupindua na kumuwajibisha kiongozi yoyote fisadi na mwizi. kumpindua mwizi na fisadi sio kosa. Hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi, taifa linaweza kuwepo bila rais lakini haliwezi kuwepo bila wananchi, kwamba wananchi ndio wanaunda rais mtu akijichagua yeye mwenyewe...
  14. Pakome

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano TCRA, ruhusuni JamiiForums kwasababu kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika kupitia habari

    Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla kupitia habari, jambo lililokuwa likisaidia Serikali kuona changamoto za Wananchi wake na kutatua...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nani atazishauri mamlaka za Tanganyika?

    Taifa liko kwenye mkwamo wa vifo vya maelfu, maombolezo ni kila kina, vilio ni kila mahali matanga ni kote Wengine wamezika nguo... Wengine bado wanawatafuta wapendwa wao, sintofahamu ni kubwa sana kwa ambao hawajulikani walipo ... Majeruhi ni wengi, acha walio mahabusu na wale waliopewa kesi za...
  16. Voltaire

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa lilitokea Oktoba 2025 naamini hata CCM wamepata madhara kwa katiba kumpa Rais mamlaka yaliyopitiliza

    Short and clear, madaraka ya rais kikatiba yanapaswa kuangaliwa vizuri mnooo...yaliyotokea ni mojawapo ya madhara hayo. Waliokuwa wanaona suala la katiba ni Agenda nyepesi naamini wameo a kilichotokea! Usimamizi ni kwenye rasilimali za Taifa je? Naamini tunaelekea kuipata katiba ya haki na...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi

    Hakuna mtu mwenye nguvu na mamlaka kwenye hili taifa kuliko wananchi.
  18. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jerry Silaa aliikosea nini mamlaka?

    Jamaa yangu alisimamia uchaguzi. Walikuwa na maelekezo ya kuwapa ushindi chama tawala. Sasa najiuliza Jerry Silaa ameshindwaje Ubunge huku akiwa Waziri? Ni wapi aliikosea mamlaka mpaka akapoteza Ubunge wake?
  19. Teslarati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Somo la kujifunza kwa kilichotokea tangu October : Do not give power to the ineligible - Usimpe mamlaka asiestahili

    Habari wana jamvi, huwa siandiki kuhusu siasa humu JF, Mara nyingi utanikuta MMU tu, anyway that's not a story. Story ni hili la kujifunza baada ya mambo yote yaliotokea tangu October 29 mwaka huu 2025. Nimekua na bahati ya kufanya kazi kwenye makampuni makubwa sana nje na ndani ya Tanzania...
  20. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Ni mamlaka ya Katiba ndio msingi wa haya yote

    Tuna huyu mama ambae clearly hana uwezo wa kuongoza nchi na upuuzi wa succession planning ya CCM iliyompa chance ya kufika alipo. Like seriously nchi zima aina mbinu ya kumtoa huyu na mtoto wake kisa madaraka yake ya katiba tu. Kwa Samia uhalisia ni kwamba; washauri wake, walinzi wake...
Back
Top Bottom