mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhafidhina07

    Rais Samia Suluhu Salamu zako kwa bodaboda

    Habari!! Ndugu zangu katika Mipaka hii ya jamhuri ya muungano mimi ni mwananchi mwenzenu ambaye ni mkazi wa jiji la dar es salaam ila heka heka zangu zinanipeleka muda mwengine visiwani na baadhi ya mikoa na kwasasa nimerudi tena dar es salaam. Uwepo wangu katika jiji la Dar es salaam kwa hivi...
  2. S

    Naomba mama Samia atende haki. Kumtumbua Gekul unaibu waziri na kumuacha huyu waziri haipendezi

    Gekul ametumbuliwa unaibu waziri baada ya kutenda yasiyofaa katk jamii. Ni sawa. Vipi huyu anayetukana watu hovyo kama mlevi? Ni sawa kuendelea kukikalia kiti cha uwaziri au aondolewe? Waziri ni kioo cha rais. Sasa kama kila siku waziri anatukana hovyo mitandaoni tafsiri yake ni kwamba...
  3. Mhafidhina07

    Ukumbusho kwa Mama Samia kuwa kuendelea kupata Urais 2025 inahitaji akili mbovu.

    Tunajua Ndani ya chama cha Mapinduzi CCM kunatofauti nyingi mno zinazotokana na uchu wa madaraka,makundi mengi yanazuka kulingana na nani ananipa nini pia nitapata nini? unazani kwa mtu kama Samia Suluhu afanye kitu gani ili kudhibiti mwendendo huu mbaya ambao unatishia kukiangusha chama cha...
  4. Stuxnet

    Janga la Hanang: Mama Samia ni Comforter in Chief wa Kiukweli

    Namsikiliza Rais Samia akijiandaa kupokea misaada ya waathirika wa mafuriko ya Hanang. Kwa namna anavyoongea, kweli yeye ni "Comforter in Chief". Yule mwendazake kwenye tukio la earthquake ya Kagera alisema "Serikali haikuleta tetemeko" na kisha akala fedha za waathirika wa tetemeko.
  5. S

    Chawa wa mama: Namshukuru mama Samia kwa tope la Hanang

    Kuna msemo ya kiswahili usemao "kuchamba kwingi......" Sasa hata sifa zikizidi hupelekea dhihaka. Mwaka 2016 kitovu cha kupatwa kwa mwezi dunia nzima kilikuwa mkoani Njombe eneo la Wanging'ombe. Wageni mbalimbali toka pande zote za dunia walikwenda Njombe ili kuona tukio la kupatwa kwa jua na...
  6. benzemah

    Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  7. badison

    Rais Samia nakuomba umuondoe Mzee Kikwete kwenye nafasi ya Chancellor wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Sio kwa ubaya wala chuki na Rais Mstaafu Kikwete hapana mimi nakupenda na heshima yako ipo pale pale. Lakini Mkuu naomba uachie hiyo nafasi kwani wewe sio mtu sahihi kushika cheo kama hicho. Toka umeteuliwa hiyo nafasi mkuu kila mtu alijua kuwa UDSM inaenda kufa na kweli chuo chetu pendwa ndiyo...
  8. Jidu La Mabambasi

    President Samia for 2025!

    Kuna watu wanajipigia mahesabu kugombea 2025. Mama Samia bado ndiye best option kuendelea urais. Stability ya kiuchumi iliyopo tusiiyumbishe, Issues zilizokuwepo bado mama amezimudu. Kina Mwigulu, January, Mpina na hata wale wanaoenda kimyakimya kama simba mawindoni, muachieni mama Samia...
  9. Jidu La Mabambasi

    Kurekebisha mkataba wa DP World, hongera Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan Nikiwa mmoja wa members wa JF nilyepinga sana mkataba wa awali kati ya nchi yetu na DP World, nachukua nafasi hii kumpongeza Mama Samia. Pongezi zangu zinazingatia vipengele kadhaa: - Watanzania wengi tunapenda uwekezaji na nchi iweze kuvutia mitaji toka kote duniani...
  10. Mhafidhina07

    Ni lini Rais Samia atafanya ziara za kushtukiza?

    Every good deed should be hold and preserved. Licha kujinasabu kuwa hakuna tofauti kati yake na aliyetangulia ila bado sijaona jambo zuri kama ziara za kushtukiza. Hayati Magufuli alishuhudia uozo mwingi katika baadhi ya ofisi pia ilichangia moral na heshima kwa watendaj but now days...
  11. Hae Mosu

    Kilio kwenu mama samia na waziri mkuu majaliwa

    Salaam! Sisi baadhi ya wakazi wa mtaa wa Kimanilwentemi kata ya Bugogwa WILAYA ya Ilemela Tuna tatizo ambalo tunahisi Kuna harufu ya rushwa. Iko hivi, Kuna shule ya serikali imejengwa hapa mtaani inaitwa shule ya SEKONDARI IGOGWE. Eneo la shule hii ni dogo na ilionekana kuwa inapaswa eneo...
  12. M

    Iwapo mwaka ujao Sheikh Ponda akisema kama Waislam tumeamua kumpigia kura Rais Samia

    Katika uchaguzi uliopita Sheikh Ponda allibukia kuiunga mkono CHADEMA na akatoa kuwa 'WAISLAM TUMEKUBALIANA KURA ZOTE ZA URAIS TUTAMPIGIA TUNDU LISSU'. Kauli hii iliungwa mkono kwa kiasi kikubwa na Waislam isipokuwa Bakwata ambao mkakati wao wamejiegemeza zaidi kwa CCM. Bahati mbaya kwa...
  13. M

    Waziri Ummy, Kitengo cha Magonjwa ya Akili Hospitali ya Taifa Muhimbili dawa zinauzwa bei ghali kulinganisha na maeneo mengine

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga. Kitengo cha magonjwa ya akili wanauzia wagonjwa dawa kwa Bei ya juu sana Nina mgonjwa wangu huwa nampeleka kuchua dawa hapo, mwezi uliopita nilinunua dawa kwa shilingi 11,000 juzi nilienda mhimbili naambiwa dawa 54,000, na ni dawa hizo yaani carbamazipine...
  14. Kabende Msakila

    Tabora, Kigoma na Burundi - tupaze sauti kwa Mama Samia - tupate Barabara ya Mambali (Tabora) kuja Kakonko (Kigoma)

    Salaam! Tukipata barabara mpya ya Kakonko hadi Mambali (Uyui) tutaokoa muda wa kusafiri, fedha na uhovu. Kwa kuwa tunapozungukia Kahama - Nzega - Tabora tunasafiri zaidi ya 400kms. Lkn pia tunapozungukia uvinza to Tabora tunasafiri takribani 413kms. Endapo Mama Samia atakubali na kusikia...
  15. masopakyindi

    Mfanyabiashara kuongoza Shirika la Umma Rais Samia unaenda kusiko

    Nilipigwa butwaa, kama si kushangaa, mama Samia akiongea na wateule wa mashirika na nafasi mbali mbali za kiuongozi. Lililonishangaza, eti yule mpendwa wetu Maharage Chande, alipoenguliwa TANESCO na kupelekwa TTCL, "ikagundulika"(mind you baada ya uteuzi) kuwa ana biashara yake inayo gongana...
  16. FaizaFoxy

    Falsafa ya R 4 za Rais Samia inakupa Mtanzania uhuru wako wa kweli

    Toka nilipoanza kuzisoma na kuzifanyia tafiti zangu binafsi R 4 za mama Samia nimeona na nnaendelea kuona kuwa R 4 za mama Samia zimelenga kumpa uhuru wa kweli kila mmoja wetu kivyake na siyo uhuru wa kukusanywa kikundi na kujazwa ujinga na "viongozi". Tatizo kubwa na la kipekee la Watanzania...
  17. Mwande na Mndewa

    Hongera Mama Samia kwa kuvunja genge la Wapigaji, Maharagwe ya January na chemba ya Yakobo

    Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo, Kwa mara nyingine Mama...
  18. U

    Rais Samia weka maDED kutoka taasis zilizofanya vema usimamizi wa Miradi

    Kumekuwa na shida ya kupata MADED waliokuwa na uwezo wa kusimamia Halmashauri hasa upande wa Miradi ambako Fedha zimekuwa zikichotwa hovyo, hii ni kutokana na MADED wengi wamekuwa wakiteuliwa kutoka LUMUMBA, wengi wao wakiwa ni makada na hawana taaluma au uzoefu wa kuendesha ofisi hasa katika...
  19. Alwaz

    Nashukuru mama Samia amenisikia.

    Nchi ina wizara na idara nyingi sana.Pamoja na umuhimu wa kila moja lakini kuna idara tatu ni muhimu zaidi katika kuitawala nchi.Hizo hizo ndizo zinazotumiwa na wapinzania wanapotaka kumletea matatizo mtawala aliyepo madarakani. Idara hizo ni maji,nishati hasa umeme na chakula ikiwemo sukari...
Back
Top Bottom