mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Mpenzi hanihusishi mambo yake

    Juzi nimempigia simu aje tusherehekee pamoja mwaka mpya amegoma mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti, cha ajabu Leo anasema yupo kwenye basi nakuja najiuliza kwa nini aje ghafla au kuna kitu nyuma ya pazia
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la dini ni waumini wake kujikita kwenye mambo mepesi na kuacha mazito yanayogusa binadamu wenzao

    Ukifuatilia waumini wa dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu utagundua huwa wanajikita au wanajielekeza katika mambo mepesi zaidi huku wakiwa hawatilii mkazo yale mazito ambayo yangeboresha maisha ya watu wanaowazunguka. Mfano katika dini ya Ukristo kuna kitu kinaitwa Golden rule/ sheria ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo ukifanya watu hawatasita kukuua. Bila kujali Sheria zipo au hazipo, Mungu yupo au hayupo

    NASISITIZA, MAMBO AMBAYO UKIFANYA WATU HAWATASITA KUKUUA. BILA KUJALI SHERIA ZIPO AU HAZIPO, MUNGU YUPO AU HAYUPO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Kuua ni ukatili, kuua sio HAKI. Oooh! Kuua ni Kwa nchi zisizoendelea! Ndugu zangu usije ukajidanganya Wala kudanganywa. Wala usije...
  4. JamiiForums Tanzania Misingi minne ya maisha unajituma na Lipi ?

    Mada yangu ni ujuzi wa mapenzi na maarifa Mengine.. 4 fundamental of life i. Money and Power ii. Sex iii. Food and drink iv. Umaarufu (fame) Haya yote manne yanahitaji uchakalikaji sana na kujituma ili kuyatawala. ............ Ni Mungu humpa kila mmoja ufundi katika jambo husika, au kupata...
  5. JamiiForums Tanzania Moderator safi sana, Futeni kabisa nyuzi za ngono na uwasherati, Nyeto, na mambo yote yanayoamsha hisia.

    Kwa hili nawapongeza sana JF, Tena ingieni kabisa kwenye database zenu futeni kabisa mambo ya kula tunda kimasihara. Swali kidogo; Hivi Miss world na world most sexiest woman nani mzuri kusema ukweli ? Nawasilisha.
  6. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi yaliyowasukuma Lisu na Mbowe kuwania Uenyekiti Taifa wa CHADEMA

    Great Thinkers, Nimerejea hotuba za wagombea wawili wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, Haya ndiyo mambo ya msingi ambayo kila mgombea ameyatabainisha kama sababu zilizomsukuma kuwania nafasi hiyo. Kwa ambao ni wapambe ama wapiga kampeni wa kambi hizi, mnaweza kuja na uchambuzi wenu iwapo...
  7. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani ya kujiandaa pindi mwanamke anapotaka kujifungua?

    Habari za Muda huu wadau, Ukiachana na Mambo ama elimu tunayofundishwa Kliniki pindi umempeleka mwenzi wako Siku ya kwanza kliniki. Kama Kuandaa vitu vya kujifungulia, kanga, Mpira, Nguo za mtoto, Pesa za kujifungulia na usafiri. N.k. Ni mambo gani mengine ya muhimu ambayo unatakiwa kujiandaa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mambo manne ambayo yanaonesha uwezekano wa Mzee kibao kwamba alitekwa na wasiojulikana kwa kushirikiana na CHADEMA

    1.Nchimbi alimsafisha Mbowe mapema sana https://youtube.com/shorts/VuTy8LLhe4s?si=PHahPqXk2sRY40B_ 2.Mzee kibao hakuwa mtu wa mitandaoni na msemaji sana kama tulivyoona kwa watekwaji wengine 3.Kauli ya Tundu lissu kuwa alikuwa na ushahidi wa Rushwa ya Abdul 4.Historia za matukio ya nyuma ya...
  9. JamiiForums Tanzania Unahisi ni mambo gani ukiachana nayo 2025 unaweza kufikia malengo yako?

    Hi Great Thinkers. Hii dunia imejaa distractions amabazo sometimes zinaweza kukupotezea malengo y'ako. Sasa Kwa wale wanaojitafuta na hustlers unazani ni vitu vipi vimekupotezea malengo.yako miaka iliyopita na unahisi.ukiachana navyo unaweza kusonga mbele Zaidí. 2025.na kuendelea. Baadhi ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mambo kwa ushahidi: Nimeshampa baby wangu Anita hela ya sikukuu

    Ni Mimi David Omujuni rekwanzila mjukuu wa kanyaitodi Tukogee ebu hatari ola ita NIWATAKIE CHRISTMAS NJEMA AND HAPPY NEW YEAR
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yatakayofanya uitwe mshamba

    Habari za muda huu, tena. Leo nitaongelea na hili pia. Nina uzoefu mkubwa mno wa kuwa karibu na Watanzania wa hadhi mbali mbali, hivyo mengi nimeyaona na kuyafahamu. Kwa Tanzania, hususani DSM(ingawa mpaka mikoani hii naona inaelekea), watu wanaishi kwa makundi na wengi hufanya vitu vya...
  12. JamiiForums Tanzania Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

    Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha. Nilimbishia ila kwa kauli ya Aliyekuwa Rais wetu JK kuwa watanzania wengine hatujitumi kama wachaga naona kama yule...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kwa wanaoenda kusalimia ndugu mikoani nyakati hizi za Sikukuu

    Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kama ilivyokuwa desturi ya Watanzania wengi kwenda kusalimia ndugu na jamaa mikoani. Inawapasa kufahamu mambo gani ya kuzingatia zaidi katika safari zako za kwenda kusalimia. 1. Tengeneza bajeti ya safari ikijumuisha gharama za usafiri, chakula, zawadi...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika mazungumzo hayo yaliyojikita katika masuala mbalimbali ya maboresho katika Tasnia ya Diplomasia...
  15. JamiiForums Tanzania Georgia : Kobakhidze kuwapa tuzo watumishi wizara ya mambo ya ndani waliowekewa vikwazo na Western countries

    Waziri Mkuu wa Georgia, Irakli Kobakhidze, atangaza kwamba maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ambao hivi karibuni wamewekewa vikwazo na Marekani na Uingereza, watapewa tuzo ya heshima ijulikanayo kama Order of Honor. Uamuzi huu, uliohakikishwa wakati wa mkutano wa waandishi wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo ambayo Freeman Mbowe ameshindwa kuyasimamia

    1. Uchaguzi wa serikali za mitaa 2019. Katika uchaguzi huu, Wagombea wote wa CHADEMA walienguliwa. Freeman Mbowe hakuongoza mapambano ya kufa na kupona ili kupigania haki( Mfumo ulimpa chake, akakaa kimya) 2. Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Mfumo wote wa uchaguzi uliharibiwa. Freeman Mbowe...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo gani umejifunza 2024?

    Happy holidays people and long time...i missed you Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2024 ni mambo gani umejifunza through out the year? Binafsi mwaka huu nina mengi ya kusimulia kwa hawa the so called "MARAFIKI" nitaandika makubwa mawili tu ili kuokoa muda KWANZA,nimejifunza kwamba urafiki...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

    Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ...... Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana...
  19. JamiiForums Tanzania Swala la Elimu bado serikali inatania kwenye baadhi ya mambo

    Haiwezekani mtaala umeboreshwa na hekaheka kibao zimefanyika halafu leo majestically wanafunzi wote wanachaguliwa shule yao ileile ya katani kwao whereas waliambiwa kabisa hapo kabla kwamba kutakuwa na mkondo wa jumla na mkondo wa amali na shule za mkondo wa amali zikaainishwa watoto wakachagua
  20. JamiiForums Tanzania Wewe Mbosso haya mambo yako ndiyo yalisababisha bwana Marioo alifuta verse zako kwenye nyimbo zake mbili

    Bwana kilungi a.k.a Mbosso khan naona kashashindikana huyu jamaa na nasema hivi kwa sababu kollabo zote anaua Naona Mpaka muda huu wa kuokoa jahazi ni bwana na MR. bombaclaaaT a k.a konde boy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…