Habari ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 24 naelekea 25 Nina kipato changu kizuri naitaji kuoa
Huku Jamii Forum Kuna wasomi na watu makini
Je, ni vitu gani vya kuzingatia kwa mwanamke wakatiwa kuoa nisije kukusoea
Ndoa yangu Inshallah Mwezi wa 5
Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo:
1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY
Kama...
Mambo ya Kuzingatia Ili Kupata Leseni ya Biashara ya saloon
Ikiwa unatoa huduma za saloon ya kike au ya kiume, kupata leseni ya biashara ni wajibu kisheria. Leseni hii ndiyo kibali rasmi kinachokuwezesha kutoa huduma zako kwa uaminifu, bila usumbufu wa kufungiwa au kulipa faini. Hapa chini...
Nimepata fursa ya kufanya interview kwenye kampuni ya utalii kutoka Egypt
Kupitia zoom meeting
Sasa jamaa wamenitumia email kuwa saa kumi na moja kamili niwe onair
Nizingatie mambo Gani?
Wakiniuliza experience mana KAZI ni mambo ya utalii wakati Mimi ni mtalaamu wa sayansi ya jamii...
Je unahitaji kuchimba kisima cha maji safi na salama cha kutoboa mwamba mambo yafuatayo ni ya kuzingatia kabla hujachimba
✅jambo la kwanza fanya geophysical survey survey kubaini eneo lako lina maji na yako umbali gani kutoka uso wa dunia sababu gharama ya kuchimba kisima ni kwa mita moja kila...
WanaJF nawasalimu kwa heshima na taadhima.
Katika zama hizi za biashara ya kidigitali na mitandao, wengi wetu tumekuwa tukivutiwa na fursa ya kuagiza bidhaa moja kwa moja kutoka nje ya nchi ili kupanua biashara au kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi. Mojawapo ya majukwaa maarufu duniani...
1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume.
Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex.
Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
Je, unahitaji huduma ya kitaalamu kuhusu mambo ya kodi?
Tunaelewa changamoto zinazoweza kutokea zinazohusu aina mbalimbali za kodi na jinsi inavyoweza kuathiri biashara yako.
Tunatoa huduma za ushauri kuhusu:
1.Ufanisi katika Kulipa Kodi: Kupata njia bora za kulipa kodi kwa kufuata sheria na...
Endapo Umeamua kwenda kulewa pombe pamoja na Malaya uliemchagua , jitahidi Sana:-
1. Usiende kulewa na Malaya maeneo ambayo Ni jirani na kwako au sehemu unakofahamika Sana.
2. Hakikisha umekula umeshiba na unywe maziwa fresh ya kutosha kabla ujaenda kulewa na malaya. Inasaidia kupunguza Kasi...
Karibu tuelimishane mambo kadhaa muhimu kabla ya kufanya ujenzi
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UJENZI
NOTE: Kufuata taratibu za kitaalamu katika UJENZI kunaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi mpaka 15% pamoja na kukuepushia hasara inayoweza kutokea mbeleni, sambamba na kukupatia kitu...
Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kama ilivyokuwa desturi ya Watanzania wengi kwenda kusalimia ndugu na jamaa mikoani. Inawapasa kufahamu mambo gani ya kuzingatia zaidi katika safari zako za kwenda kusalimia.
1. Tengeneza bajeti ya safari ikijumuisha gharama za usafiri, chakula, zawadi...
Unapotumia simu au kompyuta, kuna mambo kadhaa ya kuzingatia ili kuhakikisha usalama, afya, na ufanisi:
1. Usalama wa Mtandaoni:
- Tumia nywila (password) ngumu na salama.
- Epuka kubonyeza viungo vya kutatanisha au kutoka kwa vyanzo visivyoaminika.
- Hakikisha kompyuta au simu ina...
Unaponunua kompyuta, kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha unapata kifaa kinachokidhi mahitaji yako. Hapa ni mambo machache ya msingi:
1. Matumizi yako: Fahamu unataka kutumia kompyuta kwa nini (mfano: kazi za kawaida, michezo, kubuni, au uhariri wa video). Hii itaamua sifa gani ni...
Wakuu humu kuna watu wa aina mbalimbali ambao wana ujuzi wa mambo tofauti tofauti. Una yapi ya kumwambia kijana ambae anataka kununua kiwanja? Mambo gani azingatie ili asije akajuta huko mbeleni?
Habari za wakati huu...
Natumai wote ni wazima wa afya..
Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa...
Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi)
AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
Habari za wakati huu...
Natumai wote ni wazima wa afya..
Wale ambao afya inashida kidogo Inshaallah mwenyezi atafanya wepesi tutakuwa sawa...
Leo nataka tukumbushane kuhusu kununua eneo au mali ambayo ni ya marehemu(mirathi)
AWALI YA YOTE NIENDELEE KUWAKUMBUSHA KUHUSIANA NA BIASHARA YA KULENGA...
Habari zenu ndugu zangu.
Katika harakati za kujipambania kutafuta ajira na kulingana na kasi ya teknolojia ya dunia inavoenda, kuna mambo muhimu sana ya kuzingatia kabla ya kusubmit application yako ya kazi
1. ATS-CV
Huu ni mfumo wa uchakataji wagombea (Applicant Tracking System) ambao...
Afisa mikopo anashughulika na kuwapa watu mikopo,hivyo na sisi tunaopokea mikopo hiyo tunayo haki ya kujiita AFISA MADENI.
madeni ni katika sababu ya maendeleo kwani moja ya sababu ni kuwa WANAOKUDAI HUKUOMBEA UTOBOE ILI UWALIPE MADENI YAO,na Mungu mara nyingi hujibu dua hizo.
usikope kwa...
Kitu nilichojifunza kwenye kufungua kesi.
No.1 Hakikisha wewe mwenyewe una ushaidi ulioshiba bila kutegemea watu.
No.2 Usiokote mawakili wa barabarani, tafuta mawakili kupitia watu wako wa karibu na pia usimtumie mwanasheria ambaye ana njaa ni rahisi kununulika akakufelisha.
No.3 Ni ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.