mambo ya nje

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Mulamula?

    Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu mambo vizuri? 1. Je, ni ile kadhia ya mama kupandishwa school bus kwenye mazishi ya malkia? 2. Je...
  2. Richard

    JamiiForums Tanzania Uingereza kuwa na Mawaziri watatu wenye asili ya Afrika ambao wataongoza Wizara nyeti za nchi hiyo, Fedha, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani

    Waziri mkuu mpya wa Uingereza bi Liz Truss jioni hii ameanza kuunda baraza lake la mawaziri na bwana Kwasi Kwateng ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha huku bwana James Cleverly akichukua nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje. Bi Suela Braverman ameteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kuchukua nafasi...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje, Dkt. Stergomena awasili Msumbiji katika ziara ya siku 4

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewasili Maputo Nchini Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku nne (4), ambapo amepokelewa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Cristovao Chume kabla ya kutembelea maeneo mbalimbali ya...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Afrika kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi

    Ujumbe ulikuwa hivi, unajua nyie waafrica yaani sisi kwamba tuna Tabia ya kimalayamalaya hivi hatuwezi tukawa na msimamo wa kusimama na mmoja ndio maana tulibaki mabubu kwenye kura kule UN, kwa hiyo tutumie rasili Mali zetu, tuachane na Tabia hiyo ili tusiwe tegemezi mfano alisema nyie mnaweza...
  5. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Misri: Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi aanza ziara ya Afrika

    Leo yupo Egypt anena kwamba Afrika tujitambue tuweze kumaliza ukoloni mamboleo. ====== Egypt: Russian Foreign Minister Visits Cairo at Start of African Tour Sergei Lavrov The trip aims to ease Russia's diplomatic isolation amid the war on Ukraine. Lavrov was also meeting the secretary...
  6. Enkaly

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Hungary: Ulaya inajichanganya yenyewe kwenye nishati ya gesi

    Hungary imetuma wanadiplomasia wake Moscow kujadili masuala ya gasi na kukutana na mwenzie wa Urusi Sergei Lavlov. Hungarian Foreign Minister: Europe contradicts itself on gas Hungary's top diplomat visits Moscow to negotiate gas supplies despite EU bid to cut deliveries By Euronews with AFP...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya EU vyakwamisha ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi nchini Serbia

    Wizara ya Mambo ya Nje nchini humo, imethibitisha kuahirishwa kwa ziara ya Waziri Sergei Lavrov nchini Serbia kwa sababu ya majirani watatu wa Serbia (Bulgaria, Macedonia na Montenegro) kuzuia ndege yake kutumia anga yao. Serbia inadaiwa bado kuwa na mahusiano mazuri na Urusi licha ya nchi...
  8. meningitis

    JamiiForums Tanzania Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Habari za Kazi wana JamiiForums, Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa. Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alikutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu Bibi Michelle Bachelet mjini Guangzhou, China. Wang Yi amemkaribisha Bachelet kwa ziara yake ya kwanza nchini China, akisema hii ni mara ya kwanza kwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje China: “Mkakati wa Indo Pasifiki” wa Marekani utashindwa tu

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema mpango wa Marekani uitwao “Mkakati wa Indo Pasifiki” utashindwa tu, kwani unasababisha jumuiya ya kimataifa kuwa na wasiwasi mkubwa na kuwa macho, hasa katika eneo la Asia-Pasifiki. Bw. Wang ameyasema hayo kwa wanahabari baada ya mkutano wake na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nani kamziba mdomo Waziri wa Mambo ya Nje Mulamula, kulingana na kauli ya ahadi aliyotoa mwenyewe kuhusu uraia pacha?

    Nimesema siku zote huwa siwaamini wanasiasa. NI mara chache sana mwanasiasa ataongea kitu nimwamini, na siku zote wanasiasa wenyewe wananipa sababu za kusimama katika msimamo wangu wa kutowaamini. Generaly speaking, wanasiasa ni watu waongo. Sasa leo sintasema mengi, bali nitwakumbusha tu...
  12. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ni nini wajibu wa Mabalozi wa Nchi na Waziri wa Mambo ya Nje?

    Kwa sasa nchi inapitia kwenye wakati mgumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, mfumuko wa bei na milipuko ya magonjwa. Kiongozi mkuu wa nchi kila mara yuko nje ya ofisi. America, Zanzibar, Uganda nk. Je, kazi za mabalozi ni zipi? Je, safari hizo zina tija kwa taifa?
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Marekani: Waziri wa Mambo ya Nje akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Vipimo vimeonesha kuwa Antony Blinken ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutwa na maambukizi ya Ugonjwa wa COVID-19, ametakiwa kufanya kazi kwa njia ya mtandao. Licha ya maambukizi hayo, Waziri huyo alipata chanjo mara mbili na nyongeza ya kujikinga na ugonjwa huo. Msemaji wa...
  14. Palestine Will be free

    JamiiForums Tanzania "Fikiria kwamba Ukraine ni Palestina" Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi atoa Ushauri wa Kejeli

    "Fikiria kwamba Ukraine ni Palestina."Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi atoa ushauri wa kejeli kwa wale wanaokataa shambulio la kijeshi dhidi ya nchi yake
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Nje: Vita ya Ukraine isituingize mkenge

    Sasa hivi mawaziri wa EU (Umoja wa Ulaya) na hata maofisa wa Marekani na Uingereza, wanazunguka Afrika na Asia nzima ili mataifa ya Magharibi na NATO wapate sapoti. Nchi za magharibi wanasahau mchango mkubwa wa Urusi vita ya Ukombozi kusini mwa Afrika. Vita ya Ukraine na Urusi haituhusu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje hajafanya jambo jipya, anafanya majukumu yaleyale. Tunahitaji ubunifu

    Kwa wale ambao wamekuwa wakitembelea Balozi zetu nje watabaini wazi kwamba muundo wa kiutumishi kwenye balozi zetu zote Duniani umejengwa kidiplomasia na tafsiri ya watendaji wa Wizara ni kwamba ukihudumu Wizara ya Mambo ya Nje basi wewe ni mwanadiplomasia na hivyo unaweza kuisaidia nchi kama...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya nje wa China afanya ziara ya mwanzo wa mwaka barani Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi anafanya ziara yake ya kwanza ya kidiplomasia barani Afrika mwaka huu, ziara ambayo imekuwa ni desturi kwa waziri wa mambo ya nje wa China kwa miaka 32. Ziara hii inafanyika ikiwa ni sehemu za mpango wa muda mrefu wa China wa kuimarisha uhusiano wa...
  18. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Japhari Kubecha, Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM: Wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa diplomasia

    Mjumbe wa Kamati Kuu taifa CCM, Ndugu Japhari Kubecha amesema wakati wa awamu ya tano tulikuwa na Waziri wa mambo ya nje asiye na uzoefu wa mambo ya diplomasia ndio maana alishindwa kumshauri Rais kufanya maamuzi sahihi na kupelekea mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine kuwa dhaifu. Amesema...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteue Tundu Lissu kuwa Waziri wa mambo ya nje & ushirikiano wa kimataifa

    Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa & ujasiri wa kukabiliana na mtawala katili kuliko wote kwenye historian ya Tz
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kupata Visa ya kuja Tanzania ni kazi kweli kweli, Uhamiaji na Mambo ya Nje mnamkwamisha Rais

    Nimepata taarifa kwa rafiki yangu mmoja kwamba yeye na wenzake walipanga Tanzania lakini wanatakiwa kulipia Visa, baada ya kufungua mtandao wa Uhamiaji wanashindwa kupata huduma kila wakifanya kuomba wanapata error na muda wao wa likizo unakatika. Mimi mwenyewe nimejaribu kufuatalia nimekwama...
Back
Top Bottom