The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.
Kuna ushamba fulani hivi wanaume huwa wanaufanya ambapo kimsingi si uungwana na ustarabu hata siku Moja. Jamaa mmoja tulisoma wote chuo kikuu Sasa juzijuzi kapata ajira katika mji ambapo Mimi nafanya kazi.
Sasa aliponiambia amepata anakuja kuripoti nikamwambia afikie kwangu Cha ajabu Sasa jamaa...
Kwa tafiti ndogo niliyofanya,
Kimsingi kila ninapouliza mambo ya maana ni wachache sana angalau watachangia,
LAKINI
NItakapoulizia mambo ya kipuuzi kama Misambwanda na ute ute...lahaula wanamiminika watu lukuki kutoka sehemu zisizojulikana.
HILI NI TATIZO KWA AFYA YA MAENDELEO.
NB
EPSTEIN VP?
Habari wakuu?
Tukiachana na hizi shanga wanazo vaa dada zetu mama zetu au mabinti zetu
Sijui na Sina hakika kama ni ulembo tu au Kuna mambo mengine ya ziada nyuma za shanga hizo lakini sizi zungumzii hizo shanga hapana
Nime shuhudia waganga wakienyeji wakiingia kwenye majumba ya watu wakitoa...
''Iran imelipa gharama kubwa kwenye programu ya amani ya nyuklia na urutubishaji wa uranium.-Abbas Araghchi
- Kwanini tunasisitiza sana kwenye urutubishaji wa uranium na hatuna mpango wa kuachana na programu hii hata kama vita vikiletwa kwetu ?Ni kwasababu hakuna nchi ambayo inaweza kuamuru...
Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi.
Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa).
Meja...
KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kukataliwa na Mungu wako.
Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi.
Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha.
Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu.
2. Maisha...
Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya ulinzi inayoitwa G4S, Serikali ilitangaza kuwa kima cha chini ni 299k na ukijumulisha na overtime na sikukuu inatakiwa kiwe kuanzia 489k - 520k kwa normal guard lakini sasa tumeingiziwa mshahara wa mwezi Januari 2026 hata hatuelewi.
Tumewekewa chini ya 480k na...
Anonymous
Thread
kampuni
kampuni ya ulinzi
mambo
maslahi
maslahi ya wafanyakazi
sawa
ulinzi
uongozi
wafanyakazi
Serikali imeweka wazi kuwa Magereza mbalimbali nchini sio Sehemu ya Mateso huku ukiwepo ushahidi wa Maendeleo kwa Wafungwa kuhitimu Masomo ya ngazi mbalimbali na Mafunzo wakiwa ndani ya kifungo ikiwemo Wafungwa 209 waliohitimu Masomo ya Ujasiriamali katika Chuo cha Uhasibu Arusha na wafungwa 201...
Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mkoa wa Arusha Cecilia Daniel Paresso Cecilia Paresso amesema ahadi ambazo alizitoa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa atatekeleza ndani ya siku 100 tayari ameanza kuzitekeleza ikiwemo mpango wa bima ya afya kwa wote na mikopo kwa wajasiriamali.
Akizungumza Februari 2...
Majuzi nilichoka kabisa niliposikia mb mmoja anaongelea pilau bungen kisa ufunguzi wa meli
Akitoa pt zake anasisitiza atuwezi wapa maji wananchi kwa uzinduzi wa meli ya gharama kama ile
Akashauri kuwepo na ugali na wali pilau na nyati za kutosha
Alijua kunachinjwa nyati zaidi ya 20
Aisee...
Haya mambo matatu yamekuwa yakiwachanganya sana watu wengi
1 .Call , (Wito
2. Fate
3 . Destiny (Hatima)
Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha either kwa kutoelewa haya mambo matatu kwa kujua au kwa kutokujua.
Kwa kuelezea haya mambo matatu nitatumia mfano wa Yusufu wa
kwenye...
Hii ndio miaka millenials wapo primary and secondary huku bado wadogo zao gen z wapo kwenye mifuko na mayai🤣
Miaka hio tunaulizana mbna isidingo Haiishi maana tangu late 90s watu wanaangalia😬
Miaka 2000 ndio ilikuwa golden age ya burudani na media katika nchi hii
Between 2000 hadi 2009 taifa...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha.
Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
KWA WANANDOA PEKEE | NA WANAOTARAJIA WATOTO
Ukiachana na Zile Sarakasi | Mibinjuko ya 6 kwa 6 na Vilio vya Mahaba kutoka kwa Ma Mtu
Kikubwa Zaidi KinachoFanya Mwanamke Apate Ujauzito au Mimba ni BAO | SHAHAWA | MSHINDO
Mimba hutokea pale shahawa (mbegu za mwanaume) zenye ubora zinapokutana na...
Mwigulu endelea kulumbana na akina Mange huku nchi jirani zikijenga mahusiano na mataifa makubwa duniani na kuimarisha uchumi wa nchi zao.
==========
U.S Deputy Secretary of State, AFRICOM Commander Travel to East Africa
U.S. Deputy Secretary of State Christopher Landau, accompanied by...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema kuwa Tanzania ni tajiri ndio maana kuna miradi inaendelea kila kona ya nchi, hivyo watu...