mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia hata hongo za wazi za Matrafic zimekushinda?

    Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾‍♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni. Sasa serikali ikisema inapigana na rushwa rushwa gani hasa. Ni nani kafugwa kwa miaka yote ya...
  2. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Damas Ndumbaro: Mama Samia Legal Aid imewafikia wananchi zaidi ya milioni mbili

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mpaka sasa imefika katika mikoa 23, ambapo imesikiliza na kutatua kero na changamoto za Wananchi ambapo mpaka sasa takribani wananchi milioni mbili, laki moja na tisini na mbili, mia tatu...
  3. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wangu watano bora serikali ya Mama Samia

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja. 1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana. 2. Innocent Bashungwa huyu ni kiraka anafit wizara yoyote utakayompa he's very Giniasi 3. Dotto...
  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasikitisha: Rais Samia kasahau nchi anafikira chaguzi tu kwasasa?

    Nitawapa mambo mawili muhimu Afya: Pamopja na tatizo kubwa ya mfuko wa bima wa taifa sasa kuna watanzania zaidi ya 1.5M wenye virusi vya ukimwi ambao walikuwa wanategemea USAID. Raisi Trump wa USA kafuta hili shirika na kuzuia pesa. Sasa mpaka leo kama Raisi hajaongea lolote na hakuna mpango...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mama Samia umepiga bull: Kamishna wa Ardhi cheo cha rushwa kubwa.

    Mama Samia sasa anaenda kukata mzizi wa fitna kstika rushwa zinazotokana na Ardhi. Kamishna wa Ardhi na Idara yake nxima inalalamikiwa sana katika suala la rushwa ilinkuhudumiwa kupata uhalali wa Ardhi. Wafanyakazi chini ya Idara hii wana ukiritimba wa kutisha, ili kutengeneza mazingiraya...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Karia Akiendelea Hivi, Yanga hatumpi Kura Mama Samia

    Karia Sasa ameshajiona ni Rais wa nchi, na kwamba yeye na bodi yake ya Ligi IPO juu y Kanuni. Sisi wanayanga hatutakubali na Ugomvi wetu na karia ,ambaye anataka kutuonea ,tutauhamishia CCM Kwa Mama Samia. Karia Akiendelea na Jeuri yake ya Kutuonea Yanga basi Ajue kabisa hakuna mwana yanga...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Kusaga: Mwaka 2025, Mama ndiye Rais wetu

    Wakuu Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema "Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mama Samia amegundua kosa kubwa chaguzi za 2024

    Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa ya nchi kwa sasa. Kitendo cha Mama Samia kuanza kumkasirikia mkwe wake Mchengerwa tena baada ya...
  9. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Matukio yanayonipa maswali baada ya kuona mkesha wa kumsubiri mama Samia kuzindua mradi wa maji Mwanga

    Leo nipo mwanga nimepita jirani na uwanja wa Msuya nimeona shamrashamra SIO za kawaida, mji mdogo lakini Leo kumekua Hadi na foleni, wageni ñaona NI wengi sana. Nachojiulza nimekutana na vibinti vidogo Sana Yani kama wanafunzi hivi wametolewa Wilaya za jirani Moshi na same kuja kwenye MKESHA...
  10. Barakoa 001

    JamiiForums Tanzania Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Vazi bora la mwanamke ni kama lile alilovaa bikra Maria analovaa mama Samia

    Inajulikana mama aliyetakasika,bikra Maria ambaye ni mama yake Yesu alayhi sallaam alivaa kwa heshima sana na mapokezi ya mavazi yake yaliyotufikia kwa njia ya mchoro inamuonesha hivyo. Masista wa kikatoliki wanajaribu sana kumuiga mama yetu huyo.Waislamu daima wametambua hilo na kuendelea...
  12. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Marais wote wenye uchungu na nchi zao huwa wabahili kwenye matumizi mabovu, mfano Trump na late Magufuli, Rais Samia jifunze ubahili

    Habari wadau Nazani wote tunaona Trump anachofanya. Trump mwenyewe ni tajiri kweli kweli kuanzia yeye mwenyewe, ukoo wao na mpaka familia yao wote ni matajiri kweli kweli. Pia Trump anaongoza Taifa tajiri kweli kweli. USA ni taifa tajiri sana. Pamoja na utajiri wote huo bado Trump ni...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia kuwa makini na watu wa protokali- wanakudanganya

    Najua kuna watu wengi pamoja na mimi binafsi tunamshangaa huyu Mama kubadilika sana kuanzia 2021. Sababu moja wapo inawezekana ikawa watu wake wa protokali ambao wanajiona sasa wenyewe ndiyo wana mlisha habari na kuzuia habari zisifike kwake. Kitendo cha waziri wa elimu kulalamikia kwamba watu...
  14. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Mama Samia, Mungu Akubariki Sana...

    Wakuu Leo Sipo Kisiasa Hata Kidogo, Japo Bado Ntamzungumzia Samia Kama Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania. Kwanza Mama, Mungu Akubariki Sana. Katika Vitu Hua Napenda Kuona Kwenye Maisha Yetu Ya Kawaida Basi Ni Hawa Viongozi Wetu Wa Juu Kujichanganya Na Sisi Hata Mara Chache Na Kupata...
  15. dorge

    JamiiForums Tanzania Mh. Jumaa aweso hapo ulipo "Unamuangusha mama Samia"

    Ndugu jamaa na marafiki wa Mh Jumaa. Huyu kijana wenu anamuangusha Rais, maji hakuna. Sio kwa walala hoi tu hata wanyama hawapati maji. Ndh Aweso unamuangusha huyu mama yetu. Imagine watu wanatajabhata majina ya mitaa yao. Kimya . Hakuna ufumbuzi
  16. B

    JamiiForums Tanzania RC HOMERA KUONGOZA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA- MBEYA

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria. Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameahidi kujenga Msikiti wa Kisasa Vigwaza/Migude wenye hadhi ya Rais. Sheikh Walid ampigia debe urais 2025

    Rais Samia ameahidi kujenga msikiti wa kisasa wenye hadhi ya Rais katika Kitongoji cha Migude, Kijiji cha Milo, Kata ya Vigwaza Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Walid Alhad Omary wakati alipotembelea msikiti huo ambao hali yake...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wauza michele SIDO - Mbeya hatujapata Mkopo wa Mama Samia mwaka na zaidi sasa kisa uongozi wa Soko

    Mwaka jana miezi kama hii walitutembelea maofisa wa bank ya CRDB tawi la Livingston na kutushauri kutuongezea mtaji kwa kutupa mikopo, sisi wafanyabiashara wa hali ya chini tulichangamkia fursa kwa kwenda bank kufungua account na kupata fomu za mkopo huo ulioitwa mkopo wa Mama Samia Matokeo...
  19. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Raisi Wangu Mama Samia Nikumbuke Kwenye Ufalme wako

    Kwa jinisi raisi wangu Mama Samia Suluhu Hassan anavomwaga ajira kwa graduates imenibidi namimi mgonga ulimbo nizidishe maombi kwake awe na afya njema. Maana naona mwanga wa kulamba ajira ndani ya muhula wake wa kiuongozi. Aisee marafiki zangu wa karibu wengi wameitwa kazini bado mimi tu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ikumbuke kata ya Ijuganyondo iliyopo Manispaa ya Bukoba Mjini, inakosa huduma muhimu za kijamii

    Mh Rais ikumbuke kata ya IJUGANYONDO iliyopo Manispaa ya BUKOBA MJINI maana kata hiyo Ina changamoto nyingi sana. Yaani huduma za kijamii hazipo katika kata hiyo.
Back
Top Bottom