mama samia

Maggie Gobran or Mama Maggie, a Coptic Orthodox, is the founder and CEO of the non-profit charity Stephen's Children in Cairo, Egypt. She was also professor of computer science at the American University in Cairo, is married and has a son and a daughter. She was nominated for the 2012 Nobel Peace Prize.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Tatizo letu Watanzania tupo Low Key kwenye ishu za Maana; High key kwenye upuuzi. Mama Samia pandisha Key

    WATANZANIA WENGI NI LOW KEY KWENYE ISHU ZA MSINGI; HIGH KEY KWENYE UPUUZI. RAIS PANDISHA KEY Kwa Mkono wa, Robert Heriel Nimefurahishwa kwa kiasi kikubwa na mwanzo mzuri Rais, Mhe Samia Suluhu. Uongozi wa Samia Suluhu unahitaji watu High Key ambao wanajitambua, wanaakili, macho ya kuona...
  2. Roving Journalist

    Rais Samia Suluhu ahutubia Mabunge ya Kenya: Biashara kushamiri, Vikwazo Mipakani kutatuliwa, Udugu kudumishwa

    Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo. ======= Rais Samia Suluhu Hassan Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na la Kitaifa Nchini Kenya - Tanzania tuna Bunge moja. Kwangu, ndio mara ya kwanza...
  3. Jidu La Mabambasi

    Diplomatic Offensive: Hongera Mama Samia!

    Mama Samia ana set the pace! Sasa ni mashambulizi ya kidiplomasia ili kurudisha na kuendeleža uhusiano mzuri na biashara na nchi za jirani. Tayari Mama Samia katika Uganda na sasa Kenya. Huu ni mwanzo mzuri. Matokeo ya hizi moves tutaziona baada ya mwaka.
  4. MK254

    Rais Samia nia yako ni njema lakini hao unaowaongoza akili zao wanazijua wenyewe

    Nimekua napitia nyuzi za Watanzania tangu ujio wa Mama Samia jana hapa nchini Kenya, hamna hata uzi mmoja unaojadili au kudadavua huu ujio kitaalam, kwa minajili ya kuelewa dhamira ya mama kwenye jitihada zake za kuifanya Tanzania iamke tena. Kila Mtanzania analalamika tu, watu wameingiwa na...
Back
Top Bottom