mambo ya nje

  1. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani. Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  3. JABALI LA KARNE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

    Namsikiliza mama Waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila Wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za Wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno. SOURCE TBC 1 SIKU...
  4. mmh

    JamiiForums Tanzania Anachoongea Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania-Mulamula

    Huyu Waziri anaongea live now Channel Ten, yaani anachoongea sikutegemea kuongelewa na Waziri anaongea kama BAVICHA purely. Anaponda sana awamu iliyopita sijui ilikua inakwepa mataifa mengine sijui ilikua na matatizo na EU mpaka Mabunge yao yakawa yanaongeleka. Yaani full kumponda marehemu...
  5. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Je, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa sio jambo la muungano? Nini kinaendelea Zanzibar?

    Wanasema mzaha mzaha hutumbua usaha, kwa mujibu wa katiba yetu, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ni jambo la muungano, hii ni pamoja na misaada pamoja na mikopo kutoka nje ya nchi. (Katiba ya JMT ibara ya 4 nyongeza ya kwanza) Lakini tangu awamu ya sita ya rais wetu Samia Suluhu ishike...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Rais Samia afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia Afrika

    Rais Samia leo amekuwa na mazungumzo na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi.
  7. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kanali Dkt. Moses Mlula afariki dunia kwa ugonjwa wa Covid 19 nchini India

    This comes in the backdrop of reports of growing number of infection within the diplomatic community in the capital. A Tanzanian official based here has become the first foreign diplomat to die of COVID-19 pandemic. The High Commission of Tanzania has announced that Col. Dr. Moses Beatus Mlula...
  8. mngony

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe?

    Wakuu kama ilivyokuwa kwa Kinana, Balozi Membe hajaonekana kwenye matukio makubwa ya kitaifa kuanzia msiba wa Hayati mpaka shughuli za kitaifa zilizofuatia Yuko wapi? Kama sikosei muda mchache kabla ya uchaguzi alienda zake Dubai na sina kumbukumbu kama alirudi tena nchini. Nadhani hisia zake...
  9. Informer

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Buhohela: Hatuna taarifa rasmi kuwa Uingereza ilipiga marufuku wasafiri kutoka nchini Tanzania kuingia nchini humo

    Mkurugenzi wa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje, Emmanuel Buhohela, amesema wao hawana taarifa rasmi kwamba Uingereza imepiga marufuku wasafiri kutoka nchini Tanzania kuingia nchini humo na kueleza kuwa hayo ni mambo ya mitandaoni na wao hawayafuatilii. Chanzo cha Taarifa: EastAfricaTV...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mambo ya Nje wa Zimbabwe amefariki kutokana na maradhi ya COVID

  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Masuala ya kigeni Ethiopia auawa na Jeshi

    Jeshi la Ethiopia limetangaza kwamba limemuua waziri wa zamani wa mambo ya nje Seyoum Mesfin, mmoja wa wanachama waanzilishi wa chama Tigray People’s Liberation Front (TPLF). Bw.Seyum, ambaye alihudumu kama waziri wa mambo ya nje wa kutoka mwaka 1991 hadi 2010, aliuawa pamoja na wanachama...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

    Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo. Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi. Chanzo: Eatv...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

    Kama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa kwenye hiyo wizara kutokana na matamshi yake juu ya wabunge wa Bunge la Ulaya. Kama ambavyo sitaki...
  14. Securelens

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji kukutana na M/kiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya Bunge la EU kutoa ufafanuzi dhidi ya taarifa za upotoshaji

    Katika taarifa ya habari ya Channel 10 ya usiku wa jana tarehe 20 Novemba 2020, Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Mwakilishi wa Tanzania kwenye Umoja wa Ulaya Mhe Jestas Abuok Nyamanga ameeleza kuwa siku ya tarehe 19 Nov alimwandikia barua Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje ya...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
  16. Mystery

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa mapema wa Prof. Kabudi, kama Waziri wa Mambo ya Nje ni kujiaandaa kwa ajili ya kesi iliyofunguliwa huko ICC?

    Nimeshangazwa sana na hatua ya Rais Magufuli kuteua mawaziri wawili pekee na kudai kuwa uteuzi wa wizara nyingine utafuata baadaye. Tulishuhudia katika kipindi chake cha awamu ya kwanza, akimaliza karibu miezi miwili bila kuteua waziri yeyote! Sasa nimekuwa nikijiuliza, kulikoni safari hii...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Armenia - Azerbaijan Military and Political Turmoil: Wizara ya Mambo ya Nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio katika nchi hizo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio Armenia pamoja na Azerbaijan? Kuna mapigano makubwa ya kijeshi yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo leo baina ya nchi hizo mbili...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri na Wizara ya Mambo ya Nje wanashindwa majukumu yao: tit fot tat na Kenya

    Yanayoendelea katika mahusiano kati ya Kenya na Tanzania kwa sasa hivi hanasikitisha. Kenya ni jirani yetu na jirani ni ndugu. Hivyo basi, matukio matatu ya haraka haraka yaliyotokea yanatushangaza. Kwanza ndege ya ujumbe wa Kenya ili rudi au kurudishwa Nairobi hivi majuzi. Ndege hii ilikuwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ashutumu kushambuliwa kwa Mbowe, ataka uhuru wa siasa

    Msiyemtaka kaja yule naibu waziri wa mambo ya nje wa USA anayeshughulika Africa bwana TiBOR ambaye profesa wa majalalani kipindi fulani alienda kubembeleza na kulilia msaada ka strike again, anataka uhuru wa kufanya kazi za kisiasa jambo amabalo ni gumu kwa CCM mpya maana uwanja ukiwekwa sawa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Rais amenituma kuwashukuru Watanzania kwa maombi, asema ameuona mkono wa Bwana

    May 24, 2020 Dar es Salaam, Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi amesema ametumwa na Mh. Rais John Magufuli kuwashukuru waTanzania wote kwa maombi yao kipindi hiki cha janga la corona. Prof. Palamagamba Kabudi akisoma ujumbe wa Rais unaosema alipoamua kutofunga nyumba za ibada wala kuifunga...
Back
Top Bottom