Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.
Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
Mwaka huu 2025 Mama Samia atapita tu kwenye uchaguzi, si kwa sababu watu wanampenda sana – la hasha – bali ni kwa sababu mambo yalivyokaa tu.
Chadema walishajichimbia kaburi mapema na ka-ideology kao ka “No Reform No Election”. Hiyo hoja ina uzito, lakini ukweli ni kwamba huwezi kuzuia uchaguzi...
Na ndio maana mkutano mkuu maalumu wa CCM pale makao makuu Dodoma mapema mwaka huu2025, uliamua, ukaridhia na kuidhinisha mabadiliko ya katiba ya CCM bila tatizo lolote na vile vile mkutano mkuu huo huo wa CCM taifa, ukajadili, ukaamua, ukaridhia mapendekezo ya wajumbe wa mkutano mkuu huo wa...
Badala ya kuongelea mabadiliko ya katiba kuongelea tamaduni ambazo ndizo zimeleta umasikini
Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini mkubwa nchini. Watanzania wanataka maendeleo na mabadiliko ya katiba
Nimeamua kuvaa viatu vya mama Samia. Suppose aliyoyaandika huyu jamaa ni ya kweli. Unafikiri Mama Samia atafanya nini kwa Watanzania hawa ambao Mbowe alifilisiwa wakawa kimya, Lissu alipigwa risasi wakawa kimya, Mbowe akapewa kesi ya ugaidi kimya, Lissu kesi ya uhaini kimya, CEO nae kaondoka...
Kwa nini? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.
Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.
NYERERE - Siasa ya ujamaa na kujitegemea (falsafa mama).
MWINYI - Ruksa.
MKAPA - Ukweli na uwazi.
KIKWETE - Ari mpya...
Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k
Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake.
Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua...
Kwa speed ya uongea, mass mobilization, maneno ya kejeli na Karaha, kujenga hoja n.k namfananisha Lissu na Trump.
Mama Samia nae ongea yake, nafasi yake ya VP, gender,chama chake kuwa chama tawala n.k namfananisha na Kamala Harris
Huko Marekani Democrats nao hawakuwa na mchakato wa nomination...
Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18.
Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya mwanaume mwenye umri wa mialka 18+ na msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18,hata kama msichana huyo...
Najaribu kufuatilia kwa ukaribu sana uongozi wa Raisi mama Samia na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.
Uchumi umekua wana Jamii forum, na alichokifanya ni uwekezaji tu kwenye:
1. Agriculture
2. Mining and Quarrying
3. Construction
4. Manufacturing
Tokea ameingia madarakani nimekua nafuatilia...
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.
Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya...
Japo wengi wenu hamuamini juu ya Unabii, lakini Unabii ni really na Manabii wa kweli wapo.
Sasa kama wewe ni Mchungaji, Padre ama Mwijilisti na huamini kwenye Unabii sio tatizo letu.
Mungu huwafunulia Watumishi wake juu ya mambo mbalimbali yatayotokea, na Mungu anapomfunulia Mtumishi wake, sio...
Suala la barua kwa kanisa la Gwajima kuhusu kufungiwa alafu mamlaka husika kuingia mitini bila kujibu ni kama mamlaka ya mama samia inapima upepo.
Sasa sisi msimamo ni ule ule tunapinga vikali utekaji na mauwaji na hatukubali kanisa lifungiwe kwa kukemea mauwaji hayo, kitendo hiko cha kufungia...
Kiwanja kizuri kipo 𝖩𝗂𝗋𝖺𝗇𝗂 na bahari Chenye UKUBWA wa sqm za mraba 1000 kina hati miliki kutoka wizara ya Ardhi KINAUZWA kwa shilingi 450 Milion MAONGEZI YAPO jamani huku ni Pazuri sana BARABARA zote ni lami mpaka baharini wamejenga vigogo wengi wa serikali na kuhakikishia ukifika hauchomoki ...
Mpaka sasa sijaelewa diplomasia ya serikali ya Mama Samia imejikita kwenye nini hasa! Uchumi, usalama au nini?
Kwa majirani zetu wa Kenya na Uganda tumeshaharibu hivyo hivyo hatuko vizuri sana na Congo na Rwanda.
Cha ajabu kwangu leo ni kwamba wakati Marekani na EU wakilalamikia hali ya mambo...
Watoto wa 2000 wamezidi utukutu, muda mwingine huwa najiuliza hawa vijana ni watanzania kweli ama wakenya?
Yaani mwana IT unasogeza kompyuta mpakato mapajani, unaselect picha ama video ya Mama Samia na kuigeuza kuwa ya ovyo, mara mama anapigana na Rais wa Korea, mara mama anaogelea kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.