mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Funga mwaka: Ukweli usemwe kuhusu mambo matatu yaliyomshinda Hayati Magufuli

    Habari zenu wana JF wenzangu. Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake. 1) Alishindwa kuwa mnafiki 2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu 3) Alishindwa kuwasujudia wazungu waliojifanya kutupa misaada mbali mbali ili aruhusu ndoa za jinsia moja...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Elimu siyo ngumu lakini mambo kama haya ndiyo yanaifanya iwe ngumu kwa watoto; Wizara ya Elimu, BAKITA boresheni

    Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu! Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa! Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa Marekani amtaja Mbosso kama mmoja ya msanii wake bora 2022

    Waziri wa Mambo ya Nje ya Marekani (U.S. Secretary of State) Blinken ameachia orodha ya ngoma alizozizimia kwa mwaka 2022 ambapo miongoni mwa ngoma hizo, ameitaja Yataniua yake Mbosso Khan akimshirikisha Diamond Platnumz aka Simba.
  4. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo kijana wa sasa unatakiwa kuwa makini nayo sana

    1. Epuka na ujitoe kabisa kutoka katika Kundi la watu wenye mitazamo hafifu juu ya maisha yao. 2. Acha kuwa king'ang'anizi kwa wale waliokutenga katika maisha yako. 3. Kuwa mtu wa haki na upendo hata kwa watu usiowajua. 4. Kuwa mtu wa heshima na upendo kwa kila mtu. 5. Kubali kuishi na watu...
  5. JamiiForums Tanzania Mambo 70 kuhusu Legend wa Soka Hayati Pelé

    Popote pale, muda wowote haiwezekani kutokea mjadala kuhusu nani ni mchezaji wa soka bora zaidi bila jina la Pele kutajwa. Mshambuliaji huyo wa Kibrazili amefanya alama yake kuwa mashine ya kufunga mabao ambayo ilitoa mambo muhimu sana, na kasi ya ushindi wa ajabu ambayo ilianzia katikati ya...
  6. JamiiForums Tanzania Uchawi wa Yanga huu hapa mambo hadharani.!

    Naaam heri ya sikukuu za Krismasi na Maandalizi ya Mwaka Mpya 2023. Achana na mambo ya kulilia jezi nyeusi leo nakupa uchawi wa Yanga walioufanya kwa takribani mwaka mmoja Uchawi namba moja. AZIZ K -baada ya kuisumbua Simba walipokutana na Asec Mimosas...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo ni uongo lakini yanajulikana ni kweli kwa wengi

    Anaandika Robert Heriel. Leo tutajadili ishu ya UONGO dhidi ya UKWELI. Katika Mantiki/Logic Ipo Hivi; Ukweli + Ukweli = Ukweli Ukweli + Uongo = Uongo Uongo + Uongo = Uongo Uongo + Uongo = Uongo Mara nyingi ukweli hujulikana zaidi kwenye matokeo/mwisho wa Jambo au muda. Ukweli huwaga hauna...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo maana halisi ya mwanaume ni kichwa cha familia

    HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo; i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo. ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Urusi yajisifia kutokua na desturi ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi za watu - je Ukraine sio nchi ya watu???

    Hawa jamaa sijui huvuta bangi ya aina gani, eti hawana historia au desturi ya kuingilia mambo ya nchi za watu, ilhali kule Ukraine wanaiba hadi ardhi..... Russia has said it is invariably committed to its principle of not interfering in the domestic affairs of other countries, including...
  10. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali iangalie namna ya wasanii wanaotaka kufikisha ujumbe kwa jamii watumie mambo yote ya imani yao na siyo imani nyingine

    Mimi kama mkristo wa imani ya kikatoliki ninaiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iangalie namna ambayo wasanii wa maigizo muziki nyimbo ngoma nk wanapotaka kufikisha ujumbe kwà jamii unaogusa imani basi watumie imani yao binafsi ili hata ujumbe huo UKIWA hasi basi viongozi wa dini...
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa na mahusiano ya kimapenzi siyo mambo ya lazima kutekelezwa

    Karibuni nyote wanachama wa jukwaa hili. Kuna mambo makuu mawili ambayo ningependa kuzungumza pamoja nanyi wanachama wa jukwaa hili yahusuyo Ndoa & Mahusiano ya kimapenzi. Jambo la msingi hasa ambalo ningependa kuligusia ni kuhusu ukosefu wa fikra mpya na zilizo bora ndani ya jamii kupelekea...
  12. JamiiForums Tanzania MSAADA: Ni kozi gani ya kusoma chuo ili kujua mambo ya graphics design na motion?

    Nahitaji kujua kozi inayohusiana na graphics designing na motion graphics chuon, ni course ipi naweza kwenda kuisoma kwa wanaofaham?!
  13. JamiiForums Tanzania Watu 'Powerful' 12 ni akina nani hadi waachiwe kuharibu Bonde la Ihefu?

    Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful! Kwa maoni yako endelea;
  14. JamiiForums Tanzania Kisimbuzi cha Azam kinajiamulia mambo kitakavyo, sikielewi kabisa

    Ukiizima kwa Remote baada ya muda unakuta imejiwasha. Sijui shida ni nini. Na ni mpya haijaharibika kitu. Nazima kila napomaliza kuangalia....lakini baada ya sekunde nakuta ipo On. Ukija kwenye remote nayo ina mauza uza sana. Unaweza ongeza sauti yenyewe ikabadili channel. Ukabonyeza Menu...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo Matano (5) ya kusisimua ambayo unatakiwa kuyafahamu kuelekea Fainali ya Kombe la Dunia hii leo

    Leo majira ya saa 12 jion kwa saa za Afrika Mashariki kutakua na tukio la kidunia pale Nchini Qatar. Mchezo wa leo utapigwa katika Dimba la Lusail. Match itakua baina ya Miamba ya Ulaya France dhidi ya Miamba ya Amerika kusini Argentina. Katika kuelekea Fainali hii yafuatayo ni mambo 5 Ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mambo usiyoyajua kuhusu ulimwengu wa kiroho

    Nina ushahidi tosha juu ya ulimwengu wa kiroho sana ila sasa ningependa kukushirikisha juu ya watoto wa kiroho na jinsi wanavyopatikana . Mara nyingi wanapatikana katika ndoto pale unapoota unazini au unafanya mapenzi huwa no kweli katika ulimwengu wa kiroho na unapata watoto kabisa niamini...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Ryoba: Serikali huwa inatumia teknolojia kudhibiti baadhi ya mambo

    Mkurungenzi wa TBC, Dr Ayuob Ryoba amesema nchi nyingi duniani hutumia teknolojia kudhibiti baadhi ya mambo. Amesema hayo akijibu hoja ya mmoja wa washiriki wa Kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari ambaye alihoji nini kilitokea 2020 Oktoba ambapo mitandao ya kijamii ilikuwa haipatikani...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapotaka kuwa nabii wa kizazi kipya

    Ninaposema nabii wa kizazi kipya namaanisha nabii ambaye amekuja kwa lengo lake mwenyewe, yaani hajatumwa. Sasa nini unatakiwa uwe navyo ili usichokwe haraka? 1. Sauti ngumu. 2. Kuwa mbunifu wa kutafuta majina mazuri ya ibada. Kila wiki unaleta jina jipya, mara ibada ya ukombozi, ibada ya...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Licha ya mambo mengine kuwa magumu kwako Rais Samia, basi tuondolee January Makamba tu!

    Staki nirudie mambo mengi tu ambayo kila leo yanasemwa na kuandikwa hapa jukwaani kuhusu ughali wa maisha n.k nadhani mh Rais ameamua kuyaacha ili kuandikwe historia nyingine mpya Katika nchi yetu, ambapo watanzania watakuwa kila wakikumbuka kuhusu hayo, basi linatajwa na jina la mh Rais wetu...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, nakushauri ufumue mfumo wa elimu kuanzia Awali, Msingi, Sekondari ndipo uanze mambo ya ajira za GPA

    Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu. Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini. Prof, hakikisha kila shule ya msingi ina madarasa 2 ya awali na walimu wa awali wenye uwezo wa kufundisha wanafunzi kwa lugha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…