mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na baadaye kutenguliwa akiwa waziri wa mambo ya nje ya nchi kupumzika siasa 2025, kujipanga na uongozi wa juu 2030

    "Ni uamuzi mgumu sana kisiasa, lakini ni wa kimkakati zaidi" Mnyetishaji alidokeza bila kufafanua zaidi kipindi hicho cha mapumziko nini kitakua kinaendelea 🐒 Je, kwa mustakabali wa siasa za Tanzania, unadhani huu ni uamuzi muafaka na sahihi kwa mwanasiasa huyo?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Mwanaume Achana na Mambo ya Kupima DNA, kikubwa Shukuru Mkeo Kazaa Binadamu

    Ndugu zangu Watanzania, Haya ni Maneno ya Hekima ya Mheshimiwa Albert Chalamila,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam.ambaye amepata bahati kubwa sana ya kuongoza takribani majiji matatu Makubwa hapa nchini, yaani Jiji la Mbeya,Mwanza na Sasa Jiji la Dar es salaam. Kumbuka pia ameongoza hata mkoa wa...
  3. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo yananiumiza na yaliyowahi niumiza sana

    Wakuu kwema. Ni jpil njema sana na ya neema kubwa. Mambo haya yamenitokea na kuniumiza sana. 1. Niligombanishwa na baba yangu mpaka leo hatuelewan na alisema alishani delete mbaya zaidi walioleta yote hayo ni shangazi zangu na mama wa kufikia na baadhi ya ndugu kikubwa ni wivu maana kidogo mzee...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kiroho!! Roho ni nini?

    Wahubiri wa imani ya Kikristo, ni muhimu kutoa maelezo fasaha mnapozungumzia masuala ya ulimwengu wa roho. Mara nyingi, unamsikia mhubiri akisema, "Naona katika ulimwengu wa roho..." lakini ni vema tukajiuliza, roho ni nini? Je, ninyi pia mmekaririshwa tu kwamba roho siyo kitu chenye asili ya...
  5. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje wabongo mnapenda kulazimisha mambo?

    Hatuwezi kufanana kwa kila hatua,maamuzi au michakato inakuwaje tunaforce mtu apende kitu ambacho unakipenda wewe? Tunaishi katika ulimwengu wa kibepari kila mtu amepatiwa uhuru sawa wa mawazo,maamuzi na machaguo,tabia ya kulazimisha ilishapitwa zama zake. Nimemaliza
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Yanga Ngao ya Hisani jana

    1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid. Yanga kama kawaida yao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine utayaelewa siku ukiwa muhusika, kwa sasa utaona kama vile hawajui kutumia vizuri nafasi zao

    Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au ikawa sio kama uonavyo ukiwa sio muhusika. Kuna watu wakikusimulia utaona kama vile wanakutisha hivi...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA msipotoshe umma. Aliyebakwa yupo salama. Msitumie mitandao ya jamii kupotosha mambo. Mnaitumia vibaya X

  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tanzania Police Force: Muwe na subira upelelezi unaendelea. Msipost mambo kwa mhemuko

  10. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Jiepushe na haya mambo kwa gharama yoyote hakuna faida utapata.

    Simba na yanga Ccm na chadema . Mke wa MTU na mme wa MTU . Kupiga mtungo na kupiga mende Hayo mambo yameaua focus za watu hapa Tanzania.✊🏿
  11. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo ya uhakika katika niliyojifunza katika ulimwengu wa roho

    KARMA - kuhusu karma hiii inafanya kazi kwa 100% jinsi unavyowaombea WATU mema hayo mema na wewe lazima uyapate Unaposaidia watu in positive way lazima na wewe uneemeke ikiwa sio wewe watoto wako. Kusaidia ni njia namba moja inayoleta MAFANIKIO kuna watu huwa hawaishiwi wala familia zao...
  12. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Kiimani hayo

    Yaani inawezekana kabisa unampiga vita kiboko ya wachawi halafu unamuunga mkono Martha Mwaipaja kwa kiwango cha 100%
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa Ally Kamwe kwahusishwa na mambo ya ushirikina mkubwa sana ulioanza kutokea ndani ya idara hivi karibuni

    Hizi tetesi tu, inasemekana mauza uza yamekuwa mengi ndani ya club siku chache zilizopita. Njiwa wamekuwa wakionekana ndani ya ofisi ya idara japo madirisha na milango imefungwa. Bundi, na wakati mwingine kuku imechinjwa halafu inakutwa ndani ya meza ya Ally pamoja na madawa ya kishirikina
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya internet imeyumba na kukwamisha mambo mengi Duniani leo Ijumaa Julai 19, 2024

    A major technology outage grounded flights, hampered public transit systems and disrupted operations at banks and hospitals around the globe Friday in an incident a cybersecurity firm blamed on a faulty system update. CrowdStrike, a U.S. firm that advertises being used by over half of Fortune...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni ya SGR

    Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
  16. contask

    JamiiForums Tanzania Upuuzaji wa mambo muhimu na ujinga ni chanzo cha matatizo

    Upuuzi na ujinga ni chanzo cha matatizo Habari wakuu, Tuende moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi kwamba ujinga ni chanzo cha matatizo. Watu wengi katika jamii zetu tumekua ni watu wa kupuuzia mambo madogo madogo ambayo mwishowe yanakuja kutugharimu katika maisha yetu binafsi pia familia na...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi

    Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja 1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi. 2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha...
  18. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Mambo moto

    Kenya kumechangamka
  19. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Leo nimaabudu kwenye Kanisa la Wasabato Mwenge, nitaendelea kukosoa panapoenda mrama, nitaunga mkono palipo vema, lengo kuweka mambo sawa

    UPDATES: Huduma ya kuwaombea Wajane Wagane na WaleaPweke inaendelea kufanyika muda huu Wadau hamjamboni nyote? Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu kwenye Kanisa la Wasabato hapa Mwenge Dar es Salaam. Pamoja na kukosoa mara kadhaa baadhi ya "...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nampenda Rais Samia siiungi mkono CCM na mambo yake

    Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako...
Back
Top Bottom