Chama cha Madereva wa Malori Tanzania, (TATAMATA) kimetoa siku mbili kwa Serikali kushirikiana nao kumtafuta aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Godlove Materu , la sivyo madereva wote wa chama hicho hawatafanya kazi kuanzia Februari 10, 2026 mpaka apatikane.
Kwa mujibu wa viongozi wa chama...
Husika na kichwa hapo juu,
Mimi ni dereva wa mabasi ya abiria Mkoa wa Rukwa. Nimeshindwa ku-renew leseni yangu kutokana na kukosa cheti cha PSV C PLAIN.
Hivyo, nilipata taarifa kuwa Chuo cha VETA Mpanda kimekuja Rukwa kutoa mafunzo ya udereva wa Public Service Vehicles (PSV) na Heavy Duty...
Anonymous
Thread
mabasi
madereva
madereva wa mabasi
malori
masomo
rto
rukwa
matairi ya malori yapo brand mbalimbali
kuna size zote na brand zetu ni
semes/ aurunze/ sky base/oben na gft
pia kuna paten ya diff/mixer/high way/ na nyinginezo
na tunauza kwa bei ya jumla na rejareja tupo tazara opposite na sigara
jengo la five star complex
tell:0691254107
Wakuu kwa wiki kadhaa sasa mitandaoni kumeenea habari za madereva hasa wa Tanzania na Zambia kupata matatizo nchini Congo. Kuna hadi ambao wamepoteza maisha. Kimsingi dereva akiingia tu Congo usalama unakuwa mashakani. Huko kuna vikundi vya kihalifu vinavyopora malori.
Je, nini kifanyike...
Kiumbe mmoja, aliwasomba maelfu ya waTanganyika kwenye malori waende kujaza kampeni zake , akawapa baiskeli mikweche , kanga na kofia kedekede ikiwa ni pamoja nakuwapikia wali na maharage.
Akatapakaza picha zenye sura yake nchi nzima ,akakamata na kufunga wapinzani wote jela , ili kujisafishia...
Watajwa hapo juu nikero eneo la Kigamboni hasa mida ya asubuhi na jioni, wanapaki Malori yao barabarani na kua kero kwa watumiaji wengine wa barabara. Licha ya mkuu wa mkoa kulizungumzia mwezi uliopita lakini bado hali haijabadilika.
Tunafahamu wapo waliochangia chama, lakini tunaomba mamlaka...
Iwapo Urusi na China ndio marafiki wa damu damu damu imekuwaje Urusi ambayo iko chini ya Vikwazo iyakate malori ya kichina? Wanadai hayana ubora, je hapa kwetu tunaoyatumia magari yao tunaweza kukubaliana na madai ya Urusi?
https://www.youtube.com/watch?v=ze_0PmOuzM0&t=179s
Mkuu wa mkoa wa Pwani bwana Abubakar Kunenge kwenye mkutano na waandishi wa habari amebainisha kuwa mnamo tarehe 31 July Rais Samia atawaongoza watanzania kuzindua mradi mwingine wa kimkakati wa bandari kavu ya Kwala.
Mradi huo ni wa aina yake kwani unatarajiwa kupunguza foleni jijini Dares...
Wasalam,
Utaratibu mbovu na kukosa utaratibu kwa hizi ICD (Inland Container Depot) waswahili tunaita bandari kavu kunapelekea foleni kwa sisi tunaotoka na kuingia Kigamboni kupitia Daraja la Nyerere.
Majira ya asubuhi kwa hii wiki yote, tumeanza kupata changamoto mpya hasa tunaotumia barabara...
Wakuu ipo hivi
Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti)
KAZI ya vishoka
Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu.
Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa kufanya hivi.
Nataka kutafuta laki Tano, nimpe dereva wa Lori ili aniweke kama tingo kwa muda hata...
Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa malori, mengi yakiwa made in china.
Kila barabara mpaka zile za mitaani ambazo alizijenga Magufuli...
Mabasi na malori yanatumika sana kubeba watu toka maeneo tofauti na kuwapeleka mahali ambapo mikutano ya CCM inafanyika.
TABOA na TATOA nao watoe tamko la kuzuia mabasi na malori yao kubeba watu kwenye mikutano ya siasa.
Hili pia likifanyika, CCM pamoja na kuwa ni chama tawala watakuwa wapweke...
CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anapokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kama Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya.
Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani...
Ukiachana na mambo ya ujinga, ila pia Umasikini wa Wabongo ni nguzo muhimu sana ya CCM hasa huko kanda ya ziwa.Saaa changabya ujinga na Umasikini ni balaaa au Changanganya kukosa elimu Dunia na Umasikini, huo muunganiko ni balaa.
Katika moja ya maeneo ambayo elimu hata ya Uraia ni zero basi ni...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini imeanza rasmi zoezi la ukaguzi wa ubora wa malori yanaingia bandarini kwa ajili ya kushusha na kupakia mizigo inayopita katika Bandari ya Dar es Salaaam.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye bandari...
Sasa hivi Israel inapiga chochote kinachotumika kurusha au kusafirisha mizinga maana imepiga maeneo yote rasmi ambayo hutumika kurusha mizinga, Iran imesalia kutumia malori ya kawaida.....
The Israel Air Force targeted several trucks carrying weapons, including trucks transporting...
⛑️TANGAZO MAALUM KUTOKA UMATIDO⛑️
(Umoja wa Madereva Tipa Dodoma)
🚛 Unamiliki Lori la TIPA?
Unataka lori lako lipate kazi za uhakika, lisimamiwe kwa uadilifu, na kukuingizia kipato bila usumbufu?
⚠️ USIKOSE FURSA HII!
Chama cha UMATIDO kinakaribisha wamiliki wote wa magari ya TIPA kujiunga...
Wakuu...naomba kujua taasisi/kampuni ambayo inakopesha malori (Malori ya kichina) kwa mfumo wa Asset Finance.
Yaani unakopa Lori (kwenye kadi kunakuwa na majina mawili, la mmiliki na anayeshikilia gari) baada ya marejesho kuisha nabadili kadi na inakuwa ya Jina langu.
Je kuna kampuni /taasisi...
Habari za mchana.
Natafuta mtu anayemiliki au mwenye connection na malori makubwa ya kusafirisha bidhaa. Lori za mafuta na bidhaa mbalimbali. Malipo ni mazuri.
Vigezo:
Kuanzia tani 30 na kuendelea.
Nicheki 0683535699
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.