mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo yanatafakarisha sana haya. Nawaza Nawaza Nawaza tena. CAF

    Wanafiki wa siasa eti wanasema Game is won on the stadium 🏟? Wakati kwenye siasa game is not won by voters but who count the voters votes πŸ€” Hongereni sana Morocco Pia soma Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco
  2. JamiiForums Tanzania Media na kukosa uaminifu ni mambo mawili yanayowapoteza kirahisi vijana wanaoibuka kimafanikio

    Ninaandika uzi baada ya kusoma habari mitandaoni inayosema kuwa kijana Dominik mmiliki wa room of jeans kuwadanganya wateja wake kuwa watauziwa suruali Tsh 5000 ila walipofika akawapa bei tofauti ambayo ni kubwa zaidi. Hii mimi naona haijakaa sawa. Dominik kateleza. Uongo wa aina hii kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya tatizo la kushindwa kubana mkojo

    Habari za uzima wana JF! Mpenzi wangu amepata changamoto ya kiafya hivi karibuni. Hawezi kubana mkojo hata kwa dakika moja, ile feeling ya kukojoa ikifika mkojo unatoka wenyewe tu, hawezi kuuzuia. Hii changamoto ni nini, na inaweza kutatuliwa vp?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wale tunaopenda mambo ya geo politics, vita, siasa za kimataifa tuanze kuweka mizigo tunufaike na pesa, tusiishie kulumbana tu humu

    Wale tunaopenda mambo ya geopolitics, vita, na siasa za kimataifa, hebu tufikirie hatua inayofuata. Mara nyingi humu tunakesha kujadiliana, kubishana na kuchambua matukio ya dunia kuanzia migogoro ya kimataifa hadi mikakati ya mataifa makubwa. Ukweli ni kwamba kuna watu wengi humu wana uelewa...
  5. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo ambayo yamevumbuliwa au kuanzishwa na watu wenye asili ya kiyahudi

    Makampuni na Teknolojia Google – Sergey Brin, Larry Page Facebook / Meta – Mark Zuckerberg WhatsApp – Jan Koum, Brian Acton Intel – Andy Grove, Robert Noyce Oracle – Larry Ellison Dropbox – Drew Houston Snapchat – Bobby Murphy PayPal – Peter Thiel Palantir Technologies – Alex Karp WeWork –...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Nanauka akabidhi Sh Bilioni 7 Mwanza kwa Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvI

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, Machi 7, 2026 amezindua program ya Jenga Kesho iliyobora (BBT) upande wa uvuvi kwa kuwakabidhi hundi yenye thamani ya Bilioni 7 Vijana 308 wanaojishughulisha na Mambo ya uvuvi ili iwawezeshe kimitaji hafla iliyofanyika...
  8. JamiiForums Tanzania Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii

    Mambo 8 yatakayo kufanya mwanaume kuwa na mafanikio na nguvu katika jamii 1.Kumshirikisha Mungu kwenye mipango yako, Unapomuweka Mungu wa kwanza kwenye kila mipango unayofanya unajipa nafasi ya kufanikiwa na kuwa imara, Mungu atakufanya ufanye maamuzi sahihi, atakupa watu sahihi na pia kupata...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo haya yamenifanya nione Dunia imefika Mwisho

    MAMBO HAYA YAMENIFANYA NIONE DUNIA IMEFIKA MWISHO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Wengi wetu tunajua hakuna Jambo au kitu kisicho na mwisho. 2. Hata Dunia tunayoiishi inamwisho wake. Kisayansi na kidini. 3. Sasa kwenye Dini tunaambiwa Kiyama(mwisho wa dunia) kutakuwa na hekaheka na...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna mambo yanayoendelea duniani yanaweza kuwaathiri watu hata kama hayafanyiki kwenye nchi yao moja kwa moja.

    Sijiui wenzangu ila mimi na kuwa muhanga sana. Kipindi cha ugaidi kimetufanya wasafiri kunyimwa viza sana. Ilipokuja kuanguka kwa uchumi wa dunia sehemu niliyokuwa nafanya kazi ofisi walifunga. Ilipokuja ugonjwa wa COVID-19,biashara nyingi zilishindikana kutokana na mipaka. Ilipoingia vita...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Khamenei mzima yuko kwenye medani anaongoza Vita.

    Anasema Viongozi wote wa Nchi mpaka mda huu wako salama na Ayatollah Alli Khamenei anaongoza vikosi katika uwanja wa vita.
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa single mother

    Kwenye sheria hazitumiki hisia, kinachoangaliwa ni kile kilichoandikwa kwenye vitabu. Hivyo maamuzi yoyote utakayofanya hata kama ni kwa nia nzuri lazima ujue kuna consequences zake. Kumbuka kwenye sheria hauwezi kujitetea kwa kusema "nilikua sijui" Yafuatayo ni mambo ya muhimu kuyajua...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zingatia mambo haya kabla ya kukopa

    Kabla ya kuchukua mkopo, lazima utathmini uwezo wako wa kulipa, uelewe gharama ya jumla (riba na ada), uangalie alama yako ya mkopo, na uhakikishe una lengo wazi la fedha hizo.. Vitendo muhimu ni pamoja na kuunda bajeti kali kwa malipo ya kila mwezi, kulinganisha wakopeshaji wengi, na kuchunguza...
  14. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa kuwa hamna akili msiwe wabishi. Kila kukicha wanaharakati wenu wajinga wanazusha mambo halafu mnataka serikali itoe majibu

    Hakuna serikali ya kijinga namna hiyo. Mange Kimambi anazusha Mafwele kabakwa halafu anasema serikali ikanushe na Mafwele ajitokeze. Kigogo 2014 anazusha Rais kafa, mnafurahi na kujifariji. Mkiona kimya anatokea Lema na Maria Sarungi mjaa laana wanasema serikali iseme Rais yuko wapi. Anatokea...
  15. JamiiForums Tanzania 7 mistakes to avoid when God starts blessing you

    7 MISTAKES TO AVOID WHEN GOD STARTS BLESSING YOU πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ When God begins to bless a person, the real test is not poverty anymore… the real test becomes how you handle abundance. Many people prayed for elevation, but few are prepared for what comes after it. Because blessings can open doors β€”...
  16. JamiiForums Tanzania Mambo ya ajabu yanayotokea Kanda ya Ziwa tu

    Kanda ya ziwa ni moja ya kanda ya ajabu kuwahi kuwepo kwenye nchi hii leo humu jukwaani kuna mdau amelalamikiwa jinsi ambapo TFS kanda ya ziwa inavyowanyanyasa na kutowajali kwa mambo haya kanda ya ziwa ni kawaida sana aisee Kanda ya ziwa ni kanda ambapo mauaji ya Albino na vikongwe...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo lilianza baada ya wanaCCM mtandao kudhania wakimuondoa hayati JPM watafanikisha mambo yao. Hali imewageukia vibaya na wanatawala kwa tabu

    Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka. Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mengi kuhusu hema la kuabudia kupitia wimbo huu kutoka kwa Mch Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/t8GR0scaBDU?si=WSSQno-FJC9qGszB
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Si uungwana kuzungumzia mambo ya uzinzi mbele ya Mke wa rafiki yako

    Kuna ushamba fulani hivi wanaume huwa wanaufanya ambapo kimsingi si uungwana na ustarabu hata siku Moja. Jamaa mmoja tulisoma wote chuo kikuu Sasa juzijuzi kapata ajira katika mji ambapo Mimi nafanya kazi. Sasa aliponiambia amepata anakuja kuripoti nikamwambia afikie kwangu Cha ajabu Sasa jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…