mamilioni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Vigogo KNCU wasimamishwa kazi kwa kutafuna mamilioni ya fedha za wakulima

    Vigogo watatu wa Chama Kikuu cha ushirika mkoani kilimanjaro{KNCU}wamesimamishwa kazi na mrajis wa vyama vya Ushirika nchini kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa fedha za walikuma za zao la kahawa zaidi ya shilingi milioni 300. Vigogo hao ni pamoja na meneja wa chama hcho,Godfrey...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Airtel yadaiwa mamilioni kortini

    Kampuni ya Airtel imepandishwa kizimbani ikidaiwa fidia ya Sh490 milioni kwa kuitumia sauti ya Nixon Bandago Haule kwenye tangazo la ‘Airtel the Smartphone Network.’ Kesi hiyo imefunguliwa na Haule Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam anayedai sauti inayosikika katika kaulimbiu hiyo na kutumika...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

    Wakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k Takriban watumwa milioni 6...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Michakato na vikao vya CCM vinapokaa hufuatiliwa kwa karibu na Mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu huo ndio utafiti unavyoonyesha kuwa kila CCM inapokuwa na vikao vyake vya ndani ngazi ya Taifa hufuatiliwa kwa karibu Sana na Mamilioni ya Watanzania, huku waandishi wa habari wakiongoza kupiga kambi katika viunga kunakofanyika vikao ili kufahamu yanayoendelea na maazimio ya vikao...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako aibua ufisadi wa mamilioni ya fedha za mkopo wa Corona

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako, ameibua ubadhirifu wa mamilioni ya shilingi yaliyotolewa kutokana na mkopo wa UVIKO-19 kwa ajili ya ukarabati wa Chuo cha Ufundi Stadi na Marekebisho kwa Watu Wenye Ulemavu Sabasaba. Kufuatia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

    Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Mataifa yaliyoizunguka Urusi kuzuia Warusi wanaopita mipakani kwa mamilioni

    Bara Ulaya kuzuia visa kwa Warusi, na hii ni pamoja na mataifa yaliyoizunguka Urusi, yaani Putin anapitisha taifa lake kwenye hali ngumu sana. ========= European Union foreign ministers have agreed to suspend a visa agreement with Moscow, making it harder for Russian citizens to obtain entry...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania UNICEF: Mamilioni hawana maji safi Pembe ya Afrika

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto, UNICEF, limesema idadi ya watu wasio na uhakika wa kupata maji safi na salama imeongezeka kwa kasi katika Pembe ya Afrika, huku eneo hilo likikumbwa na ukame mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 40. UNICEF imesema leo kuwa...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni

    Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni. Ni huzuni. Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi. Diploma naye hivyo hivyo. Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ujuaji wamkosesha dili la mamilioni mwalimu wa muziki/ nyimbo jijini Dar es Salaam

    Ni hivi kuna mtoto wa tajiri mmoja aishie Oman mwenye asili ya Zanzibar anafanya project ya uandishi wa nyimbo za kiswahili ili kuona kama nyimbo zinazo tokana na utunzi wake zinaweza ku trend. Kinacho fanywa na familia hii ya kitajiri ni kama kilicho fanywa na Mzee Bakhressa alipo ianzisha...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya vimulimuli waunda mandhari nzuri usiku wa kiangazi

    Mamilioni ya vimulimuli waunda mandhari nzuri usiku wa kiangazi
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi amkute katika ofisi za Bohari ya Dawa (MSD) Jumatatu saa nne asubuhi, baada ya kubaini madudu katika ununuzi wa vifaa vya matibabu. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo katika...
  13. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania UVCCM Mwanza" watapeli" mamilioni ya pesa, viongozi wagawana

    UVCCM Mwanza" watapeli" mamilioni ya pesa, viongozi wagawana Katika hali ya kusikitisha Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, wanadaiwa kutapeli zaidi ya milioni 80. Tuhuma za UVCCM wilaya ya Nyamagana zinawakabili watu wawili ambao ni viongozi, Mwenyekiti wa UVCCM wilaya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CO anatumia mamilioni ya pesa kusoma halafu anakuja kulipwa laki 2 huu ni unyanyasaji

    Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka Ada Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mke wa Waziri Mkuu wa zamani wa Ukraine adaiwa kujaribu kutorosha mamilioni ya dola

    Ama kweli ni kipi kilicho bora kuliko pesa? Wengine wakisema pesa ni sabuni ya roho. Hizi si ndiyo chimbuko la tozo? Ndiyo chimbuko la kung'angania madaraka? Chimbuko la wizi wa kura? Chimbuko la kukataa katiba mpya? Hawa ni wa Ukraine mbona hata kwetu ni hivi hivi? Hapa mke wa mbunge mmoja...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Benin: Mkulima aokotoa furushi lenye mamilioni ya fedha, arudisha kwa mwenyewe

    Mkulima mmoja nchini Benin amepokea tuzo ya heshima kutoka kwa mamlaka ya nchi yake hiyo ni baada ya kuokota mamilioni ya fedha kisha kumrudishia mmiliki. Fedha hizo aliziokota kwenye begi la kusafiria alilolichukua alipokuwa njiani Ijumaa iliyopita alipokuwa akirejea kutoka shambani kwake...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa UN: Korea Kaskazini yaiba mamilioni ya dola kupitia udukuzi mitandaoni

    Wataalam wa Umoja wa Mataifa wamesema kwenye ripoti yao kwamba Korea ya Kaskazini inaendelea kuiba mamilioni ya dola kutoka katika taasisi za kifedha na makampuni yanayojihusisha na sarafu za mitandao na ubadilishanaji fedha. Wataalamu hao waliowanukuu wataalamu wa masuala ya mitandao kwenye...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CHADEMA hulipana posho za mamilioni kila wanapohudhuria kesi ya Mbowe?

    CHADEMA sasa ni kama haina uongozi, imekatwa kichwa, Mwenyekiti Yuko gerezani, Makamu anakula kuku ubeleji. Kuna taarifa kwamba viongozi hulipana posho za mamilioni Kila siku wanapohudhuria kesi ya Mbowe, kama taarifa hizi ni za kweli, basi Kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea. Nashauri...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simba Sc, Lawama hazitawasaidia, Mamilioni ya fedha anazotoa Azam kila mwezi kwa kila timu zimefanya ligi iwe na ushindani kuliko miaka iliyopita

    Kila timu inapokea si chini ya Milioni 40 kila mwezi kwajili ya kujiendesha, Hivi kwa akili ya kawaida tu unategemea ubora wa hizi timu uwe vilevile kama miaka ya nyuma?? 🚨 Simba SC lawama haziwasaidii, wekezeni uwanjani zaidi kuliko nje ya uwanja !! - Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania WFP: Mamilioni ya raia wa Afghanistan hatarini kukumbwa na baa la njaa

    Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeonya kuwa Mamilioni ya Raia Nchini Afghanistan watakabiliwa na baa la njaa msimu wa baridi ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa. Imeelezwa, takriban watu Milioni 22.8 watakumbwa na uhaba wa chakula huku Watoto Milioni 3.2 chini ya miaka mitano...
Back
Top Bottom