mali

Mali ( (listen); French pronunciation: [mali]), officially the Republic of Mali (French: République du Mali; Bambara: Mali ka Fasojamana; N'Ko script: ߡߊߟߌ ߞߊ ߝߊߛߏߖߊߡߊߣߊ), is a landlocked country in West Africa. Mali is the eighth-largest country in Africa, with an area of just over 1,240,000 square kilometres (480,000 sq mi). The population of Mali is 19.1 million. 67% of its population was estimated to be under the age of 25 in 2017. Its capital is Bamako. The sovereign state of Mali consists of eight regions and its borders on the north reach deep into the middle of the Sahara Desert, while the country's southern part, where the majority of inhabitants live, features the Niger and Senegal rivers. The country's economy centers on agriculture and mining. Some of Mali's prominent natural resources include gold, being the third largest producer of gold in the African continent, and salt.Present-day Mali was once part of three West African empires that controlled trans-Saharan trade: the Ghana Empire (for which Ghana is named), the Mali Empire (for which Mali is named), and the Songhai Empire. During its golden age, there was a flourishing of mathematics, astronomy, literature, and art. At its peak in 1300, the Mali Empire covered an area about twice the size of modern-day France and stretched to the west coast of Africa. In the late 19th century, during the Scramble for Africa, France seized control of Mali, making it a part of French Sudan. French Sudan (then known as the Sudanese Republic) joined with Senegal in 1959, achieving independence in 1960 as the Mali Federation. Shortly thereafter, following Senegal's withdrawal from the federation, the Sudanese Republic declared itself the independent Republic of Mali. After a long period of one-party rule, a coup in 1991 led to the writing of a new constitution and the establishment of Mali as a democratic, multi-party state.
In January 2012, an armed conflict broke out in northern Mali, in which Tuareg rebels took control of a territory in the north, and in April declared the secession of a new state, Azawad. The conflict was complicated by a military coup that took place in March and later fighting between Tuareg and other rebel factions. In response to territorial gains, the French military launched Opération Serval in January 2013. A month later, Malian and French forces recaptured most of the north. Presidential elections were held on 28 July 2013, with a second-round run-off held on 11 August, and legislative elections were held on 24 November and 15 December 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Wananchi inalinda wanafamilia pamoja na mali zake sababu kubwa iliyopelekea kupuuzwa kwa maandamano

    Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano, idadi kubwa inasema haitaki kupoteza urithi wake wa watu na mali uliotafutwa miaka kenda iliyopita...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kwamba wanaume 3-6 wanaweza kusaidiana kwa hali na mali ili kuhakikisha unakuwa single mother

    Leo Tena. Tukiwa bado na maombelezo ya vijana wenzetu nimeona si mbaya tupate vinywaji baridi kidogo. Dada yangu sisi wanaume tunapokuwa na jambo letu huwa tunasaidiana kwa hali na mali na kwa umoja uaminifu na ushirikiano mkubwa mno! Hii wewe hujiona kupendwa sana pale unapoona kuwa mshikaji...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Eti uhai wa watu ni bora zaidi kuliko mali, mmh! Hakuna mali ya mkatoliki iliyochomwa, zimechomwa za waislam na wakristo wengine

    Huyu Sheikh amempinga Dkt. Kitima kuwa uhai wa watu si bora kuliko mali, laiti zingechomwa mali za wakatoliki wasingesikia matamko kutoka TEC, ila kwa sababu mali zilizochomwa ni za Waislamu na Wakristo wa madhehebu mengine ndio maana matamko. Ameongeza kuwa kama mali za Wakatoliki...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vijana Tumechoka! Hii Nchi Si Mali ya Familia Zenu, Acheni Utoto wa Power!

    Kuna swali najiuliza daily maze… hivi tuko na wasomi wangapi kwenye hii nchi? Yani unaweza kuangalia youth wa Bongo, watu wamesoma mbaya, wako sharp, wako ready kufanya kazi, lakini guess what? Hawa jamaa hawajawahi kabisaa kukalia kiti cha decision making. Ni like system imekuwa pre-set kuwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kesi ya Viongozi wa CHADEMA kuidharau amri ya Mahakama yatupiliwa mbali

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kesi ya kudharau amri ya Mahakama iliyokuwa imefunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake wa Tanzania...
  6. JamiiForums Tanzania Maisha ya watu ni muhimu kuliko biashara au kitu chochote

    Habari za leo! 1. Kutafuta mtaji ni kazi ngumu sana. 2. Kuendesha biashara ikasimama ni kazi ngumu sana. Inahitaji uvuje jasho na uwe mstahimilivu. 3. Najua uchungu wa kuibiwa biashara na kuvunjiwa biashara uliyoisotea kwa miaka na miaka. 4. Kwa kujua hilo ndio maana tunawapa pole wale...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Polisi wameiba pesa kwenye Kanisa la Askofu Gwajima? Sikiliza shuhuda

    Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Barrick kulipa Mali $430m

    Canada's Barrick to pay $430 million to settle Mali gold mine dispute, Bloomberg News reports. Nov 25 (Reuters) - Barrick Mining (ABX.TO) , opens new tab has agreed to a 244 billion CFA francs ($430 million) settlement with Mali, Bloomberg News reported on Tuesday, citing people familiar with...
  9. JamiiForums Tanzania GODFREY MONYO (ITV): Serikali ina mpango gani kuwafidia walioharibiwa au kuibiwa Mali zào Oct 29?

    Akiuliza swali kwa Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, mwandishi wa ITV Godfrey Monyo amehoji mpango wa serikali kuwafidia waliopotelewa Mali zao. Kitendo cha kutogusia waliopoteza maisha kutokana na Uzembe wa vyombo vya Dola kunatujengea picha kwamba walio upande wa serikali hawathamini...
  10. JamiiForums Tanzania G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Maandamano wakati wa uchaguzi Oktoba 29 yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka amani, we cannot accept

    Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chakwera anaamini Ziwa Nyasa lote ni mali ya Malawi, huyu anawezaje kutusuluhisha?

    Tumesikia kuwa Jumuia ya Madola imemtuma Chakwera, rais wa zamani wa malawi kuja kusaidia kuleta maridhiano nchini, Hata hivyo Chawera amekuwa akitoa msimamo kuwa ziwa nyasa lote ni mali ya malawi, mtu wa aina hii asiyeamini hata territorial integrity ya nchi yetu anawezaje kuja kutusuluhisha...
  13. JamiiForums Tanzania Waasi wachoma malori ya mafuta yakiwa njiani kuelekea Bamako, Mali

    Ni tukio la siku 5 nyuma. Kuna taarifa za malori ya mafuta yaliyoteketezwa yakiwa njiani kuingia Mali baada ya kushambuliwa na makundi ya kigaidi, kama vile JNIM linalohusiana na al-Qaeda, ambayo yamekuwa yakizuia njia kuu za biashara, kuchoma malori ya mafuta, na kuwatoza madereva kwa lengo la...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika akishapata Ajira, Cheo au biashara hana habari na mambo ya haki, mali, wala shida za Tanganyika

    Mpe mtanganyika ajira, cheo, tenda au awe na biashara yake, atajiona wa tofauti sana,
  15. JamiiForums Tanzania MALI KALE

    Maelezo kwenye kipeperushi yanajieleza,kwa maelezo ya kina n.k... Call 📞 📲 +255 682 802 310
  16. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Mali aliyekuwa Maarufu Tiktok auawa kwa kusifia Jeshi

    Mamlaka nchini Mali zimeripoti kifi cha mwanamitindo na mtengeneza maudhui maarufu TikTok, Mariame Cissé, aliyekuwa akijulikana kwa kuchapisha video za kuunga mkono jeshi la taifa hilo la. Kwa mujibu wa Meya wa Timbuktu, Yehia Tandina, Cissé alitekwa Ijumaa akiwa sokoni katika eneo la Echel, na...
  17. JamiiForums Tanzania ‎Wanaolalamikia "waandamanaji" kuchoma Mali binafsi na za umma hawajajisumbua kuelewa Gen Z ya Tanzania ikoje

    KIZAZI KISICHOKUWA NA KESHO: BOMU LINALOTIKISA TANZANIA KIMYA KIMYA Na Mjumbe wa Nafsi za Watu Kuna maneno ambayo yamekuwa kama wimbo wa taifa usio rasmi kila mara panapotokea vurugu: “Hawa vijana wanaharibu! Wanachoma mali za umma! Hawana akili wala heshima!” Lakini labda, kabla hatujatupa...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli Bali...
  19. JamiiForums Tanzania Uhalisia ni Polisi Walishindwa kulinda Mali za Raia kipindi cha Maandamano

    Badala ya kulinda Mali zisiharibiwe, wao walikazana kuua watu majumbani kwao. Watetezi wa Polisi naomba kujua ni kwanini walishindwa kulinda mali za Raia sababbu ndo kazi yao. Pili, wapi Polisi wamepewa Mamlaka ya kuua waandamanaji? Kwanini Polisi waliiua watu?
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Shoo anasimama na ukweli kwamba yale hayakuwa maandamano ya amani, awaombea wafu na walioharibiwa mali zao

    Friends and Our Enemies, Tunaendelea pale tulipoishia kwa kusema kuwa 'How you do anything,is how you do everything'..(Dante). Askofu shoo kupitia kanisa la walutheri siku zote ameendelea kusimama katika kunyoosha maelezo hata kama wengine itakuwa ngumu kwao kumeza dawa hiyo chungu. Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…