mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mambo ya ajira online

    Aisee kwanza habari za asubui, niwapeni mikasa ya ili jambo la kuomba ajira mtandaoni. Kumbuka hapa siongelei ajira portal wala Taesa wala makampuni yenye kutangaza kazi. Naongelea ile mtu kapost kuna nafasi ya ajira ameweka namba umtafute labda whatsapp au sms. Jumlisha na wale wa kutoa...
  2. B

    Kesho Maandamano Alhamisi 1, mambo yataka hamasa

    Kesho ni siku ya kwanza kwa maandamano siku ya Alhamisi baada ya jumatatu iliyopita. Stamina ni muhimu katika mapambano. Kwani kusikia kwa kenge hadi damu masikioni: Stamina, yaani uwezo wa kuendelea kukomaa bila ya kukata tamaa inajengwa na uhamasishaji usiokoma. Jambo lolote haliwezi...
  3. Yale mambo ya zama za Magufuli zimerudi tena kwa kasi: Bora tumefungwa

    WanaCCM na wanasiasa walishaandaa mabango na Mapambio ya kupeleka Sifa na Utukufu kwa Mama... Ingesemwa, "TUNAMSHUKURU MAMA KWA USHINDI WA LEO...NA MILIONI KUMI TAYARI TUNAZO KIBINDONI...NANI KAMA MAMA...MAMA KAFANIKISHA.!" Alafu uwanja Ukarabati wa taa ovyo...WALIMU WANALIPISHWA FEDHA ZA...
  4. R

    Dunia ina mambo ya ajabu hii, nikisikia mtu kajiua sishangai kabisa

    Habari wadau, hebu waza hii kwanza umezaliwa kwenye familia ya nje na hio familia ya nje ina familia za nje mmmmh apo siongei sn jiongeze mwenyewe Halafu baba na mama yako na wao pia watoto wa nje ambazo zina familia za nje yaan ni maelezo tu hawa wameshare baba hawa wameshare mama...
  5. Tanzania kutoa misaada kwa nchi jirani ni kusimamia sera yake ya mambo ya nje

    Katika siku za karibuni tumeshuhudia Tanzania ikikabidhi "misaada" ya kibinadamu kwa nchi zilikumbwa na majanga ambazo ni Malawi ambayo ilikumbwa na kimbunga Freddy pamoja na Uturuki ambayo ilikumbwa na tetemeko kubwa la ardhi lililopelekea uharibifu mkubwa wa mali na mazingira. Nchini Malawi...
  6. Mwezi wa Ramadhani: Mambo 6 yanayobatilisha swaum yako

    (Ramadan Kareem 🌙) Na, JumaKilumbi. 1. KULA AU KUNYWA WAKATI WA FUNGA Kitu chochote iwe kinywaji au chakula kikipita ktk koo la mfungaji huhesabiwa amefungua swaum. Hii haihusishi vile vinavyoishia kwenye ulimi bila kupita na kuteremka kooni. 2. KUFANYA MAPENZI WAKATI WA FUNGA, NA KUSISIMKA...
  7. Mungu (Jehova), baba yetu aliyembinguni amekataza kuchora tatoo katika Mambo ya Walawi 19:28

    Hapo vip! Ilikuwa sijui kama tatoo Mungu mwenye amekataza katika kitabu cha mambo ya walawi 19:28"msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu:mimi ndimi Bwana" mwisho wa kunukuu. Amesema Bwamba mwenyewe. Kwa hiyo mtumishi...
  8. Ripoti nyingine ajali ya Precision yatoka, yaonesha mambo 8

    Ripoti ya pili ya ajali ya Ndege ya Precision Air imetoka na kubainisha mambo nane yaliyochangia ndege hiyo kuanguka katika Ziwa Victoria, Bukoba, Mkoa wa Kagera. Ndege hiyo ya Precision Air iliyotoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ilitokea Novemba 6, 2022 ambapo ilikuwa na watu 43 kati yao, 39...
  9. Mambo ya kuzingatia ukifikia nyumbani kwa mtu

    1. NJOO NA MAHITAJI YAKO MADOGO-DOGO Njoo na mswaki wako, sabuni yako ya kuogea na dawa yako ya meno, taulo na mahitaji yako mengine madogo-madogo. Kuna wageni wanaomba hadi nguo za...... kwa wenyeji ,sio vizuri. 2. USIFUNGUE FRIJI WALA MAKABATI Usifungue friji ya wenyeji au makabati bila...
  10. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  11. Waziri Jenista Mhagama Apongeza Miaka Miwili ya Rais Samia Madarakani

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Songea Vijijini Mhe. Jenista Mhagama amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023 Mhe...
  12. Sasa mambo shwari

    Habari wanajukwaa, poleni na heka heka za kusaka shekeli. Ndugu zangu na wanafamilia katika jukwaa hili nipende kuwashukuru Wote mlionitia moyo kufuatia changamoto ya Fangasi waliokuwa wananisumbua, Kuna ambao mlinifuata inbox kunipa ushauri mbalikiwe sana, na wengine waliniambia dawa mbali...
  13. Kwanini Rais Samia hayapi kipaumbele mambo ya msingi kama maji na umeme?

    Angalia huduma za Msingi kama umeme, maji nk ni kero tofauti ni mtangulizi wake. Hivi mnajua kwa Nini Magufuli anapendwa sana mtaani licha ya wizi wa kura au mauaji aliyoyafanya? Ni kama alikuwa anafanya vyote ili jamii kubwa ineemeke. Kipindi chake hakukuwa na matatizo ya umeme na maji kabisa...
  14. M

    Mambo yanayothibitisha ushamba wa Mwanaume mwenye miaka 30-45

    Kuna vitu ukivifanya au ukawa unaviongelea huwa vina proove ushamba wako na ulimbukeni, na kumbuka kila rika na umri una vitu vinavyopendwa kwa wakati huo, so ukifanya kinyume na hapo jua tu wanaokuzunguka wanakuona mshamba. 1. Kujisifu elimu au kazi yako, tunakula bia tumekaa tupumzishe...
  15. Wana-CCM wengi hawana uelewa wa mambo, hawawezi kujenga hoja

    Ukimaindi Poa! Kuna mijadala ya kipumbavu sana inayooendeshwa na wana CCM mitandaoni, kuna wakati unajiuliza, huyu aliyeandika hiki ana ni mzima kweli au yuko hospital? CCM mna mambo mengi ambayo mngeweza kuyaeleza kwa uongo unaoleta mantiki kidogo kuliko hizi siasa za kitoto za kum-quote Mbowe...
  16. D

    Nawatonya! Upinzani wataongea mambo ya ovyo kimkakati wa maridhiano na CCM kwa ahadi ya kurejeshewa majimbo yao 2025

    Hakika upinzani upo kimaslahi binafsi! Hakuna chama cha upinzani chenye nia ya kushika dola! Hata rais mbele ya bawacha alilisisitiza hilo, siyo kwamba alitania, ukweli ndiyo huo! Kelele za upinzani huwa ni za kutafta shibe hakuna chama hata kimoja chenye nia ya kushika dola kwa sasa! Katika...
  17. Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
  18. Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

    Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote. Kuna...
  19. L

    Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lafanyika

    Kongamano la Utimiaji wa Mambo ya Kisasa kwa Njia ya Kichina na Fursa kwa Afrika lililoandaliwa na Idara ya Asia na Afrika ya Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limefanyika kwa njia ya mtandao, na kuwashirikisha wahariri na wanahabari wa vyombo muhimu vya habari vya nchi za Afrika...
  20. Sudan Kusini: Rais Salva Kiir amfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje

    Mayiik Ayii Deng amefutwa kazi kupitia tangazo lilitolewa kupitia Runinga ya Taifa bila kuwepo kwa taarifa zaidi za sababu ya kuondolewa kwake. Waziri huyo ni mtu wa karibu wa Rais Kiir na amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais. Kiir amechukua uamuzi huo ikiwa ni Wiki moja tangu amfute kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…