malisa gj

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nabii Mashimo amtaja Malisa GJ kama mrithi wa Paul Makonda

    Huko kwenye viunga vya Instagram tayari Mchungaji wa taifa na nabii komandoo Mashimo ametamka wazi kwamba kijana na kada wa CHADEMA, kamanda Malisa GJ kuwa mrithi wa RC mstaafu Baba Keagan. Mimi kama mwanafunzi wa shule ya uongozi chini ya mwalimu mkuu Komredi POLEPOLE nimefurahishwa na tamko...
  2. BAK

    JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  3. BENARD SEMEN

    JamiiForums Tanzania SoC01 "Ni kheri kufa kuliko kuishi": Sauti ya msomi wa Tanzania

    ''NI KHERI KUFA KULIKO KUISHI‘’ SAUTI YA MSOMI WA TANZANIA Anaanza kwa kusema, .....Sitaisahau pindi nipo kidato cha pili, ni ngumu kuisahau siku ya jumatatu ya tarehe 6 ule mwezi wa pili mwaka 2006,ikiwa ni majira ya saa tatu asubuhi nilikua darasani najisomea, ghafla Mwalimu Mkuu aliingia...
  4. BAK

    JamiiForums Tanzania Malisa GJ: Umuhimu wa Katiba Mpya

    Muda wangu wa kuchangia nimeutumia kujibu maswali matano yanayoulizwa na wengi huko mtaani kuhusu Katiba (5 common questions). 1. Kwanini mchakato huu umeandaliwa na BAVICHA? Mnapigania Katiba ya nchi au ya Chadema? #Jibu: Mchakato wowote wa katiba ni wa kisheria na kisiasa. Katiba ni jambo...
Back
Top Bottom